Soma vyema historia, achana na yawazungu bro.
Wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] tangu walipohamia TANZANIA walikuwa na wanaendelea kujijenga katika MISINGI YA KUTOA RUSHWA.
Wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] wamefanikiwa kujijenga KIELIMU, KIUCHUMI na KISIASA kwa kutoa RUSHWA.
Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] ambapo TANZANIA ilianza rasmi kuwa SOBER HOUSE, ndiyo kipindi ambacho ELIMU YA TANZANIA ilianza kuporomoka.
Hata hizi SHULE ZA VIPAJI MAALUM ndiyo ilikuwa mwanzo wa kuporomoka kutokana na kuchukua wanafunzi wasio na vigezo, na kipindi hicho ndiyo kilikuwa mwanzo wa kutoa RUSHWA.
MFUMO WA KUMILIKI VITU kupitia majina ya WATU ambao hawahusiki, ndiyo ulikuwa mwanzo. Hawa WATU ni "VERY PROFESSIONAL" na ndiyo ilikuwa mwanzo wa WATANZANIA wengine kuweza kujifunza namna ya kumiliki vitu kwa kutumia majina ya watu wengine.
Hii mbinu ya kumiliki vitu kupitia majina ya watu wengine ni mfumo haramu, ambao malengo yake sio mazuri 👏🏽
Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] hadi leo, hii mbinu inaendelea kutumika ya kutumia majina ya watu ambao hawahusiki katika namna ya kumiliki vitu au amana mbalimbali!
Mara nyingi huwa wanatumia majina ya watu waliokuwa wanafanya vizuri DARASANI na kwenye MITIHANI YA KITAIFA!
Wale waliokuwa viongozi wa wanafunzi katika ngazi ya msingi na sekondari, kama vile VIRANJA!
Wale waliokuwa viongozi wa serikali za wanafunzi kwa upande wa VYUO VIKUU, kama vile RAIS, MAKAMU WA RAIS, WAZIRI MKUU, WAZIRI, NAIBU WAZIRI, SPIKA WA BUNGE na NAIBU SPIKA WA BUNGE.
Wakati mwingine unaweza kukuta jina la mtu aliyelala umauti linatumika katika kumiliki vitu, ilhali muhusika alikwisha fariki tangu muda mrefu uliopita.
Kwahiyo changamoto kubwa ipo kwa upande wa SERIKALI YA TANZANIA, hasa MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA [
Mamlaka ya Mapato Tanzania - Maskani]
kwa kuruhusu haya mambo kutokea na kuendelea kufanyika.
Pia kwa upande mwingine nitakuonesha namna ambavyo SERIKALI YA TANZANIA walivyojaribu kukabiliana na hili janga kwa upande wa SEKTA YA ELIMU. Ijapokuwa sio wanafunzi wote waliofanikiwa na wanaondelea kupewa kipaumbele na SERIKALI YA TANZANIA.