Ukiangalia ile FILAMU YA OPPENHEIMER iliyotoka mwaka 2024, kuna PART ONE na pia kuna DOCUMENTARY YA OPPENHEIMER.
Sasa ukiwa pale katika MKOA WA SHINYANGA, kuna WILAYA inayoitwa KISHAPU na pale KISHAPU kulikuwa kuna CHIFU aliyekuwa anatawala maeneo ya BUSIA.
Ile familia ya KICHIFU YA BUSIA, ndiyo wamiliki halali wa kampuni ya usafirishaji ya abiria inayoitwa NKAMBA ambayo ilikuwepo tangu miaka ya themanini [1980's] na ipo hadi leo.
Ile familia ya KICHIFU YA BUSIA ina mahusiano mazuri na TAIFA LA UINGEREZA tangu kipindi cha UKOLONI na inasemekana ile familia ya KICHIFU YA BUSIA ilikuwa na UKWASI MKUBWA kwa upande wa MATAIFA YA AFRIKA YA MASHARIKI kutokana na kufanya biashara ya UCHIMBAJI WA MADINI YA ALMASI kwa upande wa mgodi wa ALMASI WA MWADUI [ndani ya MGODI WA MWADUI kulikuwa kuna PROCESSING PLANT iliyokuwa inaitwa JIG, hapo ndiyo walikuwa wanachimba na kuchenjua MADINI YA ALMASI].
Ile familia ya KICHIFU YA BUSIA ndiyo waliokuwa wanafanya "JIGGING" kwa upande wa MGODI WA ALMASI WA MWADUI tangu kipindi cha UKOLONI WA KIINGEREZA na hawa ndiyo waliokuwa kichocheo cha kusambaa kwa wenyeji wa asili wa BUSIA na KISHAPU kwa ujumla.
Pia wale wenyeji wa KISHAPU kupitia kwa CHIFU WA BUSIA waliendelea kutumika na UKOLONI WA KIINGEREZA katika harakati za kudai UHURU WA TANGANYIKA na walifanikiwa kwa kiasi kikubwa, huku yule CHIFU WA BUSIA akiendelea kujijenga KIUCHUMI kupitia mahusiano mazuri aliokuwa nayo na WAKOLONI WA KIINGEREZA.
Na hata baada ya KODI YA KICHWA kuondolewa baada ya kupatikana kwa UHURU WA TANGANYIKA, KODI iliyofuata baada hapo ilikuwa ni KODI YA BAISKELI.
Yaani BAISKELI zilikuwa zinatozwa KODI [kwa taarifa zisizokuwa rasmi ~ inasemekana ilikuwa ni mapato yanayokwenda kwa msimamizi wa SERIKALI YA TANGANYIKA ambaye alikuwa ni CHIFU WA BUSIA].
Kwahiyo wale wenyeji wa asili KISHAPU kupitia kwa CHIFU WA BUSIA ndiyo waliokuwa wasimamizi wa SERIKALI YA TANGANYIKA na walifanyika kuwa WAFANYAKAZI WA IKULU na HAYATI MWALIMU alikuwa ni KIONGOZI WA KISERIKALI na alifanyika kuwa BABA WA TAIFA.