Charles Mandela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 2,752
- 2,282
Sasa kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] ambapo tayari kulikuwa kumeanzishwa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA katika kila mkoa. WATANZANIA wengi walinufaika wao binafsi.Mmiliki wa katarama ni nani??
WANASIASA wengi waliokuwepo kipindi kile, walishuhudia mambo mengi sana kama AZIMIO LA ZANZIBARI [1993], KUNDI LA G55 [1992] na kuanzia miaka ya mwishoni mwa themanini [1980's] kuelekea tisini [1990's] liliibuka KUNDI LA BOYZ II MEN.
KUNDI LA BOYZ II MEN lilikuwa linajumuisha WANASIASA kama wakina WHITEY HAIR [the late] pamoja na KHALFAN.
Wale wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] walitafuta FEDHA kwa udi na uvumba kutokana na UKWASI waliokuwa nao wale UCHIFU WA BUSIA na walikuwa wakitoka kazini walikuwa wanapenda kuangalia MAPAMBANO YA LENNOX LEWIS, kwa wale waliokuwa wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA SHINYANGA [SHIRECU].
LENNOX LEWIS ni MTANZANIA mwenye asili ya MKOA WA SHINYANGA na ni miongoni mwa WATANZANIA ambao wazazi wao walihamia nchini MAREKANI kwa kupitia kwa UCHIFU WA BUSIA.
Yaani kile kitendo cha WIZI WA MALI YA UMMA walihalalisha na kusema kuwa walikuwa WANAHAMISHA MALI YA UMMA KWA MATUMIZI YAO BINAFSI na walifanikiwa kwa kiasi kikubwa.
Pia inasemekana wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] na hata KAGERA [KCU] waliachwa kwa makusudi bila ya kuchukuliwa hatua zozote, pamoja na KUIBA MALI ZA UMMA kwa kiasi kikubwa na hatua kali ziliwaangukia KUNDI LA BOYZ II MEN.
Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU], TABORA [WETCU] pamoja na KAGERA [KCU] walijijenga na wanaendelea kujijenga KIUCHUMI kwa kufuata nyayo za UCHIFU WA BUSIA. Lakini mwaka 1995, ndiyo ulikuwa mwisho wa KUNDI LA BOYZ II MEN.