NGOMEKONGWE2021
JF-Expert Member
- Dec 6, 2021
- 616
- 1,225
acha wivu...ila hata yadi za kuuza magari ni za kumwaga....toka Morocco mpaka Mwenge zipo kama 30 hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kuna tatizo? Zombie hayupo tena.Aisee ni kweli nimeona Chalinze dar kuna vitua vipya vinajengwa vingi sana ni kama walisubiriana kuja kuvijenga
Wewe mchunga ng'ombe kutwa kujambiwa na mifugo umeona mbali hadi wapi?Wewe uliona wapi wacheza bao na ngoma wakawa na akili ya kuona mbali!!
Yanaropoka tuu,wangejua pesa ambazo serikali inapata kupitia hivyo vituo Wala wasingeongea ujinga wao..Kituo hakiwezi jengwa bila Ardhi, EWURA, Manispaa kuhusishwa...
Ukiona kimejengwa jua kinefata taratibu zote
Kipi kinaendelea ikiwa bandari kwa sasa inakusanya pesa nyingi kuliko miaka yote ya Mwendazake.It is an open secret mkuu.
Watu wanafahamu kinachoendelea bandarini ila hakuna tu mwenye guts za kuyaweka hadharani.
Unafanyika ukwepaji mkubwa wa kodi hapo bandarini na watu wanakaa kimya kwa sababu mbali mbali.
Hao wezi ndio tunaowaita matajiri na wafadhili wetu.
Na wewe tafuta afu takatisha,shida iko wapi?Kiufupi watu wanahela nyingi sana. Na hizo hela sijui wanazipata wapi kwa kweli au wanatakatisha hela?. Ila kujenga sheli na kuiendesha sio jambo la mchezo. Kuanzia kununua kiwanja, kujenga sheli, kuleta mafuta na kodi hapo si chini ya 200m. Na kama sheli ina pump nyingi na kiwanja kikubwa unakuta imetumika 400m mpaka 900m
Ila sheli za mikoani wanasema ni bei ndogo na ardhi ni bei nafuu kwa kuwa huku mikoani hakuna madalali 😂😂
Ila kwenye ajira hata mimi naona wadada wanapata sana. Nahisi ni mbinu ya kuvutia wateja. Tena kuna kampuni fulani inaajiri wadada weupe wenye tako pekee 😂😂😂.
Na wewe kiazi kweli,unatetea failed state🤣🤣🤣Wewe mchunga ng'ombe kutwa kujambiwa na mifugo umeona mbali hadi wapi?
Hamia ambako sio failed stateNa wewe kiazi kweli,unatetea failed state🤣🤣🤣
Kiufupi watu wanahela nyingi sana. Na hizo hela sijui wanazipata wapi kwa kweli au wanatakatisha hela?. Ila kujenga sheli na kuiendesha sio jambo la mchezo. Kuanzia kununua kiwanja, kujenga sheli, kuleta mafuta na kodi hapo si chini ya 200m. Na kama sheli ina pump nyingi na kiwanja kikubwa unakuta imetumika 400m mpaka 900m
Ila sheli za mikoani wanasema ni bei ndogo na ardhi ni bei nafuu kwa kuwa huku mikoani hakuna madalali [emoji23][emoji23]
Ila kwenye ajira hata mimi naona wadada wanapata sana. Nahisi ni mbinu ya kuvutia wateja. Tena kuna kampuni fulani inaajiri wadada weupe wenye tako pekee [emoji23][emoji23][emoji23].
Ukoko sahihi 100% na pale Chalinze ukitoka Msolwa na Mdaula kuna yadi magari ya mafuta ya transit huwa yaingia humo.........kinachoendelea......tafuta na weweunajua siri za vituo vya mafuta kujengwa kama utitiri? je ni kwa nini awamu ya makufuli vituo vingi havikujengwa? je unajua show room za magari used kuogezeka? awamu ya jpm zilipungua. je unajua vituo vya mafuta vingi vilianza kujengwa enzi za awamu ya 4? nakupa sababu 1 tu zingine tafuta wewe. mafuta yanayosafirishwa transit nje ya nchi huuzwa hapa nchini huwa haina ushuru
Umeona mbali sana,bravooHapo sawa.... Na vile vya kutengeneza juisi kwa kutumia Brenda
Mwendazake alitupata kweli na kale kamsemo kake ka "mtetezi wa wanyonge"
Amesema uongo mkubwa sanaUmeona mbali sana,bravoo
HahahhahaNa mabar na lounge
Ova
Endelea kupambania ligasi.