Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheli ndo nini!?Kama vile umeona mji ninaoishi ukitoka nyumbani Hadi ufike sokon mjini sehem ya nusu saa unazipita sheli za mafuta 7 zipo kwenye makazi ya watu zimekaribiana hua nawaza siku moja ikilipuka sijui itakuaje.
KazikweHayo ndio mafisadi yenyewe mkuu yanayotufanya tuhenyeshwe na tozo.
Yenyewe hayalipi kodi tunabanwa sisi vidagaa.
Mkabala na Tanganyika Packers Lake OilMlalakuwa opp na jkt kuna sheli
Maringo pale sheli
Studio sheli,
Kuelekea moroco kuna vituo 2 kabla ya kukutana total
Pita njia ya tandale,goba mwendo wa vituo vya mafuta
Sahvi ukiwekeza kwenye kituo cha mafuta hujakosea
Ova
Vituo vya mafuta vinatumika kusafisha pesa chafu, money launderingBila shaka sasa Tanzania mpya iliyokuwa inameremeta kwa ujenzi wa viwanda kila kona ya nchi, sasa imegeuka kuwa Tanzania ya ujenzi wa vituo vya mafuta kiholela na kila sehemu!
Sheria inataka ujenzi wa kituo cha mafuta uwe mita 500 kutoka kimoja hadi kingine lakini sheria hii haifuatwi tena. Kuanzia mwaka 2021 vituo vya mafuta vinaota kama uyoga kwenye nchi yetu. Swali la kujiuliza kimetokea nini?
Mkoa wa Pwani ulikuwa unaongoza kwa ujenzi wa viwanda vingi sana lakini sasa hivi wakifanya utafiti upya watakuta unaongoza kwa ujenzi holela wa vituo vya mafuta.
Kaolewe halafu uzikwe.Kazikwe
Kiufupi watu wanahela balaa kuanzia (300m-800m) na hawana wazo lolote jipya kwa wanaona wawaigize wenzao. Hapo wataishia kufanyiana fitina tu.Mlalakuwa opp na jkt kuna sheli
Maringo pale sheli
Studio sheli,
Kuelekea moroco kuna vituo 2 kabla ya kukutana total
Pita njia ya tandale,goba mwendo wa vituo vya mafuta
Sahvi ukiwekeza kwenye kituo cha mafuta hujakosea
Ova
Kiufupi watu wanahela nyingi sana. Na hizo hela sijui wanazipata wapi kwa kweli au wanatakatisha hela?. Ila kujenga sheli na kuiendesha sio jambo la mchezo. Kuanzia kununua kiwanja, kujenga sheli, kuleta mafuta na kodi hapo si chini ya 200m. Na kama sheli ina pump nyingi na kiwanja kikubwa unakuta imetumika 400m mpaka 900mHuwa nawaza sana hivi gharama ya uendeshaji wa biashara ya sheli kwa sasa niseme imepungua sana au watu wana hela sana ? Na kwa nini kadiri mafuta yanavyozidi kupanda bei ndivyo ùwekezaji kwenye biashara hii unaongezeka . Huku kwetu Sheli zinafunguliwa kasi sana lkn kuomba ajira kipaombele ni wadada.
Viongozi wanaotokea Pwani ndio waliohujumu na kugeuza fursa ya viwanda kuwa vituo vya mafuta ambavyo kuna shaka kama wanalipa kodi stahiki kwa manufaa ya nchi. Kuanzia Chalinze hadi maili moja kuna vituo vya mafuta sio chini ya sitini maana yake kila baada ya kilomita mbili kuna kituo cha mafuta. Chalinze pekee mpaka porini kuna vituo vya mafuta ambavyo inavyoonesha viongozi wanaotokea maeneo hayo wana conflict of interest katika biashara hiyo sio bure.Bila shaka sasa Tanzania mpya iliyokuwa inameremeta kwa ujenzi wa viwanda kila kona ya nchi, sasa imegeuka kuwa Tanzania ya ujenzi wa vituo vya mafuta kiholela na kila sehemu!
Sheria inataka ujenzi wa kituo cha mafuta uwe mita 500 kutoka kimoja hadi kingine lakini sheria hii haifuatwi tena. Kuanzia mwaka 2021 vituo vya mafuta vinaota kama uyoga kwenye nchi yetu. Swali la kujiuliza kimetokea nini?
Mkoa wa Pwani ulikuwa unaongoza kwa ujenzi wa viwanda vingi sana lakini sasa hivi wakifanya utafiti upya watakuta unaongoza kwa ujenzi holela wa vituo vya mafuta.
Yaani mgonjwa anasumbuliwa kufuata dawa mbali. Huu ni ujuha mwingine wa watu wanaotumia tumbo kufikiria.Acheni watu wajenge vituo kuna mda tz tunaweka sheria za ajabu, kama zile kuwe kuna umbali wa hospital ya serikali na duka la madawa
waliopeawa dhamana bado hawajakuwa seriouz kabisa ... alf sio vituo vya mafuta tu hata maduka ya madawa now yapo mengi sanaBila shaka sasa Tanzania mpya iliyokuwa inameremeta kwa ujenzi wa viwanda kila kona ya nchi, sasa imegeuka kuwa Tanzania ya ujenzi wa vituo vya mafuta kiholela na kila sehemu!
Sheria inataka ujenzi wa kituo cha mafuta uwe mita 500 kutoka kimoja hadi kingine lakini sheria hii haifuatwi tena. Kuanzia mwaka 2021 vituo vya mafuta vinaota kama uyoga kwenye nchi yetu. Swali la kujiuliza kimetokea nini?
Mkoa wa Pwani ulikuwa unaongoza kwa ujenzi wa viwanda vingi sana lakini sasa hivi wakifanya utafiti upya watakuta unaongoza kwa ujenzi holela wa vituo vya mafuta.
Sana biashara ya mafuta ina hela sana....ina hela sanaKiufupi watu wanahela balaa kuanzia (300m-800m) na hawana wazo lolote jipya kwa wanaona wawaigize wenzao. Hapo wataishia kufanyiana fitina tu.
Ila inasemekana ukiwa na sheli unakopesheka hela nyingi benki.
Vituo vingi vya njia kuelekea moroViongozi wanaotokea Pwani ndio waliohujumu na kugeuza fursa ya viwanda kuwa vituo vya mafuta ambavyo kuna shaka kama wanalipa kodi stahiki kwa manufaa ya nchi. Kuanzia Chalinze hadi maili moja kuna vituo vya mafuta sio chini ya sitini maana yake kila baada ya kilomita mbili kuna kituo cha mafuta. Chalinze pekee mpaka porini kuna vituo vya mafuta ambavyo inavyoonesha viongozi wanaotokea maeneo hayo wana conflict of interest katika biashara hiyo sio bure.
Kuanzia Bagamoyo hadi Mapinga na penyewe kuna vituo utitiri wa vituo vya mafuta usio na mantiki yoyote.
Kuanzia Maili moja Kibaha hadi unaingia wilaya ya Ubungo utititiri usio kuwa na mpango wa vituo vya mafuta haupo.
Kuanzia Mwandege hadi Mkuranga na kwenyewe kuna utitiri wa vituo vya mafuta visivyoendana na idadi ya magari
Serikali ichuke kodi stahiki kutoka kwenye vituo hivi kuwapunguzia wananchi mzigo wa kubebeshwa gharama kupitia TOZO
Kuna kimoja kimelazimishwa pale stand ya kawe mpaka kikakamilika. Lake oil ni nyoko. Vituo vinaota kama uyoga. Msoga sio poaBila shaka sasa Tanzania mpya iliyokuwa inameremeta kwa ujenzi wa viwanda kila kona ya nchi, sasa imegeuka kuwa Tanzania ya ujenzi wa vituo vya mafuta kiholela na kila sehemu!
Sheria inataka ujenzi wa kituo cha mafuta uwe mita 500 kutoka kimoja hadi kingine lakini sheria hii haifuatwi tena. Kuanzia mwaka 2021 vituo vya mafuta vinaota kama uyoga kwenye nchi yetu. Swali la kujiuliza kimetokea nini?
Mkoa wa Pwani ulikuwa unaongoza kwa ujenzi wa viwanda vingi sana lakini sasa hivi wakifanya utafiti upya watakuta unaongoza kwa ujenzi holela wa vituo vya mafuta.
Nchi inasonga mbele kiuwekezaji kwa kila secta, Hakuna secta inayokuwa kwa kuisimamisha nyingine, pia serikali ya mh Rais wetu inakuza secta zote na kuzisaidia secta zote kukua pasipo kuua zingine, Kama wewe unawekeza viwandani nenda kachukue vibali utapewa kufanya hivyo baada ya kukamilisha taratibu zote za kisheria, hata Sasa Kuna viwanda vingi tu vinaendelea kujengwaBila shaka sasa Tanzania mpya iliyokuwa inameremeta kwa ujenzi wa viwanda kila kona ya nchi, sasa imegeuka kuwa Tanzania ya ujenzi wa vituo vya mafuta kiholela na kila sehemu!
Sheria inataka ujenzi wa kituo cha mafuta uwe mita 500 kutoka kimoja hadi kingine lakini sheria hii haifuatwi tena. Kuanzia mwaka 2021 vituo vya mafuta vinaota kama uyoga kwenye nchi yetu. Swali la kujiuliza kimetokea nini?
Mkoa wa Pwani ulikuwa unaongoza kwa ujenzi wa viwanda vingi sana lakini sasa hivi wakifanya utafiti upya watakuta unaongoza kwa ujenzi holela wa vituo vya mafuta.
Nchi inasonga mbele kiuwekezaji kwa kila secta, Hakuna secta inayokuwa kwa kuisimamisha nyingine, pia serikya mh Rais wetu inakuza secta zote na kuzisaidia secta zote kukua pasipo kuua zingine, Kama wewe unawekeza viwandani nenda kachukue vibali utapewa kufanya hivyo baada ya kukamilisha taratibu zote za kisheria, hata Sasa Kuna viwanda vingi tu vinaendelea kujengwaBila shaka sasa Tanzania mpya iliyokuwa inameremeta kwa ujenzi wa viwanda kila kona ya nchi, sasa imegeuka kuwa Tanzania ya ujenzi wa vituo vya mafuta kiholela na kila sehemu!
Sheria inataka ujenzi wa kituo cha mafuta uwe mita 500 kutoka kimoja hadi kingine lakini sheria hii haifuatwi tena. Kuanzia mwaka 2021 vituo vya mafuta vinaota kama uyoga kwenye nchi yetu. Swali la kujiuliza kimetokea nini?
Mkoa wa Pwani ulikuwa unaongoza kwa ujenzi wa viwanda vingi sana lakini sasa hivi wakifanya utafiti upya watakuta unaongoza kwa ujenzi holela wa vituo vya mafuta.
Mafuta ya transit ukiyapiga petrol colour kwisha mchezounajua siri za vituo vya mafuta kujengwa kama utitiri? je ni kwa nini awamu ya makufuli vituo vingi havikujengwa? je unajua show room za magari used kuogezeka? awamu ya jpm zilipungua. je unajua vituo vya mafuta vingi vilianza kujengwa enzi za awamu ya 4? nakupa sababu 1 tu zingine tafuta wewe. mafuta yanayosafirishwa transit nje ya nchi huuzwa hapa nchini huwa haina ushuru