Tanzania ya viwanda yageuka kuwa Tanzania ya vituo vya mafuta

Unafikiri Rizmoko yupo wizarani anatoa tu vibali
 
Mapoyoyoyo: "Vituo vya Mafuta ni wapigaji hawafai wataifishwe..."


Mimi: "Cheki yangu iko wapi Boss?...and then👇



Ajira tamu bana.
 
Kituo hakiwezi jengwa bila Ardhi, EWURA, Manispaa kuhusishwa...
Ukiona kimejengwa jua kinefata taratibu zote
Yanaropoka tuu,wangejua pesa ambazo serikali inapata kupitia hivyo vituo Wala wasingeongea ujinga wao..

Kuanzia service levy za Halmashauri,Kodi hadi leseni ni.pesa kubwa mno..
 
Kipi kinaendelea ikiwa bandari kwa sasa inakusanya pesa nyingi kuliko miaka yote ya Mwendazake.
 
Na wewe tafuta afu takatisha,shida iko wapi?

Hivi unategemea watu wasiwe na pesa wakati jambo dogo tuu la NGO kwa mwaka huu watatumia zaidi ya Til.6 kwenye Uchumi,haziingii Serikalini na Wala haziko tracked na Serikali.
 
Tako tena???hebu nitajie hyo mkuu ili niende nikajibebee
 
Ukoko sahihi 100% na pale Chalinze ukitoka Msolwa na Mdaula kuna yadi magari ya mafuta ya transit huwa yaingia humo.........kinachoendelea......tafuta na wewe
 
Nafikiri huu utaratibu wa kuondoa ushindani kwenye biashara ya mafuta unatuharibia miji
Nilishapendekeza kuwa serikali ingeweka bei ya juu tu (kikomo) huku chini watu washindane
Akija ingia kiongozi akawa na msimamo tofauti kuhusu utitiri wa vituo vya mafuta mijini hata sijui watavifanya supermarket? yaahi vingine vimejengwa chini ya maghorofa....Mipango miji ni zero kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…