Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii nimeipendaTunaunga mkono uporaji wa halali kama alivyofanya Urusi maana na sisi tunataka tuirudishe Rwanda na Burundi kwani ilikuwa sehemu ya Tanganyika enzi za Mjerumani
Hayo majimbo ya Rwanda na Burundi yarudishwe. GOOD!!!Tunaunga mkono uporaji wa halali kama alivyofanya Urusi maana na sisi tunataka tuirudishe Rwanda na Burundi kwani ilikuwa sehemu ya Tanganyika enzi za Mjerumani
Hivi ni vi-nchi masikini, vina umalaya malaya; kutaka kuwaridhisha mabwana wengi!Nchi 135 zimepiga kura kuunga mkono na kutetea mipaka ya kinchi ya Ukraine, isipokuwa nchi 5 zimepiga kura kupinga . Na nchi 35 hazikupiga kura ya kuunga mkono au kukataa. Miongoni mwa nchi hizo ni Tanzania.
Inashangaza sana nchi yetu ambayo imewahi kupigana vita kulinda Territorial Integrity ya nchi yetu leo inashindwa kusimama na kuiambia dunia kuwa mipaka ya nchi nyingine iheshimiwe.
Sisi tuna ugomvi wa mpaka kati yetu na Malawi, iwapo Dunia hasa Mataifa makubwa nayo wataamua kutugeuka na kuwa upande wa Malawi tusianze kulialia.
Angalia upigaji kura ulivyownda
View attachment 2385453
Wao UN poll wana immunity nayo eeh?Vipi kuhusu US anapovamia ardhi za nchi zingine? vp Israel anapovamia ardhi ya Wapalestina? hiyo imekaaje yenyewe?
Mzee wangu, kichwa kitakuuma sana unapogundua kuwa Tanzania leo hii ni nchi isiyokuwa na masimamo wowote. Amini alipojimgea kipande chetu cha Kagarea tulipigana lakini leo tunaona urusi kumega pande kubwa la Ukraine ni sawa tu.Hata kwenye jambo hili yani nchi yetu imeshindwa kuwa na msimamo kwenye jambo hili ambalo liko wazi kabisa tena linakwenda kinyume na haki za binadamu na utawala bora!
Urusi imevamia Ukraine bila kuchikozwa ,urusi inaendelea kushambulia ukraine! Kuna mambo kweli tusifungamane na upande wowote lakini kwenye swala kama hili liko wazi ni wazi Tanzania ni nchi ya waoga na ya ajabu sana ambayo haiwezi simamia chochote!
Hii shida inaanzia kwa kiongozi wajuu! Shida ya Rais Samia anataka kuonekana mwema kwa kila mtu huku anataka aonekane mtenda haki wakati hapo hapo anapinga haki!
Nchi yetu inashida ya uoga!
Mrusi wa Manzese anajua kila kitu kuhusu uhalali wa Urusi kushambulia raia wa Ukraine na kujimegea ardhi ya Ukraine. Utasikia anakupigia kelele NAM (ya Cold war Era), NATO (fear from the cold war era), na Minski Agreement (iliyopangwa na Urusi) lakini hatambui Budapest Memorandum (iliyohusisha Urusi, Ukraine, USA na UK kuhusu usalama wa Ukraine) na Article 2(4) ya UN kuhusu kuhesimu mipaka ya nchi nyingine.nani kakuambia hakuchokozwa? Unafikiri ni rahisi tu mtu kuamka na kuvamia nchi ingine? Soma historia na usisikilize chanzo kimoja cha habari.
Unaijua NAM (Non Alignment Movement) Unajua maana ya Ukraine kujiunga na NATO, unajua Minsk Agreement?? Unajua historia ya Cold War? Vyote hivi vinahusika, usipovifahamu basi upepo wa magharibi utakupeleka kila unapoenda!!
Kukaa kimya kwenye vitu usivyo vijua ni Jambo la busara piaHata kwenye jambo hili yani nchi yetu imeshindwa kuwa na msimamo kwenye jambo hili ambalo liko wazi kabisa tena linakwenda kinyume na haki za binadamu na utawala bora!
Urusi imevamia Ukraine bila kuchikozwa ,urusi inaendelea kushambulia ukraine! Kuna mambo kweli tusifungamane na upande wowote lakini kwenye swala kama hili liko wazi ni wazi Tanzania ni nchi ya waoga na ya ajabu sana ambayo haiwezi simamia chochote!
Hii shida inaanzia kwa kiongozi wajuu! Shida ya Rais Samia anataka kuonekana mwema kwa kila mtu huku anataka aonekane mtenda haki wakati hapo hapo anapinga haki!
Nchi yetu inashida ya uoga!
Ndio shida ya ombaomba! Hana msimamo anaangalia upepo aegemee wapi kimaslahi.Hata kwenye jambo hili yani nchi yetu imeshindwa kuwa na msimamo kwenye jambo hili ambalo liko wazi kabisa tena linakwenda kinyume na haki za binadamu na utawala bora!
Urusi imevamia Ukraine bila kuchikozwa ,urusi inaendelea kushambulia ukraine! Kuna mambo kweli tusifungamane na upande wowote lakini kwenye swala kama hili liko wazi ni wazi Tanzania ni nchi ya waoga na ya ajabu sana ambayo haiwezi simamia chochote!
Hii shida inaanzia kwa kiongozi wajuu! Shida ya Rais Samia anataka kuonekana mwema kwa kila mtu huku anataka aonekane mtenda haki wakati hapo hapo anapinga haki!
Nchi yetu inashida ya uoga!
Vipi angekuwa Magufuli reaction yake ingekuwa si ya nchi hii!Bongo kamekuwa ka nchi kasikojua kanasimamia nini!
Wewe ni member wa UN, Unajua UN charter inasimamia nini kwenye issue ya kila mmoja kuheshimu mipaka ya mwingine, halafu Unajivutavuta kuitetea kwa kura yako.
Pathetic!
Njaa kitu kibaya sana
Anakutomb marekani hauiWe ni mwehu mmarekani anaua palestina na Iraq sio ?