Tanzania yagoma kupiga kura ya kuunga mkono Mipaka ya nchi ya Ukraine(Territorial Integrity) huko UN

Tanzania yagoma kupiga kura ya kuunga mkono Mipaka ya nchi ya Ukraine(Territorial Integrity) huko UN

Kwa lugha nyepesi Tanzania ni team Putin,hatuna nguvu ya kijeshi,kiuchumi na kisiasa. Hatuwezi kuitangazia Dunia msimamo wetu kama nchi. Ila tumeweka mtego wwtu hapa. Putin njoo uichukue Tanzania iwe sehemu ya Russia,tupo tayari kupiga kura.

Huu ushabiki huu.. tanzania imeweka wazi haiko upande wowote. Msimamo wa serikal ndio huo. Haya masuala si kama ya kushabikia simba na yanga
 
Hata kwenye jambo hili yani nchi yetu imeshindwa kuwa na msimamo kwenye jambo hili ambalo liko wazi kabisa tena linakwenda kinyume na haki za binadamu na utawala bora!

Urusi imevamia Ukraine bila kuchikozwa ,urusi inaendelea kushambulia ukraine! Kuna mambo kweli tusifungamane na upande wowote lakini kwenye swala kama hili liko wazi ni wazi Tanzania ni nchi ya waoga na ya ajabu sana ambayo haiwezi simamia chochote!

Hii shida inaanzia kwa kiongozi wajuu! Shida ya Rais Samia anataka kuonekana mwema kwa kila mtu huku anataka aonekane mtenda haki wakati hapo hapo anapinga haki!

Nchi yetu inashida ya uoga!
Tanzania haifungamani na upande wowote,elewa,unadhani urusi ni wendawazimu kuingia vitani na Ukraine!?..ajitie gharama ile na gharama ya vikwazo pasi kuwa na sababu!?...
 
Serikali iwe na msimamo wa wazi ,hata kama unakubaliana na Russia kwa baadhi ya masuala ila kupora ardhi ya sehemu sio sahihi..

Vinginevyo na sie tufanyiwe kura huru Ili Zanzibar wajitoe kwenye Muungano.
Kutokupiga kura nako ni statement ya kutosha. Ni kuiambia dunia kwamba ulimwengu ni zaidi ya pande za magharibi au mashariki, ni kuiambia dunia kwamba rafiki yako si lazima awe rafiki yangu na adui yako si lazima awe adui yangu. Mbona simple tu?
 
una hakika urusi ajachokozwa
Urusi haikuchokozwa ni wivu kuona mshirika wake wa zamani anataka kujiunga na nchi zinazofata siasa za kidemokrasia.Tena Putin ni nyoka aliyejianda siku nyingi kuishambulia Ukraine.Ukweli Ukraine anatetewa na mataifa mengi isipokuwa baadhi ya nchi za afrika lakini tusisahau kwamba vita hivi vizipokoma ss ndo tutaumia zaidi na hatakuwepo wa kutusaidia[emoji13] ni heri kusimama kwenye ukweli
 
mbona urusi hana wivu na nchi yako yenye siasa ya demokrasia

vita gani? hii ni oparation ya kawaida ya putin, vita kamili NATO akitia maguu
 
Ingepiga Kura ningeshangaa Sana, siku zote tz huwa kwenye list ya nchi za ki

Tanzania imekuwa banana republic siku hizi. Nchi ya ovyo ovyo isiyo na msimamo. Ni kama popo. Mnyama yupo ndege yupo. Tumesahau tulivyovamiwa na Idd Amin na kuomba support duniani.
Yaweza kuwa wewe ndio mpuuzi.
Mambo haya yanahitaji umakini saana na utambuzi wa kiini Cha mgogoro.
Ukiwa na mawazo hayo husijihusishe na usuruhishi kabisa utafedheheka.
Hufai hata kusuluhisha ndoa na migogoro katika familia yako.
 
Tanzania haifungamani na upande wowote (NAM). Ni msingi mzuri tulioachiwa na Mwalimu.🙏🙏🙏
 
Yaweza kuwa wewe ndio mpuuzi.
Mambo haya yanahitaji umakini saana na utambuzi wa kiini Cha mgogoro.
Ukiwa na mawazo hayo husijihusishe na usuruhishi kabisa utafedheheka.
Hufai hata kusuluhisha ndoa na migogoro katika familia yako.
Hujui unachoongea. Wewe sio kama yawezekana ni mpuuzi, ni mpuuzi. Usuluhishi ni kukimbia tatizo? Kwa hiyo serikali imeshindwa kuwa makini na kutambua kiini cha mgogoro, na kuletelezea kutokupiga kura? Si mwakilishi angekaa tu nyumbani kuliko kugharimikiwa air ticket, per diem huko US, na kuishia kuwa msikilizaji?
 
Kwani lazima kupiga kura?? Hizo kura zitasaidia Russia kupunguza makombola yake huko Ukraine?? Mbona ya Iraq na huko Libya hazikupigwa kura?? Au hizo kura zitapunguza mfumuko wa Bei za mafuta? Acha Kila mtu apambane na Hali yake kwani huyo Ukraine wakat anaingia vitani si alijipima kuwa anaweza?? Apambane aache kulia lia, akiona mambo yamekuwa magumu akubali tu kushindwa sio dhambi
 
Naunga mkono hoja ya bwana "Madiluu" viongozi wa serikali wanapaswa kupimwa afya zao za akili tena mara kwa mara
 
Heri nimepata mtu mwenye ufahamu wa ndani walahi
US kamtoa Ghadafi wetu, huko Syria ndio usiseme Palestina wanachinjwa kama kuku kila iitwayo leo! Kama wanashindwa kuheshimu nchi na jadi zake sembuse mipaka? Grow up jamani uwiii [emoji3062]
Ehh jamani watu mtakuwa lini mfahamu hizi mbinu za makaburu jamani?
Ewe kijana amka uisome history ya nchi yetu Tanzania [emoji1241] ndio maana Mwalimu Nyerere akasema Tanzania [emoji1241] haita fungamana na upande wowote!
Angalia hapo Kenya, mtu alie zaliwa masikini anakufa na umasikini wake! Kila eneo limeshikwa na makaburu!
Mshukuruni sana Mwalimu!
Asante Mama yetu Samia kwa kufuata nyayo za Mwalimu!!!
Haelew maaana ya NAM unaposema non alignment movement ni kwamba haupo huku wala huku.ku abstain nayo ni kura kama hajui.
Na siku litapotoka jibu la why kwengine siyo ila ukrani ndiwo nishtue.
 
Tanzania imekuwa banana republic siku hizi. Nchi ya ovyo ovyo isiyo na msimamo. Ni kama popo. Mnyama yupo ndege yupo. Tumesahau tulivyovamiwa na Idd Amin na kuomba support duniani.
We uliyekaa kwa mtogole ndio unajua saaaaana ishu za kidoplomasia? Unaona maafisa wote wale wa wizara wa na
huko Un hawana akili ?? Ila wewe ndio unajua? We endelea kushiba ugali wako mambo ya nchi achia wenye uhusika
 
Urusi haikuchokozwa ni wivu kuona mshirika wake wa zamani anataka kujiunga na nchi zinazofata siasa za kidemokrasia.Tena Putin ni nyoka aliyejianda siku nyingi kuishambulia Ukraine.Ukweli Ukraine anatetewa na mataifa mengi isipokuwa baadhi ya nchi za afrika lakini tusisahau kwamba vita hivi vizipokoma ss ndo tutaumia zaidi na hatakuwepo wa kutusaidia[emoji13] ni heri kusimama kwenye ukweli
Eti vita hivi visipokoma sisi ndiyo tutaumia zaidi. Kuna wanajeshi wa Tanzania au wa nchi yoyote ya Afrika ambayo haikupiga kura waliopelekwa kupigana Ukraine? Kuna pesa yoyote mnatoa kugharamia vita hiyo hadi mjisikie kuumia zaidi vita isipokoma? Umeongea kama kirobot cha marekani, EU na NATO.
 
Kinachoendelea ni muendelezo wa vita baridi ambayo vilifubaa mwaka 1989. Mtindo wa kulazimisha nchi kutangaza iko upande gani kwenye migogoro inayoibuka duniani yenye maslahi kwa mataifa makubwa, haukuanza leo.
Tanzania kwenye kufanya maamuzi yanayohusu migogoro yenye utata kama huo wa Ukraine na Russia, sera yetu ya mambo ya nje iko wazi kuwa; Tanzania haifungamani na upande wowote na hivyo kutopiga kura na kubaki katikati ni utaratibu unaotambulika kwenye Umoja wa mataifa. Kwa maana hiyo,hakijaharibika kitu....Ningeshangaa kama tungepiga kura kuchagua upande tunaotaka kuegamia.
 
Bora hata Resolution ingehusu Urusi kuvamia Ukraine hapo tungeweza kujibaraguza na kuabstain LAKINI kura inahusu kutambua na kuheshimu mipaka ya Ukraine ambaye ni mwanachama mwenzetu wa UN , ambaye kasaini articles za kila nchi kuheshimu mipaka ya nchi nyingine kama sisi tulivyosaini, tunashindwaje kulinda hii principle kwa Wivu mkubwa?
Sasa kama principle tayari ipo kuna haja gani ya kupiga kura?.. mmekubaliana kumpiga mwenzako ni kosa alafu katokea mmoja kampiga mwenzake automatically tayari ana makosa kama adhabu ipo aadhibiwe kuna maana gani tena ya kupiga kura hapo
 
Back
Top Bottom