Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
Ukishakuwa na mentality ya uomba-omba, hili ndilo linatokea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alipiwe na UN au nchi yake bado kitendo cha mtu kusafiri na kulipwa pesa ili akawe ndumilakuwili kwenye ukumbi wa mkutano huo ni uchiziUN ndio inalipa nauli ya kuhudhuria vikao kwa kila nchi ya mwanachama mkuu..!?
Kama urusi ni rafiki yetu kuliko mataifa ya magharibi mbona hatuoni . misaada kutoka urusi na hawatuuzi hata mafuta ya bei rahisi. Pumzika kwa amani mwalimu Nyerere, ulikuwa kiongozi mwenye misimamo sahihi.Nchi 135 zimepiga kura kuunga mkono na kutetea mipaka ya kinchi ya Ukraine, isipokuwa nchi 5 zimepiga kura kupinga . Na nchi 35 hazikupiga kura ya kuunga mkono au kukataa. Miongoni mwa nchi hizo ni Tanzania.
Inashangaza sana nchi yetu ambayo imewahi kupigana vita kulinda Territorial Integrity ya nchi yetu leo inashindwa kusimama na kuiambia dunia kuwa mipaka ya nchi nyingine iheshimiwe.
Sisi tuna ugomvi wa mpaka kati yetu na Malawi, iwapo Dunia hasa Mataifa makubwa nayo wataamua kutugeuka na kuwa upande wa Malawi tusianze kulialia.
Angalia upigaji kura ulivyownda
View attachment 2385453
Malawi hawato kuja kuwa na ubavu wa kuikazia TanzaniaSisi tuna ugomvi wa mpaka kati yetu na Malawi, iwapo Dunia hasa Mataifa makubwa nayo wataamua kutugeuka na kuwa upande wa Malawi tusianze kulialia.
Kajifunze maswala ya diplomasia na sera za nje za nchi halafu soma historia ya sera ya nje ya Tanzania (foreign policy) halafu njoo urekebishe bandiko lako.Nchi 135 zimepiga kura kuunga mkono na kutetea mipaka ya kinchi ya Ukraine, isipokuwa nchi 5 zimepiga kura kupinga . Na nchi 35 hazikupiga kura ya kuunga mkono au kukataa. Miongoni mwa nchi hizo ni Tanzania.
Inashangaza sana nchi yetu ambayo imewahi kupigana vita kulinda Territorial Integrity ya nchi yetu leo inashindwa kusimama na kuiambia dunia kuwa mipaka ya nchi nyingine iheshimiwe.
Sisi tuna ugomvi wa mpaka kati yetu na Malawi, iwapo Dunia hasa Mataifa makubwa nayo wataamua kutugeuka na kuwa upande wa Malawi tusianze kulialia.
Angalia upigaji kura ulivyownda
View attachment 2385453
Shida mmezoea vya kupewa bure na kuomba omba wakati huo mna resources tele kwa akili hizi tutaendelea kuwa masikini daima.Kama irudi ni rafiki yetu kuliko mataifa ya magharibi mbona hatuoni . misaada kutoka irudi na hawatuuzi hata mafuta ya bei rahisi. Pumzika kwa amani mwalimu Nyerere, ulikuwa kiongozi mwenye misimamo sahihi.
Unafiki wa Serikali ya CCM umejengwa kwenye misingi ya kwamba wanaunga mkono kwa vitendo Sera za Udictator, Ufisadi, na ukandamizaji za huyo kichaa Putin.Nchi 135 zimepiga kura kuunga mkono na kutetea mipaka ya kinchi ya Ukraine, isipokuwa nchi 5 zimepiga kura kupinga . Na nchi 35 hazikupiga kura ya kuunga mkono au kukataa. Miongoni mwa nchi hizo ni Tanzania.
Inashangaza sana nchi yetu ambayo imewahi kupigana vita kulinda Territorial Integrity ya nchi yetu leo inashindwa kusimama na kuiambia dunia kuwa mipaka ya nchi nyingine iheshimiwe.
Sisi tuna ugomvi wa mpaka kati yetu na Malawi, iwapo Dunia hasa Mataifa makubwa nayo wataamua kutugeuka na kuwa upande wa Malawi tusianze kulialia.
Angalia upigaji kura ulivyownda
View attachment 2385453
Safi sana Tanzania🙏🙏🙏🙏🙏Nchi 135 zimepiga kura kuunga mkono na kutetea mipaka ya kinchi ya Ukraine, isipokuwa nchi 5 zimepiga kura kupinga . Na nchi 35 hazikupiga kura ya kuunga mkono au kukataa. Miongoni mwa nchi hizo ni Tanzania.
Inashangaza sana nchi yetu ambayo imewahi kupigana vita kulinda Territorial Integrity ya nchi yetu leo inashindwa kusimama na kuiambia dunia kuwa mipaka ya nchi nyingine iheshimiwe.
Sisi tuna ugomvi wa mpaka kati yetu na Malawi, iwapo Dunia hasa Mataifa makubwa nayo wataamua kutugeuka na kuwa upande wa Malawi tusianze kulialia.
Angalia upigaji kura ulivyownda
View attachment 2385453
Sasa wewe uko mbagala mipaka ya ukraine unaijuaje embu acha utahira bintiNchi 135 zimepiga kura kuunga mkono na kutetea mipaka ya kinchi ya Ukraine, isipokuwa nchi 5 zimepiga kura kupinga . Na nchi 35 hazikupiga kura ya kuunga mkono au kukataa. Miongoni mwa nchi hizo ni Tanzania.
Inashangaza sana nchi yetu ambayo imewahi kupigana vita kulinda Territorial Integrity ya nchi yetu leo inashindwa kusimama na kuiambia dunia kuwa mipaka ya nchi nyingine iheshimiwe.
Sisi tuna ugomvi wa mpaka kati yetu na Malawi, iwapo Dunia hasa Mataifa makubwa nayo wataamua kutugeuka na kuwa upande wa Malawi tusianze kulialia.
Angalia upigaji kura ulivyownda
View attachment 2385453
Acha kushadadiaHata kwenye jambo hili yani nchi yetu imeshindwa kuwa na msimamo kwenye jambo hili ambalo liko wazi kabisa tena linakwenda kinyume na haki za binadamu na utawala bora!
Urusi imevamia Ukraine bila kuchikozwa ,urusi inaendelea kushambulia ukraine! Kuna mambo kweli tusifungamane na upande wowote lakini kwenye swala kama hili liko wazi ni wazi Tanzania ni nchi ya waoga na ya ajabu sana ambayo haiwezi simamia chochote!
Hii shida inaanzia kwa kiongozi wajuu! Shida ya Rais Samia anataka kuonekana mwema kwa kila mtu huku anataka aonekane mtenda haki wakati hapo hapo anapinga haki!
Nchi yetu inashida ya uoga!
Shame! shame!Inashangaza sana nchi yetu ambayo imewahi kupigana vita kulinda Territorial Integrity ya nchi yetu leo inashindwa kusimama na kuiambia dunia kuwa mipaka ya nchi nyingine iheshimiwe.
Yaani wewe ni wale waliokuwa wakisemwa juzi kuwa wana matatizo ya akili, jiendee mirembe mwenywe.Sasa wewe uko mbagala mipaka ya ukraine unaijuaje embu acha utahira binti
Tanzania imefanya uamuzi sahihi kwa sababu, hilo azimio Hata kwa kupigiwa kura kwa asilimia 99.9999. Bado halitafanya kazi ya kutatua Mgogoro huo wa Ukraine! Kwa nini kujiingizia kwenye figisu zisizo na maana!!! Naunga Mkono uamuzi wa Tanzania.Inashangaza sana nchi yetu ambayo imewahi kupigana vita kulinda Territorial Integrity ya nchi yetu leo inashindwa kusimama na kuiambia dunia kuwa mipaka ya nchi nyingine iheshimiwe.
Hata kwenye jambo hili yani nchi yetu imeshindwa kuwa na msimamo kwenye jambo hili ambalo liko wazi kabisa tena linakwenda kinyume na haki za binadamu na utawala bora!
Urusi imevamia Ukraine bila kuchikozwa ,urusi inaendelea kushambulia ukraine! Kuna mambo kweli tusifungamane na upande wowote lakini kwenye swala kama hili liko wazi ni wazi Tanzania ni nchi ya waoga na ya ajabu sana ambayo haiwezi simamia chochote!
Hii shida inaanzia kwa kiongozi wajuu! Shida ya Rais Samia anataka kuonekana mwema kwa kila mtu huku anataka aonekane mtenda haki wakati hapo hapo anapinga haki!
Nchi yetu inashida ya uoga!
Anaewapigisha kura ni US aliomtoa ghadafi, ,huko Iraq palestina anaua kila leo, huyo huyo aliomdhoofisha Mugabe na bado mko Kama mazuzuBora hata Resolution ingehusu Urusi kuvamia Ukraine hapo tungeweza kujibaraguza na kuabstain LAKINI kura inahusu kutambua na kuheshimu mipaka ya Ukraine ambaye ni mwanachama mwenzetu wa UN , ambaye kasaini articles za kila nchi kuheshimu mipaka ya nchi nyingine kama sisi tulivyosaini, tunashindwaje kulinda hii principle kwa Wivu mkubwa?
Yaani wewe ni wale waliokuwa wakisemwa juzi kuwa wana matatizo ya akili, jiendee mirembe mwenywe.