melusine8
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 6,299
- 7,746
Saaafi, kila mtu ashinde mechi zake
Neno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saaafi, kila mtu ashinde mechi zake
nani kakuambia hakuchokozwa? Unafikiri ni rahisi tu mtu kuamka na kuvamia nchi ingine? Soma historia na usisikilize chanzo kimoja cha habari.Hata kwenye jambo hili yani nchi yetu imeshindwa kuwa na msimamo kwenye jambo hili ambalo liko wazi kabisa tena linakwenda kinyume na haki za binadamu na utawala bora...
Zitto Kabwe alikuwa Ukraine
Tanzania imekuwa banana republic siku hizi. Nchi ya ovyo ovyo isiyo na msimamo. Ni kama popo. Mnyama yupo ndege yupo. Tumesahau tulivyovamiwa na Idd Amin na kuomba support duniani.Nchi 135 zimepiga kura kuunga mkono na kutetea mipaka ya kinchi ya Ukraine, isipokuwa nchi 5 zimepiga kura kupinga . Na nchi 35 hazikupiga kura ya kuunga mkono au kukataa. Miongoni mwa nchi hizo ni Tanzania...
Nchi 135 zimepiga kura kuunga mkono na kutetea mipaka ya kinchi ya Ukraine, isipokuwa nchi 5 zimepiga kura kupinga . Na nchi 35 hazikupiga kura ya kuunga mkono au kukataa. Miongoni mwa nchi hizo ni Tanzania.
Inashangaza sana nchi yetu ambayo imewahi kupigana vita kulinda Territorial Integrity ya nchi yetu leo inashindwa kusimama na kuiambia dunia kuwa mipaka ya nchi nyingine iheshimiwe.
Sisi tuna ugomvi wa mpaka kati yetu na Malawi, iwapo Dunia hasa Mataifa makubwa nayo wataamua kutugeuka na kuwa upande wa Malawi tusianze kulialia.
Angalia upigaji kura ulivyownda
View attachment 2385453
Hamia Somalia mkuu.Tanzania imekuwa banana republic siku hizi. Nchi ya ovyo ovyo isiyo na msimamo. Ni kama popo. Mnyama yupo ndege yupo. Tumesahau tulivyovamiwa na Idd Amin na kuomba support duniani.
Ingepiga Kura ningeshangaa Sana, siku zote tz huwa kwenye list ya nchi za kipuuzi
Engineer soma hio!Bora hata Resolution ingehusu Urusi kuvamia Ukraine hapo tungeweza kujibaraguza na kuabstain LAKINI kura inahusu kutambua na kuheshimu mipaka ya Ukraine ambaye ni mwanachama mwenzetu wa UN , ambaye kasaini articles za kila nchi kuheshimu mipaka ya nchi nyingine kama sisi tulivyosaini, tunashindwaje kulinda hii principle kwa Wivu mkubwa?
Sio lazima kwenye kila ugomvi tuchague upande, hata wao kuna nyakati wanakuwa ndumilakuwili tu.Nchi ambazo ni ndumilakuwili kama Tanzania ni ngumu sana kuondokana na ufukara.
Hii nayo ni point nzuri.Labda hiyo inasababishwa na Tanzania kutokujua kiini cha tatizo kilipo, waziri wetu wa mambo ya nje hajui kinachoendelea, tunaogopa kuchagua upande tugeuke bendera fuata upepo, tupo tupo tu.
Sasa mtu una akili timamu unalipwa mihela mingi , unapanda ndege ukaae kimya kwenye chumba cha uchaguzi?Sio lazima kwenye kila ugomvi tuchague upande, hata wao kuna nyakati wanakuwa ndumilakuwili tu.
Kwani ugomvi wetu na uganda nchi ngapi zilipiga kura kutuunga mkono au kutupinga?
Hiyo kura inasaidia nn mbele ya Marekan na Urusi wakiamua kufanya jambo lao? Mbona hakuna kura ya kupinga na kutetea mipaka ya Palestina? Ukraine ni nan haswa!Nchi 135 zimepiga kura kuunga mkono na kutetea mipaka ya kinchi ya Ukraine, isipokuwa nchi 5 zimepiga kura kupinga . Na nchi 35 hazikupiga kura ya kuunga mkono au kukataa. Miongoni mwa nchi hizo ni Tanzania...
UN ndio inalipa nauli ya kuhudhuria vikao kwa kila nchi ya mwanachama mkuu..!?Sasa mtu una akili timamu unalipwa mihela mingi , unapanda ndege ukaae kimya kwenye chumba cha uchaguzi?
Wala usishangae, Nyakati za uchaguzi wapo watu wanaotumia nguvu kupata kitambulisho cha kura na kujiandikisha kwenye list ya wapiga kura ila saa ikifika hawapigi kura. Binadamu ni kiumbe complicated. Pana fursa ya safari,imepokelewa watu watapata posho n.k ila maekezo ni kura isipigwe.Sasa mtu una akili timamu unalipwa mihela mingi , unapanda ndege ukaae kimya kwenye chumba cha uchaguzi?
Mpaka utakuwa ndani ya ardhi ya Zanzibar sio vinginevyoNa sisi siku Muungano ukivunjika mpaka wetu na Zanzibar sijui itakuwaje?