Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Huyo Nkengasong ni mkenya vile vile.Kenya wamelob hadi CDC huko ilimradi tufanane..
Mi nashangaa, watu wanajiachia kwenye maklabu, mabar, masoko, mashukeni, vyuoni na kila mahala, na hawaugui cha Corona wala nini, kwani lazima wote tuwe wagonjwa? Hawa vipi?!Mbona wanatulazimisha kua na ugonjwa
Wagonjwa unaowajua wewe ni wangapi na wako wapi?Tanzania kwa sasa ni kichwa cha mwendawazimu!View attachment 1528756
Wanataka muugue na msiendelee na shughuli zenu.Kama watu hawaugui na wanaendelea na shughuli zao bila kuumwa sasa wao wanataka tufanyaje tena?