Brother
Hatupimi ili watu waugue....tunapima kujua nani amebeba kirusi na nani hajabeba...
Watu kutougua sijui umedhibitisha wapi maana hujui miili ya watu milioni 60!
Hapo umeangalia watu machoni,ambapo wote hao wanaweza kua carriers...hawa watu ukiwaruhusu wasafiri nchi za watu wanapeleka hivi virusi....
Na for your information,watu wanaumwa na wanakufa sababu tu takwimu za mochwari na hospitalini huwezi ziona,ila watu wanakufa japo sio kwa takwimu labda unazofikiri wewe sio hatari...
Ishu hapa Tanzania ipo duniani,na Watanzania wanachanganyika na watu wengine duniani,watu wapo concerned na carriers na wala sio wagonjwa wa kulala kitandani maana hao hawawezi hata kutembea....
Hatari ni mgonjwa anaetembea,yaani carrier....
Lazima mataifa mengine yawe concerned.....
Concequences zinakuja,na kama mnalia sana hameni duniani mhamie Mars...