Uganda , Rwanda na Kenya hawa wote wamepewa hela kasoro Tanzania tu
Kwahiyo hapa ni vita ya fulani kunyimwa hela na wengine kupewa?
Wewe ulienyimwa hawa waliopewa wakuonee wivu kivipi yaani?
Wewe ulienyimwa ndio uwaonee wivu hawa waliopewa...
Ila sisi Watanzania ni kinyume,eti tunasema hawa waliopewa ndio wanatuonea wivu sisi ambao hatujapewa hela?
Tanzania tuna utoto sana..tupo kwenye capitalistic world,tujifunze kujenga maslahi yetu na kuhakikisha tuna maximize our money..
Na tusilie kama mitoto midogo tunapoona other nations zipo against us for whatever reason....
Na tuelewe we are responsible for our own actions...consequences zipo hya kila decisions we are taking...
Rwanda is not here for Tanzanian benefit na or anybody else...likewise Kenya,Uganda,etc
Tujifunze kupambana with all our sweat,tuache huu upumbavu wa ku-blame others for whatever we do!
Nchi zote hizi zinapima "positives" tu "negatives" hakuna?Na nchi zinazotoa hela kama USA zimekaa tu hazina investigative powers on their tax payers' money?
Mbona mnaiona hii dunia na hizi nchi ni watoto sana?
Sometimes tuache upumbavu tuchukulie every nation seriously!