Tanzania yahofiwa jinsi inavyoshughulikia Janga la Corona

Tanzania yahofiwa jinsi inavyoshughulikia Janga la Corona

Tusingeona basi Mama Magufuli akikumpatiana vile na Mama Mkapa wakati wakijua wazi kuwa ni Mke wa mtu aliyefariki na corona,lakini pia Kikwete alienda kumuona na alikuwa akiongea nae kabla ya umauti.

Hayo mambo yanafikirisha ikiwa kweli wanajua Mzee Mkapa alikufa na corona na bado wakaendelea kufanya hivyo vitu. Na hata ukiwaangalia hivi sasa hao viongozi bado si watu wenye kuiheshimu hiyo corona sababu mwenzao ishamuondoa.
Nafikiri huwajui wanasiasa wewe.
 
Mkurugenzi wa kituo cha kudhibiti magonjwa Barani Afrika ameelezea wasiwasi wake kuhusu namna Tanzania inavyokabiliana na mlipuko wa Virusi vya Corona...
Kuna price tuna-pay on this...

Kenya wameanza na ban,then wengine wata-follow

Then mawe na maccm yapo yanachekelea kama majuha tu
 
Mkapa kafariki kwa walichokitaja. Tuheshimu taaluma ya utabibu na taarifa rasmi za familia yake
 
Na katika hili tutasimama na Mheshimiwa rais wetu hata kama kuna watu watachukia.

Sio kila kitu kupinga tu hata kama wewe ni mpinzani. Corona Corona!!!!!

Mnaoona Tanzania kuna Corona ondokeni muende nchi zisizo na Corona pumbavu kabisa
 
Mkurugenzi wa kituo cha kudhibiti magonjwa Barani Afrika ameelezea wasiwasi wake kuhusu namna Tanzania inavyokabiliana na mlipuko wa Virusi vya Corona.

Dkt. John Nkengasong aliiambia BBC hakuwa na data za kutosha za kufahamu hali ilivyo nchini Tanzania. Alisema kituo cha kudhibiti magonjwa kimeanzisha jitihada za pamoja za kupambana na virusi hivyo...
Kila mtu ashinde mechi zake. South africa, Nigeria, Ghana, Morocco wana levels za juu sana kuhusu haya magonjwa, amewasaidia vipi huyu kuwadi wa mabepari wa venis?
 
Kuna price tuna-pay on this...

Kenya wameanza na ban,then wengine wata-follow

Then mawe na maccm yapo yanachekelea kama majuha tu
Corona ni mradi wa kupiga mahela kwa hawa jamaa wanaolazimisha data ili wamiminiwe mapesa, Corona siyo threat kama Ebola na Maralia kwa sisi Waafrica.
 
Ila Xile takwimu tata kwa kweli from tunawagonjwa kadhaa to hatuna wagonjwa hata mmoja kwa siku moja ?
Mbali ya wale waliojithibitisha wenyewe
 
Tuwape taarifa huku hawana dawa, bado watu hatuugui sasa wao wanataka nini?

Kama wanaona huruma walete dawa ya ukimwi, na kansa hayo magonjwa yapo muda mlefu kwa nini hawayazungumzii?
Mareria inaua kila siku wao hilo hawaoni bali ni corona tu.
Ndio hapo sasa, dawa hawana, kuumwa hatuumwi, tushaambia hatuna Corona kwetu, ila wanalazimisha, au tuigize tunaumwa kiuongo uongo wafurahi?😂😂
 
Ila Xile takwimu tata kwa kweli from tunawagonjwa kadhaa to hatuna wagonjwa hata mmoja kwa siku moja ?
Mbali ya wale waliojithibitisha wenyewe
Hivi kama tulikuwa na hadi wagonjwa mahutiti wa corona na vifo vya corona pia vilikuwa vinazidi kila siku,unafikiri ni nini ambacho serikali walikiona hadi wakachukua haya maamuzi waliyoyachukua?
 
Nashauri viongozi wa Africa wakae waunde AHO (Africa Health Organization) huu muungano tofauti na WHO wazitambue dawa za kiafrica za mitishamba pia pamoja na za kisasa.

Ila wasjitoe WHO.

Hawa jamaa deal la kutuuzia dawa Africa wapate makampuni yao faida limegonga mwamba tumeshtuka.

Kwanza CORONA ipo toka miaka ya 1930 waafrica tuna usugu nayo mafua kwetu sio deal ya kutunyima usingizi wazungu wao hadi pua zinakuwa nyekundu
Ukianzisha hii kitu, hakika humalizi wiki moja. WANAKUUA. Biashara ya dawa za binadamu na mimea ni kubwa sana na inashikiliwa na mabeberu wanene sana hapa duniani. Wana nguvu mno, ni sawa na matajiri wanao control biashara ya mafuta. Unakufa siku si zako. Jiulize kwa nini engine ambazo hazitumii mafuta yoyote (zinatumai nishati nyingine) haziendelezwi? The same way jiulize kwa ni i dawa za kutibu UKIMWI zinafichwa?
 
Ila Xile takwimu tata kwa kweli from tunawagonjwa kadhaa to hatuna wagonjwa hata mmoja kwa siku moja ?
Mbali ya wale waliojithibitisha wenyewe
Wengi waiathirika na corona kutokana na kuwa na HOFU. Baada ya raisi kututoa hofu na kutoa mbadala kwamba tupige nyungu kwa kwenda mbele, mtaani kwenu wamekufa wangapi kwa corona? Umefiwa na ndugu zako wangapi kwa corona? Kazini kwako je? Ugonjwa upo, ila umedhibitiwa. Tujifunze kuishi na corona. Tuendelee na majadala na tuendelee kuchukua hatua.
 
Back
Top Bottom