Tanzania yahofiwa jinsi inavyoshughulikia Janga la Corona

Tanzania yahofiwa jinsi inavyoshughulikia Janga la Corona

Huo wasiwasi wa Dr. Nkengasong juu ya mapambano ya corona hauna misingi yoyote wala maslahi kwa Tanzania. Yeye aseme tuu ana maumivu juu mapokeo ya corona na kauli mbiu ya ku-lockdown nchi kwa nchi ya Tanzania, aseme kwamba Tanzania ilichagua njia sahihi kupambana hili janga na kwa kuwa wamefanikiwa kupunguza vifo na maambukizi nchi nyingine Africa na duniani waige walichokifanya.

Mbona sisi mapambano yetu tuliweka wazi kabisa. Sisi baada ya kujua corona haina chanjo wala dawa tuliamua
1. Kumwomba Mungu kwa imani zetu zote
2. Tukarudi kwenye tiba mbadala, malimao, tangawizi na kupiga nyungu kwa sana
3. Tukaondoleana hofu Kati yetu, tulijua hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko corona yenyewe

Tunajua kabisa corona haijaisha na corona inaweza kuua bado lakini sio kwa kile kiwango walichotaka wao na kutulazimisha kuamini, pia yapo magonjwa mengi yanayoua zaidi hata ya corona na tuko kwenye mstari na njia sahihi kupambana hili.
 
Kuiondoa Corona barani Africa?! Anaota huyo, USA,UK,China wameshindwa kuiondoa Corona itakuwa bara hili lenye huduma za afya za kuungaunga?!
 
Africa CDC expresses concern over Tanzania's response

coronavirus+in+africa+EDITED.jpg

Date: Aug 6, 2020

The Director of Africa Centre for Disease Control has expressed concern about Tanzania's handling of the coronavirus pandemic. Dr John Nkengasong told BBC's Newsday that there was no enough data to determine the situation in Tanzania.

He said the centre had developed a continental joint response strategy to be able to defeat the virus. "We continue to hope and plead that Tanzania could come forth and report the situation as it is so that we can work collaboratively to stem this virus out of the continent," he said.

He emphasised on the need for all African countries to work together. "We continue to reach out (to Tanzania) but we are not having the response that we expect," he said.

Tanzania's President, John Magufuli, has insisted that his country has been "saved" from the virus and declared the country virus free.

The country is getting ready for October elections and is an electioneering mood. People have been going about their business with no masks or social distancing.

--BBC—
 
Huo wasiwasi wa Dr. Nkengasong juu ya mapambano ya corona hauna misingi yoyote wala maslahi kwa Tanzania. Yeye aseme tuu ana maumivu juu mapokeo ya corona na kauli mbiu ya kulockdown nchi kwa nchi ya Tanzania, aseme kwamba Tanzania ilichagua njia sahihi kupambana hili janga na kwa kuwa wamefanikiwa kupunguza vifo na maambukizi nchi nyingine Africa na duniani waige walichokifanya.

Mbona sisi mapambano yetu tuliweka wazi kabisa. Sisi baada ya kujua corona haina chanjo wala dawa tuliamua
1.Kumwomba Mungu kwa imani zetu zote
2.Tukarudi kwenye tiba mbadala, malimao, tangawizi na kupiga nyungu kwa sana
3.Tukaondoleana hofu Kati yetu, tulijua hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko corona yenyewe

Tunajua kabisa corona haijaisha na corona inaweza kuua bado lakini sio kwa kile kiwango walichotaka wao na kutulazimisha kuamini, pia yapo magonjwa mengi yanayoua zaidi hata ya corona na tuko kwenye mstari na njia sahihi kupambana hili
Yaani wewe jamaa bonge la mTanzania genius umekula LOVE hapa nakuongezea LIKE
 
Africa CDC expresses concern over Tanzania's response

coronavirus+in+africa+EDITED.jpg

Date: Aug 6, 2020

The Director of Africa Centre for Disease Control has expressed concern about Tanzania's handling of the coronavirus pandemic. Dr John Nkengasong told BBC's Newsday that there was no enough data to determine the situation in Tanzania.

He said the centre had developed a continental joint response strategy to be able to defeat the virus. "We continue to hope and plead that Tanzania could come forth and report the situation as it is so that we can work collaboratively to stem this virus out of the continent," he said.

He emphasised on the need for all African countries to work together. "We continue to reach out (to Tanzania) but we are not having the response that we expect," he said.

Tanzania's President, John Magufuli, has insisted that his country has been "saved" from the virus and declared the country virus free.

The country is getting ready for October elections and is an electioneering mood. People have been going about their business with no masks or social distancing.
--BBC—
Huu ni uzi wa 10 humu JF, mnashadidia nini?
 
Kwa nchi masikini kama Tanzania, lockdown haileti maana. Watu watafukuzwa kazi na wale wa kuendesha maisha kwa kutegemea hela za kuokota okota kila siku watakufa njaa.
 
Nikiangalia hawa viongozi wakubwa wote pamoja na rais mwenyewe naona kabisa kuna kitu walikigundua hawa wenzetu kuhusiana na corona,na sidhani hata kama haya maamuzi aliyofanya Magufuli ni kwa mtazamo wake tu binafsi.
 
Pana maelezo ya kisayansi kwa nini Tanzania imeweza kuishinda Korona. Kupitia kwa maombi, sala na dua, viongozi wetu walifanya maamuzi sahihi kiafya ya jamii, kwa wakati, na hivyo kuwezesha korona kushindwa kuua watu kwa viwango vya watu kudondoka majiani kama walivyokuwa wakibashiri waliokuwa wakitutangazia kiama.

Na sasa Watanzania tunaendelea vema na maisha yetu ya kila siku. Mtaani sasa hivi ukivaa barakoa, watu wanakuhisi wewe ndiye mwenye korona!
 
Kwenye hili la Corona watuache na Rais wetu Magufuri tunaenda naye jino kwa jino... Hili la Corona mpaka sasa Mungu mwingi wa rehema ametusaidia na yuko nasi tuendelee kumuomba na kuwaombea wengine..
 
Suala la usiri si geni kwa hao viongozi limezoeleka,ila kuamini kwamba siri yenyewe yaweza kuwa ni covid19 hapo sidhani kama ina make sense.
Kwa nini?
 
Tuwape taarifa huku hawana dawa, bado watu hatuugui sasa wao wanataka nini?

Kama wanaona huruma walete dawa ya ukimwi, na kansa hayo magonjwa yapo muda mlefu kwa nini hawayazungumzii?
Mareria inaua kila siku wao hilo hawaoni bali ni corona tu.
 
Wapewe taarifa au lipoti ipi wakati kila siku mheshimiwa rais wetu anasema hakuna korona,sasa wao wanataka waambiwe kuwa kunawagonjwa Millioni sita ndo wajue hiyo ndo taarifa sahihi.

Kule wanakotoa taarifa sahihi kuna jipya gani ? Kuna kitu gani kimebadilika?

Huu ni upuuzi watuache
Wana dhamira negative nasi
 
Kwa nini?

Tusingeona basi Mama Magufuli akikumpatiana vile na Mama Mkapa wakati wakijua wazi kuwa ni Mke wa mtu aliyefariki na corona,lakini pia Kikwete alienda kumuona na alikuwa akiongea nae kabla ya umauti.

Hayo mambo yanafikirisha ikiwa kweli wanajua Mzee Mkapa alikufa na corona na bado wakaendelea kufanya hivyo vitu. Na hata ukiwaangalia hivi sasa hao viongozi bado si watu wenye kuiheshimu hiyo corona ikiwa wanajua ndiyo iliyo muondoa mwenzao.
 
Back
Top Bottom