Tanzania yahofiwa jinsi inavyoshughulikia Janga la Corona

Tanzania yahofiwa jinsi inavyoshughulikia Janga la Corona

Wengi waiathirika na corona kutokana na kuwa na HOFU. Baada ya raisi kututoa hofu na kutoa mbadala kwamba tupige nyungu kwa kwenda mbele, mtaani kwenu wamekufa wangapi kwa corona? Umefiwa na ndugu zako wangapi kwa corona? Kazini kwako je? Ugonjwa upo, ila umedhibitiwa. Tujifunze kuishi na corona. Tuendelee na majadala na tuendelee kuchukua hatua.
Imedhibitiwa kwa vp mkuu?
 
Tushaugua na wengi wetu tumepona watuache tuendelee na maisha yetu...p*mbav*
 
Hyo Ripoti ya WHO ni ya ukweli au uzushi? kuwa coroma haimbukizi?
 
Sisi tulichagua ‘herd immunity’ hata wao wanajua kwakuwa atujawahi fanya lockdown na madhara ayaonekani mpaka leo Corona ishapita Tanzania.
 
Kuiondoa Corona barani Africa?! Anaota huyo, USA,UK,China wameshindwa kuiondoa Corona itakuwa bara hili lenye huduma za afya za kuungaunga?!
Huyo aseme tu yeye ni agent wa biashara za pharmaceutical kwahiyo wanaona tz inaharibu hali ya hewa kibiashara. Covid19 hawaiondoi Leo wala kesho
 
Corona ni mradi wa kupiga mahela kwa hawa jamaa wanaolazimisha data ili wamiminiwe mapesa, Corona siyo threat kama Ebola na Maralia kwa sisi Waafrica.
Unaona?

Hii ni conspiracy theory,huna evidence!

Human brain can think about anything,shida ni evidence tu!
 
Mkapa kafariki kwa walichokitaja. Tuheshimu taaluma ya utabibu na taarifa rasmi za familia yake
And who believe that nonsense?

Atleast not me!

Mnajificha kwenye "family privacy" kutudanganya?

Afterall who cares?Kafa kwa corona,thats me!

Wewe endelea na "taarifa rasmi za familia" type bullshit....of which you are entitled to!
 
"Tunaendelea kutumaini na kuiomba Tanzania kuripoti hali ilivyo ili tuweze kufanya kazi kwa pamoja na kuondoa virusi hivi katika bara hili," alisema.
Mbona taarifa zinatolewa kila siku kuwa Tanzania hakuna Corona. Hata jana Mh. Rais katangaza kuwa Tanzania hakuna Corona. Kwani hawaoni tunavyojichanganya mitaani bila barakoa. Kiongozi gani wa nchi wamemuona akiwa na barakoa.

"Tunaendelea kuwasiliana na Tanzania lakini bado hatujapata majibu ambayo tunayatarajia," alisema.

Kwamba majibu wanayotarajia wao ni kuona Tanzania kuna Corona, wagonjwa wengi, maiti zimetapakaa mitaani. Hizi ndizo taarifa wanazozitarajia wao.
 
Wengi waiathirika na corona kutokana na kuwa na HOFU. Baada ya raisi kututoa hofu na kutoa mbadala kwamba tupige nyungu kwa kwenda mbele, mtaani kwenu wamekufa wangapi kwa corona? Umefiwa na ndugu zako wangapi kwa corona? Kazini kwako je? Ugonjwa upo, ila umedhibitiwa. Tujifunze kuishi na corona. Tuendelee na majadala na tuendelee kuchukua hatua.
Malaria ni hatari kuliko Corona! Inaua kila siku wakubwa kwa wadogo. Hawa CDC mbona hawaifuti malaria Africa?!
 
Mbona taarifa zinatolewa kila siku kuwa Tanzania hakuna Corona. Hata jana Mh. Rais katangaza kuwa Tanzania hakuna Corona. Kwani hawaoni tunavyojichanganya mitaani bila barakoa. Kiongozi gani wa nchi wamemuona akiwa na barakoa.

Kwamba majibu wanayotarajia wao ni kuona Tanzania kuna Corona, wagonjwa wengi, maiti zimetapakaa mitaani. Hizi ndizo taarifa wanazozitarajia wao.

Kwani viongozi kutokuvaa barakoa ndio dalili kuwa hakuna Corona? Watu wengi hawavai kondomu, je ukimwi umeisha? Watu wanakufa ila sio kwa wingi huo, na ugonjwa gani uliwahi kuona maiti zimetapakaa barabarani hapa Tanzania, mpaka useme kutapakaa kwa maiti hapa nchini ndio kipimo cha Corona,m
 
Wakati kwa wenzetu kila wakilisikia neno CORONA kutoka serikalini, taswira ya haraka inayojengeka akilini mwao ni LOCKDOWN, pasipo kujali utofauti wa maoni ama mitazamo. Bali kwetu taswira ya haraka inayojengeka kwetu ni LOCKUP endapo unapokuwa na maoni na mtazamo tofauti na mapenzi na natakwa ya watawala.
 
Waache kelele zao bwana, tushaambiwa Tanzania hakuna Corona
 
Halafu nashauri kabla ya kampeni kuanza na kabla ya uchaguzi tupige Tena nyungu ya kitaifa. Nina imani zile nyungu za watanzania wote ndio ziliikimbiza korona. Mh. Jafo aliibuka shujaa
 
82842E10-9553-47FA-B967-98511DCEA769.jpeg

Walituambia bila ya lockdown ivyo ndio Corona itakavyotambaa.

Tanzania aijawahi kuwa na lockdown sasa kama mtu mmoja anaweza ambukiza watu 406 kwa mwezi na kila anaembukizwa anaweza ambukiza watu 406 surely ugonjwa wenye kuambukiza kwa kasi hiyo auwezi kuwa siri kwenye jamii ata serikali ikisema ifiche data.

China walificha data kilichowapata dunia nzima iliona. Tanzania Corona sijui miujiza gani ilitokea lakini ukweli ni kwamba aipo.
 
View attachment 1529717

Ndio mantiki ya hoja yangu. Ingekuwa ugonjwa uko widespread, lazima tungekua tunalia kila siku kwamba tumepoteza majirani, workmates, schoolmates na makaburi ya jumuiya (mass graves) kama Brazil, Mexico na Italy yangekuwepo kila mtaa. Naona kutokuwa na lockdown na kusisitiza kupiga nyungu kumesaidia kutosambaza ugonjwa zaidi. Lakini pia HOFU iliua sana watu
 
Back
Top Bottom