Tanzania yahofiwa jinsi inavyoshughulikia Janga la Corona

Tanzania yahofiwa jinsi inavyoshughulikia Janga la Corona

And who believe that nonsense?

Atleast not me!

Mnajificha kwenye "family privacy" kutudanganya?

Afterall who cares?Kafa kwa corona,thats me!

Wewe endelea na "taarifa rasmi za familia" type bullshit....of which you are entitled to!
Na wewe hiyo corona itakuua lini??
 
Ndio mantiki ya hoja yangu. Ingekuwa ugonjwa uko widespread, lazima tungekua tunalia kila siku kwamba tumepoteza majirani, workmates, schoolmates na makaburi ya jumuiya (mass graves) kama Brazil, Mexico na Italy yangekuwepo kila mtaa. Naona kutokuwa na lockdown na kusisitiza kupiga nyungu kumesaidia kutosambaza ugonjwa zaidi. Lakini pia HOFU iliua sana watu
I agree
 
Jana nimeangalia KBC wakenya wameanza kuzuia wagonjwa wa corona kwenda hospital.
Yaani kama una corona na hauna dalili "BAKI NYUMBANI UJIUGUZE MWENYEWE".
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]HALI MBAYA.
Kenya wamelob hadi CDC huko ilimradi tufanane.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Shida ni kwamba walizichukua noti za mabeberu ili kuratibu janga hilo, hivyo wanatafuta mbinu za kuonesha wamezifanzia kazi.
Wenzetu jirani wameanza kuumbuana katika ufisadi wa noti hizo hizo.
Kwa maana fupi ni kuwa janga ni Fursa.
 
Na hiki nciho kinachowasumbua mpaka sasa, kwamba walichukua pesa za WHO, na sharti lake lazima uoneshe takwimu za gonjwa hili. Hii inaawathiri kwa sababu tawimu lzima zitolewe. By the way, haku asolution ya aina moja ya kupambana na ugonjwa kama WHO wnavyotuaminisha. Kila mmoja atumie mbinu anazoona zinamfaa. Maana waliruhusu marekani watumie dozi za malaria kutibu COVID 19 lakini hazijawasaidia lolote, ugonjwa ndio kwanza unasambaa zaidi.
 
Kwani corona inaua kwa muda gani toka mtu anapokua kapata maambukizi au inasubiri ituue kwa pamoja

Swali zuri sana, tukumbuke wanao chochea kampeine za kuisema vibaya Tanzania ni jirani wetu Kenya, wako overly obsessed na Tanzania for a reasons, namely: Wanajua kwamba tunakaribia kuingia season ya utalii, hivyo wanatumia media za Kimataifa wakiwa na lengo la kuwatisha watalii mojawapo ikiwa ni BBC, ingawa nasikia Kikeke ni Mtanzania bado naye anajitumbukiza kwenye njama hizo za Kenya hata kufikia hatua ya kutangaza fake video clip zinazo onyesha maiti zikizikwa usiku wa manane, hana hata courtesy ya kufanya uchunguzi wa kina kabla ya kutangaza, hakujali ethics za utangazaji/media as long as anainanga Tanzania kwake hiyo anaoni ni balabala!!

Tungetegemea Kenya waje wajifunze kutoka kwentu jinsi ya kulishugulikia suala la Corona, hata hawajiulizi inakuwaje vijana na watoto majority hawasumbuliwi na corona? Bahati nzuri Rais wetu ni mwana sayansi, yeye na wana sayansi wenzake walijua fika kwamba tukitaka kunusuru Wana nchi ni lazima tuwashauri wa boost immune system za miili yao kwa kula matunda/limao, tangawizi, turmeric, mchai chai - kujifukizia kwa majani ya ecalyptus, mwarobaini, mpera, kashwagara, hakuna kirisi cha corona kinaweza ku-survive joto kali, lipid ya corona inayeyushwa na joto kali, sabuni.

Mbinu tajwa hapo juu zimesaidia sana ku-tame maambukizi Tanzania na kusema kweli ni njia za kisayansi sio uchawi au nini sijui.

Tulielezwa vile vile kwamba virusi vina lodge kooni kwa siku tatu kabla havijateremka mapafuni hivyo ni vema ku-gurgle kwenye koo solution ya chumvi iliyo changanywa na maji ya uvugu vugu to kill virus kwenye koo, kila asubuhi na jioni - kwenye mwezi wa sita niliona NHS ya Uingereza ikiwashauri raia wake watumie mbinu hizo za kusukutua maji ya chumvi ambazo Watanzania wanazitumia kwa muda mrefu tu, kama Wakenya wangeiga mbinu hizo saa hizi Corona ingebakia historia katika Taifa la Kenya, lakini wakibaki wanasubiri Chanjo za Bill Gates/Mellinda, Oxford vaccine nk hapo watasibiri sana na ugonjwa utaendelea kusambaa kwa kasi.
 
Na wewe hiyo corona itakuua lini??
Mimi kufa na korona kuna uhusiano gani na wewe?

Kujua tarehe yangu ya my mortality kunakuongezea wewe utility gani hasa?

Nitakufa pale my mortality breaks,na infact sijui tarehe wala saa!

Infact pia wewe hujui tarehe wala saa,sasa sijui unauliza kitu ambacho ni impossible kwa mwanadamu kujua mimi nitajulia wapi kama sio ukichaa fulani hivi unaonesha?

Halafu kufa kwa korona sio tatizo au kufa kwa lolote lile.

Kila mtu lazima afe in one way or another....Jamaa yenu Mkapa went out by korona,which is okay!

Why y'all monkeys becoming emotional this much?

Mlitaka aishi milele?

Too bad hakuna mwanadamu au any living thing for that matter ataishi perpetually!Never
 
Wapewe taarifa au lipoti ipi wakati kila siku mheshimiwa rais wetu anasema hakuna korona,sasa wao wanataka waambiwe kuwa kunawagonjwa Millioni sita ndo wajue hiyo ndo taarifa sahihi.

Kule wanakotoa taarifa sahihi kuna jipya gani ? Kuna kitu gani kimebadilika?

Huu ni upuuzi watuache
Lengo janga liondolewe kisayansi sio kiimani na kutotoa data, jumuia ya kimataifa inalengo la kuliondoa sio kuishi nalo hiyo ndio tofauti yetu, takwimu za wazi zitolewe hata kama zitaonyesha zero, mashaka ni lazima kwa jinsi tunavyoshughulika nalo!
 
Na hiki nciho kinachowasumbua mpaka sasa, kwamba walichukua pesa za WHO, na sharti lake lazima uoneshe takwimu za gonjwa hili. Hii inaawathiri kwa sababu tawimu lzima zitolewe. By the way, haku asolution ya aina moja ya kupambana na ugonjwa kama WHO wnavyotuaminisha. Kila mmoja atumie mbinu anazoona zinamfaa. Maana waliruhusu marekani watumie dozi za malaria kutibu COVID 19 lakini hazijawasaidia lolote, ugonjwa ndio kwanza unasambaa zaidi.
Theories hizi,hakuna mwenye evidence!

Yaani kama vipimo vinaonesha "negative" wao wanaandika ni "positive" kwavile walipewa hela?

Where is the evidence for this?

South Africa nao "walikula" hela?

Uganda nao "walikula" hela na Rwanda pia?

Acheni majibu mepesi hivi....

Hapa internationa community will come back to us heavy....na we are responsible for our own actions....
 
Nafikiri huwajui wanasiasa wewe.
Kama unaamini mwanasiasa haogopi CORONA wala kufa ili aonekani kwenye TV. Pia viongozi wote mpaka JK ambaye ni mstaafu aliongea na Mkapa huku akijua ana Corona ila akafanya hivyo kwa ajili ya siasa wewe ni MPUMBAVU na huna akili. Sikujui Ila nakutukana ili uwe unatumia akili. WAPUMBAVU kama nyie ni wa kuelezwa ukweli tu. Hakuna namna nyingine.
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Hivi kwa nini hawataki kuamini kwamba Mungu katuepusha na pepo hilo walolitengeneza wenyewe?
 
Theories hizi,hakuna mwenye evidence!

Yaani kama vipimo vinaonesha "negative" wao wanaandika ni "positive" kwavile walipewa hela?

Where is the evidence for this?

South Africa nao "walikula" hela?

Uganda nao "walikula" hela na Rwanda pia?

Acheni majibu mepesi hivi....

Hapa internationa community will come back to us heavy....na we are responsible for our own actions....
Uganda , Rwanda na Kenya hawa wote wamepewa hela kasoro Tanzania tu
 
Uganda , Rwanda na Kenya hawa wote wamepewa hela kasoro Tanzania tu
Nchi zilizopokea pesa na misaada mingine ya corona ndio idadi ya vifo na maambukizi kwa wananchi wake inazidi kupata. Hii ina tafsiri kubwa sana
 
KTN walimuuliza Lissu swali kuhusu corona. Lissu naye alivyo kuwa mnafiki akajibu tunasikia corona iko lakini vyombo vya habari havitangazi maana vimenyimwa uhuru na sheria.

Ukijaribu kufikiri haya mahojiano inabidi ubakie kucheka tu. Huyo Lissu mwenyewe tangu mapokezi yake airport mpaka katika kikao cha mkutano ya kupitisha wagombea cdm na act hakuonesha dalili zozote za kuwa na hofu ya corona.

Lakini anaitangazia dunia Tanzania corona iko ila vyombo vya habari havitangazi.
 
Wakati mwingine yule ni wakumhurumia tu vitu vingine, naye anasikia hana uhakika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kwanini asinyamaze akafanya yafiti kwanza!
 
Nchi zilizopokea pesa na misaada mingine ya corona ndio idadi ya vifo na maambukizi kwa wananchi wake inazidi kupata. Hii ina tafsiri kubwa sana
Wewe kama hauna kitu unapambana kwa kadili ya uwezo wako, sasa wanalazimisha, kama Mungu katuepushia mbali kwanini tusimshukuru badala ya kumchokonoa?
 
Back
Top Bottom