Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
We hujui gesi ya tz inapata heshina kwa wawekezaji kwa sababu ya magaidi wa msumbiji jikumbushe kuhusu opportunity tuliyo pata kwa bomba la mafuta la Uganda kupitia tz badala ya kenya kufuatia ugaidi wa wasomali nchini kwenu,Hizi hadithi za sijui mlipigana mara mliikomboa Afrika kwa ulimwengu wa leo ni makelele yasiyokua na tija.
Hao magaidi wamekata vichwa vya raia wenu leo hii mnasema waitwe kikao cha kuwabembeleza.
Ina maana JWTZ wamebaki jeshi la maonyesho siku za sherehe tu, wale hupasua matofali.