Nyange
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 3,517
- 1,869
Eti bomoa bomoa inakuja nyumba 17,000. Jamaa wanafurahi kuumiza wananchi, iko siku hasira zitajibu nyie endeleeni
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama zimekyuka sheria na taratibu zilizopangwa ziache zibomolewe.Eti bomoa bomoa inakuja nyumba 17,000. Jamaa wanafurahi kuumiza wananchi, iko siku hasira zitajibu nyie endeleeni
Sent using Jamii Forums mobile app
Magumu ya kuendeshea serikali gizani?Jk hakuwa na Maamuzi Magumu tukasema tunataka Rais Mwenye Maamuzi Magumu
kwa sababu ya serikali ya washamba ndio maana ni laana tupu hakuna kinachokwenda mtukufu anakula bata na kakundi kakeKudhibiti Maandamano
Si umeona Leo Tundu Lissu na Hellen Kijo kisimba wameandamana wakiwa wameshika Mabango ndani ya Fence ya LHRC ingekuwa zamani ingekuwa Vurugu Mji Mzima
Maandamano yalianzia ndani ya Fence na yakaishia ndani ya Fence hiyo hiyo
Bora tulipe hizo sasa hivi na tuweze kupata mara 1000 ya hizo katika uhai wa taifa hili. Hata marekani waliwahi kuchukua maamuzi magumu ili kuweka misingi imara na endelevu ya kiuchumi na kiutawala.Maamuzi magumu ni haya ya kututia hasara ya 87bilioni baada ya kuvunja mkataba kinyume cha sheria?
Maamuzi magumu na sio maamuzi ya kipumbavuJk hakuwa na Maamuzi Magumu tukasema tunataka Rais Mwenye Maamuzi Magumu
Mtatetea kila aina ya upuuzi awamu hii!Tulikuwa kwenye huo mpango wa uwazi watu na walikuwa wanalalamika sasa 'wamesikia' tunatoka bado wanalalamika. Mtanzania hana jema, vema balaa, jua balaa.
Kazi gani ambazo anataka azidi kuzifanyia gizani?Mwacheni Rais achape kazi!
Namchukia mjomba ake Dotto, akili hamna busara sifuri..yan argh!Utawala wa hovyo kabisa kuwahi kutokea hapa nchini.
Hawataki serikali yenye uwazi, mambo yote wanafanyia gizani na mtu akiyasema anatukanwa na kufungiliwa mashtaka.