Tanzania yajiondoa kwenye Mkakati wa Uwazi, Ushiriki na Uwajibikaji(OGP)

Tanzania yajiondoa kwenye Mkakati wa Uwazi, Ushiriki na Uwajibikaji(OGP)

Maamuzi magumu ya kumkingia mfojaji wa vyeti bashite na kuwafukuza kazi wengine? Maamuzi magumu ya kuchota pesa hazina bila idhini ya Bunge? Maamuzi magumu ya kutudanganya Watanzania kwamba ataiheshimu katiba na kuilinda kasha kuidharau na kuzidharau sheria za nchi? Ni janga kubwa la Taifa huyu? Mkewe aliona mbali sana alipogoma kumfanyia kampeni sasa inakula kwa Watanzania.

Jk hakuwa na Maamuzi Magumu tukasema tunataka Rais Mwenye Maamuzi Magumu
 
Nazan hii kitu ilikua zaidi kwenye documentation but implementation /utekelezaji ulkua hakuna na zaidi ilikua watu wanatumia ela kibao kwenda nje na seminars kibao kuliko uhalisia. ..na nazan nchi haijajitoa kama nilivyomuelewa mleta mada ...ila imeomba off kwa mda...mbona uko nyuma haijatufaidsha?kama ingekua na umuhmu au inatekelezwa basi tulitegemea awamu ya JK ambayo Zito aliiamini zaidi iwe imeweka mikataba ya Gesi na Madini wazi badala ya kusafiri na misafara mirefu kila mwaka kwenda nje kwenye huo mkutano bila utekelezaji ...bora tuserve ela..
 
Ina maana awamu ya tatu iliondoka na mambo yake,"Uwazi na Ukweli"
 
kuna haja ya viongozi wa kitaifa kupimwa akili na mkojo kabla ya kugombea/kuteuliwa kushika nyadhifa hizo... naamini Sizonje asingepona either kwenye mkojo au akili au vyote... si bure aiseee. au kalogwa na alomloga keshakufa.
 
Jk hakuwa na Maamuzi Magumu tukasema tunataka Rais Mwenye Maamuzi Magumu

hakuwa na maauzi magumu ya kijinga kama hayo ya kuficha taarifa muhimu kwa raia wanaoimiliki serikali yao.
 
No wonder wanakaa na binamu yake Katibu mkuu hazina kupanga bajeti zisizopitia bungeni!

Kutokuwa muwazi ni dalili za kutojiamini, uhalifu, udokozi, usaliti, rushwa, upigaji dili na wizi.
 
Giza kwa giza....!!! hapa ni mwendo wa kupapasa, ukiishika nyama minya - meze fasta bila kutafuna ili jamaa wasishituke, shusha mkono fasta kuisaka nyingine maana ukizubaa utaishia kula wa maharage.

ugali.jpg
 
...hili jamaa linatupeleka Zimbabwe...ama Venezuela kwa kasi ya ajabu...muda utaongea....God forbid....wallah...
 
Maamuzi magumu ya kumkingia mfojaji wa vyeti bashite jambazi na kuwafukuza kazi wengine? Maamuzi magumu ya kuchota pesa hazina bila idhini ya Bunge? Maamuzi magumu ya kutudanganya Watanzania kwamba ataiheshimu katiba na kuilinda kasha kuidharau na kuzidharau sheria za nchi? Ni janga kubwa la Taifa huyu? Mkewe aliona mbali sana alipogoma kumfanyia kampeni sasa inakula kwa Watanzania.
Mimi anachoniudhi saana ni kutaja bure jina la Mungu wakati anajua anafanya ukandamizaji, dhuluma na vitisho kwa binadamu wenzie. Anajisombea laana bure kila kukicha. Time will tell. Heri ya JK alikuwa akiuma huku akivuvia na watu tukashindwa kumwelewa ndo maana hakupata maadui wengi.
 
mleta mada ...ila imeomba off kwa mda...mbona uko nyuma haijatufaidsha?
Maelezo yako nimeyapenda umeeleza vizuri kasoro hapo kwenye huo mstari wako kwa nini ujitoe kwa muda badala ya kurekebisha yale yasiyofaa tu ambako kimsingi haiitaji ujitoe Magufuri hapendi uwazi toka siku yake ya kwanza kwenye utawala wake kila kitu kuficha ficha tu hadi tume ya makinikia,ukumbuke ccm ni ile ile inaenda mbele na kurudi nyuma.
 
Back
Top Bottom