BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Maamuzi magumu ya kumkingia mfojaji wa vyeti bashite na kuwafukuza kazi wengine? Maamuzi magumu ya kuchota pesa hazina bila idhini ya Bunge? Maamuzi magumu ya kutudanganya Watanzania kwamba ataiheshimu katiba na kuilinda kasha kuidharau na kuzidharau sheria za nchi? Ni janga kubwa la Taifa huyu? Mkewe aliona mbali sana alipogoma kumfanyia kampeni sasa inakula kwa Watanzania.
Jk hakuwa na Maamuzi Magumu tukasema tunataka Rais Mwenye Maamuzi Magumu