swissme
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 13,663
- 19,894
Kazi inaendelea hivyo. Hapa kazi tu uwazi pelekeni kenya
Natumaini umeolewa na bashite.
Swissme
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi inaendelea hivyo. Hapa kazi tu uwazi pelekeni kenya
HahahahahaKazi inaendelea hivyo. Hapa kazi tu uwazi pelekeni kenya
Kazi inaendelea hivyo. Hapa kazi tu uwazi pelekeni kenya
Usiseme maneno ya ujinga kwa kinywa chako, wala moyo wako usiwe na haraka kunena mbele za Mungu; kwa maana, Mungu yuko mbinguni, na wewe upo chini, Kwa hiyo maneno yako na yawe machache.Mungu yupo!
Kuna mfano halisi hata mmoja wa mafanikio ya ogp? Kama hakuna kaa kimya!Methinks mpango wa OGP ni mshale wa nyongeza katika vita dhidi ya rushwa na ufisadi, sawa na vyombo huru vya habari, uhuru wa maoni na uwazi katika masuala yote yanayohusu umma. OGP haiwezi kuathiri mapambano dhidi ya maovu yoyote. Tukubali tu kwamba tumepata uongozi wenye upungufu na mamlaka zimeona njia pekee ya kuuhami na kuusaidia ni hii ya kurudi kwenye 'dark ages'. Swali, je haya yote yana baraka za ccm inayodai inaongoza nchi? I doubt.
Ni rahisi sana kuwajua mnavyojipanga na hizi pumba zenu hapo.Mtu anafanya mambo yake na mpwa wake kweli mnataka kuwe na uwazi? Acheni utani wajameni
Hivi kuna watu mpaka sas hivi wanamshangaa huyu jamaa na uendeshaji wake wa nchi.....mie niliacha hadi kumfwatilia kwa tumuache amalize tu mda wake aende nae kuchunga mifugo kwao ndo turudi hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Magumu ya kuendeshea serikali gizani?
Ulivyo vya ajabu kesho raisi akikana hii habari na wewe unageuka upande uleule aliopo raisi duh vituko kwa kweliKazi inaendelea hivyo. Hapa kazi tu uwazi pelekeni kenya
Siku unaamuka wenzako tunamalizia ujenzi wa airport. Achia mbali panga boy kuongezeka. Kaa hapo hapo. Wajanja tumeujua uzuri uzuri wa Kazi za Magu.Hofu na taharuki kubwa zimetanda nchini dikteta uchwara anafanya kila awezalo kuficha maovu yake. Serikali ndani ya giza nene.
Ulivyo vya ajabu kesho raisi akikana hii habari na wewe unageuka upande uleule aliopo raisi duh vituko kwa kweli