MKUU samahani kidogo nataka nikutoe nnje ya mada,kuna utofauti gani kati ya country na nation maana mie najua ni jina moja tu linamaana ya nchi,yani ni sababu zipi hasa zinatofautisha majina hayo,nitashukuru ukinijibuUnataka kuongelea nini hapo. Maana ninawaona wakenya tu hapo wakijipa promo. Tanzania imeweka wazi kabisa.
Sisi hatutaki unafiki. Ndio maana sasa tumeanza kufufua shirika la ndege.
Nyie endeleeni kujichetua tu. TZ is a stable Nation.
Halafu ikumbukwe Tanzania is both a country and Nation.
But Kenya is only a country.
Country ni nchiMKUU samahani kidogo nataka nikutoe nnje ya mada,kuna utofauti gani kati ya country na nation maana mie najua ni jina moja tu linamaana ya nchi,yani ni sababu zipi hasa zinatofautisha majina hayo,nitashukuru ukinijibu
SANTE SANA
Huwa hakuna taifa la kenya kuna nchi ya kenya tu.SANTE SANA
Huwa hakuna taifa la kenya kuna nchi ya kenya tu.
Lakini kuna taifa la tanzania vilevile nchi ya tanzania.
Hapo ni mawazo yako. Nchi yetu inaitwa United Republic of Tanzania.Bal bla bla!.......ZANZIBAR IPO KWENYE MCHAKATO WA KUJITOA!...Hamna kitu kama NCHI WALA TAIFA LA TANZANIA,
Labda ulimaanisha Nchi/Taifa la TANGA-NYIKA!
Bal bla bla!.......ZANZIBAR IPO KWENYE MCHAKATO WA KUJITOA!...Hamna kitu kama NCHI WALA TAIFA LA TANZANIA,
Labda ulimaanisha Nchi/Taifa la TANGA-NYIKA!
Umesahau Pwani ya Kenya wanataka kujitenga na bara?????Wazanzibar wanazidi kudai haki zao, hebu soma hii Mafao ya wazanzibari ya EAC waliodhulumiwa na Tanganyika watalipwa lini?
Tumeshang'atwa na nyoka lazima tustuke. Rudi nyuma yaliyojitokeza mwaka 1977 (Former EAC) kwa sasa tuko macho, nyie tangulieni, lakini mjue mkataba wa EPA umekula kwenue hususan ndugu zangu wa KIBERAHawa ndio zao, inabidi kuishi nao jinsi walivyo. Huwa wanabishia kila kitu kwa kiburi halafu bila aibu wanakifuata baadaye. Angalia historia yao, yaani hamna kitu kibaya kama maskini mwenye kiburi.
Wachukulie kama jinsi uwe na kaka mkubwa wako kijijini, hajabahatika kutoka ili aone mataa ya mjini, siku zote yupo huko huko halafu umemshinda kielimu na kiuchumi, sasa unakuta anabishia kila pendekezo lako bila hata kulitafakari, kusudi aonekane mbabe.
Inabidi kwendana naye japo kwa kutumia akili nyingi, unamletea pendekezo kiujanja janja ukitegemea lazima atalipiga chini, lakini unaiweka kwa jinsi yenye hatimaye atafuata.
Wapo slow sana kwenye kuelewa chochote, inachukua nguvu nyingi sana kuwaelimisha kwa kila pendekezo. Lakini kwa vile ni ndugu na majirani, tumeunganishwa kwenye kiuno, hamna jinsi ila kuishi nao hivyo.
Tanzania is our Nation. Shughurikeni na issue zenu.Wazanzibar wanazidi kudai haki zao, hebu soma hii Mafao ya wazanzibari ya EAC waliodhulumiwa na Tanganyika watalipwa lini?
Hapa umenielimisha
Tanzania is our Nation. Shughurikeni na issue zenu.
Naona mnaweweseka sana. Huu umoja wetu unawaumiza sana.
Hapa umenielimisha
HAPA UPO KWENYE SEHEMU /JUKWAA LA KENYA......ungekuwa wa kujishughulisha na za kwako hungelikuwepo hapa!Tanzania is our Nation. Shughurikeni na issue zenu.
Naona mnaweweseka sana. Huu umoja wetu unawaumiza sana.
mandimbwindi ndio nini?kiswahili kipana kweli!Kama ulikuwa hulijui hilo basi wengi wenyu humo Tanganyika ni mandimbwindi!