Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
KAMA MNAWEZA KUWAPIGA CHADEMA WATANZANIA WENZENU SEMBUSE WAGENI TENA KWA KAULI YA RAIS NA MATAMKO YA KISHENZI YA SO CALED WABUNGESerikali ya Tanzania imekanusha madai yaliyotolewa na wanaharakati wa Kenya na Uganda, Boniface Mwangi na Agather Atuhaire kuhusu kufanyiwa unyanyasaji wa kingono baada ya kushikiliwa nchini.
Akizungumza kwenye mahojiano na DW Kiswahili, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema madai hayo yaliyotolewa hayana ukweli na yana nia ya kuichafua Serikali na vyombo vya ulinzi na usalama.
"Hii nchi ina heshima zake, inaheshimiwa na kila mtu na watu wote wanaifahamu Tanzania, wao si watu wa kwanza kuja Tanzania, watu wengi wamekuja Tanzania. Kama wao wanakwenda kuzalisha tuhuma zao za uongo, wacha waendelee kufanya lakini Tanzania haiko hivyo. Wao walivunja sheria, wamechukuliwa hatua," amesema.
sio rahisi wakawa wamefanyiwa ivo, hawa activitists ni tatizo kwenye jamii always wana agenda zao zingineKwa hiyo kama walikosea ndiyo muwa ingize vidole kwenye rectum, ndiyo sheria inasema hivyo?
kwan aliowarudisha kina karua si ndo hao haoTanzania ikuilizwa swali moja walikamatwa na nani !. Mbona bunge na machawa walijadili au tanzania ya msumbuji ilisema wageni washugulikiwe haya maneno ya chura kiziwi samia
kwahiyo wakivunja sheria ndio muwapake vilainishi kwenye matyakoSerikali ya Tanzania imekanusha madai yaliyotolewa na wanaharakati wa Kenya na Uganda, Boniface Mwangi na Agather Atuhaire kuhusu kufanyiwa unyanyasaji wa kingono baada ya kushikiliwa nchini.
Akizungumza kwenye mahojiano na DW Kiswahili, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema madai hayo yaliyotolewa hayana ukweli na yana nia ya kuichafua Serikali na vyombo vya ulinzi na usalama.
"Hii nchi ina heshima zake, inaheshimiwa na kila mtu na watu wote wanaifahamu Tanzania, wao si watu wa kwanza kuja Tanzania, watu wengi wamekuja Tanzania. Kama wao wanakwenda kuzalisha tuhuma zao za uongo, wacha waendelee kufanya lakini Tanzania haiko hivyo. Wao walivunja sheria, wamechukuliwa hatua," amesema.
tanzania report finalSerikali ya Tanzania imekanusha madai yaliyotolewa na wanaharakati wa Kenya na Uganda, Boniface Mwangi na Agather Atuhaire kuhusu kufanyiwa unyanyasaji wa kingono baada ya kushikiliwa nchini.
Akizungumza kwenye mahojiano na DW Kiswahili, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema madai hayo yaliyotolewa hayana ukweli na yana nia ya kuichafua Serikali na vyombo vya ulinzi na usalama.
"Hii nchi ina heshima zake, inaheshimiwa na kila mtu na watu wote wanaifahamu Tanzania, wao si watu wa kwanza kuja Tanzania, watu wengi wamekuja Tanzania. Kama wao wanakwenda kuzalisha tuhuma zao za uongo, wacha waendelee kufanya lakini Tanzania haiko hivyo. Wao walivunja sheria, wamechukuliwa hatua," amesema.
Kama hawakuteswa na kuzalilishwa kingono mbona mliwarudisha Kwa usafiri wa Ardhini Badala ya ndege kama walivyokuja.Serikali ya Tanzania imekanusha madai yaliyotolewa na wanaharakati wa Kenya na Uganda, Boniface Mwangi na Agather Atuhaire kuhusu kufanyiwa unyanyasaji wa kingono baada ya kushikiliwa nchini.
Akizungumza kwenye mahojiano na DW Kiswahili, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema madai hayo yaliyotolewa hayana ukweli na yana nia ya kuichafua Serikali na vyombo vya ulinzi na usalama.
"Hii nchi ina heshima zake, inaheshimiwa na kila mtu na watu wote wanaifahamu Tanzania, wao si watu wa kwanza kuja Tanzania, watu wengi wamekuja Tanzania. Kama wao wanakwenda kuzalisha tuhuma zao za uongo, wacha waendelee kufanya lakini Tanzania haiko hivyo. Wao walivunja sheria, wamechukuliwa hatua," amesema.
Msigwa aache upumbavu. Maisha bila kufanya uchawa yanawezekana!Serikali ya Tanzania imekanusha madai yaliyotolewa na wanaharakati wa Kenya na Uganda, Boniface Mwangi na Agather Atuhaire kuhusu kufanyiwa unyanyasaji wa kingono baada ya kushikiliwa nchini.
Akizungumza kwenye mahojiano na DW Kiswahili, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema madai hayo yaliyotolewa hayana ukweli na yana nia ya kuichafua Serikali na vyombo vya ulinzi na usalama.
"Hii nchi ina heshima zake, inaheshimiwa na kila mtu na watu wote wanaifahamu Tanzania, wao si watu wa kwanza kuja Tanzania, watu wengi wamekuja Tanzania. Kama wao wanakwenda kuzalisha tuhuma zao za uongo, wacha waendelee kufanya lakini Tanzania haiko hivyo. Wao walivunja sheria, wamechukuliwa hatua," amesema.
Wanazunguka tu kukwepa ukweli, ila kila mwenye akili anaelewa kilichotokeaKama hakuteswa na kuzalilishwa kingono mbona mliwarudisha Kwa usafiri wa Ardhi I Badala ya ndege kama walivyokuja.
Pili mbona Uhamiaji wasihusishwe katika kuwa India Tanzania na kuwakabidhi kwa mamlaka husika.
Ni aibu kubwa Kwa hiyo msemaji na kwa sirikali kuwa waongo
Hao wameauma kuchuma bupu, wacha wajikune.Kama hawakuteswa na kuzalilishwa kingono mbona mliwarudisha Kwa usafiri wa Ardhini Badala ya ndege kama walivyokuja.
Pili mbona Uhamiaji wasihusishwe katika kuwawasafirisha toka Tanzania na kuwakabidhi kwa mamlaka husika nchni mwao..