Sasa niko Tayari kutoa ushahidi utakaowakaanga wahusika
Aisee,Tanzania yakubali Masharti ya Commonwealth kuleta wachunguzi huru wa mauaji ya 10/25.
Wewe umeelewa nini...Hivi umeielewa vizuri hicho kilichoandikwa hapo hususani hio namba 6 umeelewa vizuri?
Nimeelewa Palamagamba Kabudi tu, na hio maana hawezi kufanya mnavyotaka nyinyi, ushaelewa?Wewe umeelewa nini...
KifupiNimeelewa Palamagamba Kabudi tu, na hio maana hawezi kufanya mnavyotaka nyinyi, ushaelewa?
Hujanielewa mkuu hivi kuna kesi inayosikilizwa upande mmoja? Mjumbe huyo amemfikia mwananchi gani ambae amehojiwa na kutoa maelezo zaidi ya alietajwa hapo juu?Kifupi
CMAG ilifurahia uamuzi wa Tanzania kukubali kupokea na kusaidia kazi ya Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu atakayefanya ziara mwezi Machi 2026
Hiyo sio mahakama na hapo hamna kesi ni mjumbe maalumu anaye FANYA ziara kuangalia kilichojiriHujanielewa mkuu hivi kuna kesi inayosikilizwa upande mmoja? Mjumbe huyo amemfikia mwananchi gani ambae amehojiwa na kutoa maelezo zaidi ya alietajwa hapo juu?
Mbona nimeandika mjumbe maalumu au hujasoma vizuriSio Katibu Mkuu bali mjumbe
Maalum (special Envoy) wa Katibu Mkuu
Sasa mnashangalilia nini wakati mtu anakuja kutalii? Zimetia kichwani?Hiyo sio mahakama na hapo hamna kesi ni mjumbe maalumu anaye FANYA ziara kuangalia kilichojiri
Anaye shangilia ni nani?Sasa mnashangalilia nini wakati mtu anakuja kutalii? Zimetia kichwani?
Vitu vingine bora muwe mnakausha tu kuliko kuwatia watu tumaini hewaAnaye shangilia ni nani?
Nimeonesha mashaka yangu hapo juu post number 11 na sijawatia watu matumaini hewa kama unavyo daiVitu vingine bora muwe mnakausha tu kuliko kuwatia watu tumaini hewa
Hata mimi sijaona kitu special kwenye hiyo habari.Vitu vingine bora muwe mnakausha tu kuliko kuwatia watu tumaini hewa