PostGE2025 Tanzania yakubali Masharti ya Commonwealth kuleta Wachunguzi Huru wa Matukio ya Uchaguzi 2025

PostGE2025 Tanzania yakubali Masharti ya Commonwealth kuleta Wachunguzi Huru wa Matukio ya Uchaguzi 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Tatizo hujishughulishi. Hapo ni kwamba kamati itatekeleza yale maelekezo ya awali, sasa wewe hujui maelekezo ta awali yalikuwaje?

Maelekezo ya awali ya CMAG ilikuwa Jumuia ya madola kufanya uchunguzi huru, ambao ungesimamiwa na Rais mstaafu wa Malawi. Na hapo wamesisitiza kuwa watatekeleza hayo.
Huyo jamaa anaendeshwa na hisia, hata hajui ni masharti gani yalitolewa katika kikao cha Commonwealth cha mwaka jana.
 
Ikumbukwe awali serikali ya Tanzania ilikataa kuupokea ujumbe wa Chakwera.

View attachment 3554737
ikiwa wewe binafsi hujielewi,
kamwe huwezi kuelewa wajibu, majukumu na kazi za CMAG ya commonwealth,

hakuna nchi yoyote ndani ya jumuiya hiyo inaweza kukataa fursa hiyo muhimu ya kiuchumi kwa members wa CMAG kuja kufanya utalii wa kidemokrasia Tanzania na kujifunza mambo mbalimbali kuhusu utawala, haki, uwajibikaji na uwazi katika uongozi wa nchi. CMAG hufanya haya kwa members wake kote ulimwenguni, na
ni jambo la kawaida na ni sehemu ya wajibu wa jumuiya hiyo isiyo na athari duniani.
 
Haya vizuri sasa soma kuanzia juu mpaka chini halafu soma kile nilichoandika, unasoma bila kutafsiri sasa unasoma nini au unasoma km kilivyoandika kisha unabaki nacho hivyo hivyo? Na nani kakwambia kwamba sijui lugha? Ningewezaje kusoma km sijui kimeandikwa nini si ningepita tu hapa km naaga maiti? Nimesoma nikapata tafsiri ndio nikaandika ninavyoona mimi hatuwezi kufanana kimawazo na kifikra, unavyofikiria sivyo ninavyofikiria shtuka
Tofautisha CONTENT na CONTEXT.

Unaweza kusoma na usijue maana yake.
 
ikiwa wewe binafsi hujielewi,
kamwe huwezi kuelewa wajibu, majukumu na kazi za CMAG ya commonwealth,

hakuna nchi yoyote ndani ya jumuiya hiyo inaweza kukataa fursa hiyo muhimu ya kiuchumi kwa members wa CMAG kuja kufanya utalii wa kidemokrasia Tanzania na kujifunza mambo mbalimbali kuhusu utawala, haki, uwajibikaji na uwazi katika uongozi wa nchi. CMAG hufanya haya kwa members wake kote ulimwenguni, na
ni jambo la kawaida na ni sehemu ya wajibu wa jumuiya hiyo isiyo na athari duniani.
Mbona mwanzo mliikataa convoy ya Chakwera.
 
Ni issue gani zilikuwa raised by CMAG? Nadhani tungeazia hapo kwanza…
Kulikuwa na kikao December Tarehe 5 December 2025..

Walitaka kujua kwanini kulitokea mauwaji katika Uchaguzi..

Walitaka kujua kwanini Kuna Ukandamizaji wa haki za kisiasa

Walitaka kujua kuhusu mfumo usio sawa wa kiuchaguzi....kumbuka Kuna makubaliano kati ya nchi za jumuiya kuwa na Uchaguzi Bora na haki

Walitaka kujua kuhusu malalamiko ya uhuru wa habari, mawasiliano.. internet nk na vitu kama hivyo...

Sasa Tanzania ikajikausha...Sasa jana wakakumbushua kwamba lazima special envoy iende na irudi...

Hii envoy ikija tayari wanajua baadhi ya vitu...Tena vingi tuu...na wanajua hali ya kisiasa hapa Tanzania

Watahoji watu wa kada mbalimbali kujua kilichotokea.. hata watu wa siasa..na baada ya hapo wataondoka kimya... Na kupeleka majibu huko juu
 
Waanze na yule waziri ambaye yumo kwenye tume waende kwa muliro waende kwa wambira wamalizie kwa mgunda

Waje kwa wananchi bila kumsahau yule bibi aliyepigwa risasi akaja kuponea hospitali alipo zinduka akijikita yupo kwenye kundi la maiti

Baada ya hapo wakahakikishe Yale makaburi ya halaiki kama yapo na wapime kitaalamu na mengine mengi ambayo wataiona yanafaa kuchunguzwa
 
Kwa hiyo wale jamaa wa tume ya Chande wanaendelea kupiga mpunga lakini matokeo ya tume yao hayatatambulika popote
 
Ni issue gani zilikuwa raised by CMAG? Nadhani tungeazia hapo kwanza…
Haya ni baadhi ya Masharti waliyopewa na Mkutano wa Commonwealth uliopita wa CMAG 71 uliofanyika Dec 5, 2025.
======
Mkutano wa CMAG 71 uliamua kwamba Tanzania iingizwe kwenye Ajenda Rasmi ya CMAG kwa mkutano ujao mwezi Machi 2026, ili CMAG ichukue uamuzi kuhusu Tanzania. Uamuzi wa CMAG utategemea kutimizwa kwa masharti yafuatayo:
a. Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu apewe upatikanaji kamili na huru kwa wadau wote muhimu haraka iwezekanavyo;
b. Kufutwa kwa vikwazo dhidi ya uhuru wa mikutano na maoni, asasi za kiraia, na vyombo vya habari;
c. Kufanyika kwa jukwaa la ushauri kati ya vyama vya siasa ili kukubaliana juu ya mfumo wa pamoja wa kuelekea uchaguzi ujao; na
d. Kutekelezwa kwa taratibu za kisheria na kiutawala zilizo wazi za kuwajibisha wahusika wa vurugu na matokeo yake na kutoa fidia kwa waathirika, pale inapofaa.
 
Watu wengi humu inaonekana ni ama hawajui English au wanakurupuka kuweka comments bila ya kuelewa kilichoandikwa. Wameelewa neno visit tu, bila ya kujua content nzima. Ngoja tuwasaidie wajinga wa English:
1. 'CMAG urged Tanzania to take necessary steps in support of its statement to Commonwealth Charter and its political values:
Tafsiri:
CMAG iliiambia Tanzania kuchukua hatua muhimu za kuthibitisha kauli yake ya kuzingatia Msingi wa Jumuia ya madola, na misingi ya kuendesha siasa zake.
Note: Hapa ina maana Tanzania ilitoa tamko kuwa inaendelea kuzingatia misingi ya Jumuia ya Madola na kuheshimu miiko ya kisiasa ambayo nchi imeiwekea. Sasa Jumuia ya Madola, inaiambia Tanzania ithibitishe hiyo kauli kwa vitendo.

2. CMAG decided to retain Tanzania on its formal Agenda, to advance, with support of the secretariat, on the areas outlined in CMAG's 71st Charter meeting in Dec 2025.
Tafsiri:
CMAG imeamua kuiacha Tanzania kwenye agenda ya awali, ya kuendelea kutekeleza, kwa usaidizi wa sekretarieti ya Jumuia ya Madola, kwenye maeneo yote yaliyoainishwa kwenye kikao cha 71 kilichokaa Desemba 2025. Hapa, ili uelewe sawasawa unatakiwa ufahamu kiundani mambo yaliyokuwa yameainishwa kuhusiana na Tanzania kwenye kikao cha Desemba mwakajana. Wale ambao hawajui, maazimio ya mwakajana ilikuwa Jumuia ya Madola iisaidie Tanzania kurudi kwenye misingi ya kuheshimu demokrasia, haki za binadamu, na pia ikomeshe utekaji na mauaji. Katika kufikia malengo hayo, ilimteua Rais mstaafu wa Malawi kuwa kiongozi wa tume ya Katibu Mkuu wa Jumuia ta Madola kwenye kushughulikia tatizo la uvunjifu wa haki nchini Tanzania. Huyo mteule wa katibu mkuu, alitakiwa kukutana na wadau mbalimbali ili baadaye atoe mapendekezo kwa Jumuia ya Madola juu ya hatua za kuchukua. Lakini, kwa kiburi, watawala wa Tz waligoma kutoa ushirikiano kwa mjumbe huyo na kamati yake. Kwa hiyo sasa hivi watawala wa Tz wamesema wapo tayari kutoa ushirikiano.

3. CMAG welcomed Tz's commitment to receive and facilitate the visit and WORK of the secretary General's special envoy in March.
Tafsiri:
(Hapa ndipo wengi wameambulia patupu!) Wamechukua tu visit:
CMAG imekaribisha dhamira ya Tanzania ya kukaribisha na kusaidia kuwezesha safari na KAZI ya Ujumbe wa Katibu Mkuu wa Jumuia ya Madola, itakayokuja mwenzi Machi. Hapa ina maana Katibu mkuu wa Jumuia ya Madola emeteua kamati itakayoenda kufanya kazi Tanzania, na watawala wa Tanzania wamekubali kuwa kuipa ushirikiano kamati hiyo. Hiyo kamati inakuja kufanya KAZI gani? Ni yale maelekezo ya yaliyotolewa kwenye kikao cha CMAG cha 71 kilichofanyika mwezi Desemba 2025. Hiyo ni visit ya kufanyia kazi maazimio ya kikao cha Desemba 2025, siyo kuja kutalii. Kwenye Kuswahili rahisi ni safari ya kikazi. Unapoenda kufanya kazi mbali na mahali ulipo, ni lazima usafiri, ndiyo ukafanye kazi.

Nadhani ufafanuzi huu utawasaidia wale wenye shida ya lugha ya Kiingereza, na wale wanaojua Kiingereza lakini hawana utulivu wa akili, wanasoma haraka haraka na kuanza kukurupuka kujibu.
 
Haya ni baadhi ya Masharti waliyopewa na Mkutano wa Commonwealth uliopita wa CMAG 71 uliofanyika Dec 5, 2025.
======
Mkutano wa CMAG 71 uliamua kwamba Tanzania iingizwe kwenye Ajenda Rasmi ya CMAG kwa mkutano ujao mwezi Machi 2026, ili CMAG ichukue uamuzi kuhusu Tanzania. Uamuzi wa CMAG utategemea kutimizwa kwa masharti yafuatayo:
a. Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu apewe upatikanaji kamili na huru kwa wadau wote muhimu haraka iwezekanavyo;
b. Kufutwa kwa vikwazo dhidi ya uhuru wa mikutano na maoni, asasi za kiraia, na vyombo vya habari;
c. Kufanyika kwa jukwaa la ushauri kati ya vyama vya siasa ili kukubaliana juu ya mfumo wa pamoja wa kuelekea uchaguzi ujao; na
d. Kutekelezwa kwa taratibu za kisheria na kiutawala zilizo wazi za kuwajibisha wahusika wa vurugu na matokeo yake na kutoa fidia kwa waathirika, pale inapofaa.
Asante sana kwa kuyaweka vizuri maazimio ya kikao cha 71 kuhusu Tanzania.
 
Huyo jamaa anaendeshwa na hisia, hata hajui ni masharti gani yalitolewa katika kikao cha Commonwealth cha mwaka jana.

Nadhani upo sahihi sana. Jambo lipo wazi, lakini mtu anakwepesha ili kuifurahisha nafsi yake.
 
Lazima watueleze ipo miili ya ndugu zetu ni swala la muda tu Matako yao by Sugu
 
Weka hapa hayo masharti ya kwenye hicho kikao cha 71 cha December 2025, huna kaa kimya
Nimekwambia hujui kitu unaendeshwa na mihemuko ambayo haitakusaidia.

Back
Top Bottom