- Thread starter
- #21
Huo ni mtazamo wako hauwezi kuwa wa wote, muhimu wamekubali masharti mawazo ya kuwa wanakuja kutalii ni hisia zako.Sasa mnashangalilia nini wakati mtu anakuja kutalii? Zimetia kichwani?
Huo ni mtazamo wako hauwezi kuwa wa wote, muhimu wamekubali masharti mawazo ya kuwa wanakuja kutalii ni hisia zako.Sasa mnashangalilia nini wakati mtu anakuja kutalii? Zimetia kichwani?
Kama hujui lugha za watu acha wanaojua wajadili content yake.Vitu vingine bora muwe mnakausha tu kuliko kuwatia watu tumaini hewa
Watagundua l taarifa nzito(of course wanazo tayari) watazitumia kui-blackmail Serikali. Mwakani utasikia wamekuja kufanya Uwekezaji mkubwa. Na tutashangilia mama anaupiga mwingi, gharama ya damu ndugu zetu inalipia unyonge zaidi.
Sasa kumbe jibu unalo sometimes sio kila kitu mnachekelea hao wanamleta kuja kujisafisha unafikiri kuna kingine kipi watafanya km sio kutaka kujisafisha waonekane wao hawakufanya hivyo walivyoambiwa wamesingiziwa we unafikiri watafanyaje?Naomba kuuliza kwa wenye uzoefu namna huyo mjumbe maalumu anaweza kufanya ili kupata ukweli kamili ambao hauja chekechwa na magaidi walio jiweka madarakani
Wewe unajua mpaka nafika kuuliza unajua kilichoandikwa mimi sio fala umeelewa mkuu angalia vizuri kilichoandikwa hapo au unataka nikutafasirie sio kila kitu mnachekelea sasa mjumbe kuja kukutembelea eeh haya akishakutembelea wewe unapata nini si wanaongea na waliofanya ya kufanya kwani wanaongea na wewe? Hivi vitu vingine sio vya kuvichekeleaKama hujui lugha za watu acha wanaojua wajadili content yake.
Hizo ni hisia zako na matamanio yako let's wait for reality.Sasa kumbe jibu unalo sometimes sio kila kitu mnachekelea hao wanamleta kuja kujisafisha unafikiri kuna kingine kipi watafanya km sio kutaka kujisafisha waonekane wao hawakufanya hivyo walivyoambiwa wamesingiziwa we unafikiri watafanyaje?
Haya wewe wamekwambia wakija watakutembelea nyumbani kwako kukukagua yule ndugu yako aliyefumuliwa ubongo alivyoshambuliwa sikue ile ya October 29 alishambuliwajwe au wanaishia kua wageni wa Bwana Kabudi? Hivi tunaelewana hapa?Huo ni mtazamo wako hauwezi kuwa wa wote, muhimu wamekubali masharti mawazo ya kuwa wanakuja kutalii ni hisia zako.
Vitu vingine sio vya kuchekelea sababu hao hawaji kwa ajili ya wananchi wanakuja kwa ajili ya Serikali na watamalizana na Serikali kwa hio hilo suala la kusema wataongea na watu wa kada mbalimbali km zipi hakuna sahau issue ni kujisafisha na huwezi kutaka kujisafisha huku unatumia matope lazima uchafuke upyaNi wazi kuwa kuna kupishana lugha na huyo special envoy anakuja kufanya tathmini yake binafsi. Na akija hawataweza kum-contain ataongea na watu wa kada mbalimbali na hata wahanga wa hiyo Oct 29…
Hii sio news nzuri kwa serikali!
Ni issue gani zilikuwa raised by CMAG? Nadhani tungeazia hapo kwanza…“… CMAG welcome Tanzania’s commitment to receive and facilitate the visit….looks forward to a robust assessment…on issues raised by CMAG”.
Hayo masharti ni yapi?
kuleta wachunguzi huru… hiyo sentensi haimo kama heading inavyosema.
UNa tatizo kwenye lugha ya Kiingereza?Nimeelewa Palamagamba Kabudi tu, na hio maana hawezi kufanya mnavyotaka nyinyi, ushaelewa?
Muhimu wamekubali masharti mengine hatujui ni hisia tu.Wewe unajua mpaka nafika kuuliza unajua kilichoandikwa mimi sio fala umeelewa mkuu angalia vizuri kilichoandikwa hapo au unataka nikutafasirie sio kila kitu mnachekelea sasa mjumbe kuja kukutembelea eeh haya akishakutembelea wewe unapata nini si wanaongea na waliofanya ya kufanya kwani wanaongea na wewe? Hivi vitu vingine sio vya kuvichekelea
Tatizo hujishughulishi. Hapo ni kwamba kamati itatekeleza yale maelekezo ya awali, sasa wewe hujui maelekezo ta awali yalikuwaje?“… CMAG welcome Tanzania’s commitment to receive and facilitate the visit….looks forward to a robust assessment…on issues raised by CMAG”.
Hayo masharti ni yapi?
kuleta wachunguzi huru… hiyo sentensi haimo kama heading inavyosema.
Ndiyo maana nakuambia hujui unachodhania, masharti yalitolewa kwenye kikao cha 71 cha Dec 2025.Haya wewe wamekwambia wakija watakutembelea nyumbani kwako kukukagua yule ndugu yako aliyefumuliwa ubongo alivyoshambuliwa sikue ile ya October 29 alishambuliwajwe au wanaishia kua wageni wa Bwana Kabudi? Hivi tunaelewana hapa?
Haya vizuri sasa soma kuanzia juu mpaka chini halafu soma kile nilichoandika, unasoma bila kutafsiri sasa unasoma nini au unasoma km kilivyoandika kisha unabaki nacho hivyo hivyo? Na nani kakwambia kwamba sijui lugha? Ningewezaje kusoma km sijui kimeandikwa nini si ningepita tu hapa km naaga maiti? Nimesoma nikapata tafsiri ndio nikaandika ninavyoona mimi hatuwezi kufanana kimawazo na kifikra, unavyofikiria sivyo ninavyofikiria shtukaSerikali ya Tanzania imetakiwa kuthibitisha statement yao waliyoitoa ya kuendelea kuzingatia misingi ya Commonwealth kwenye masuala ya haki na demokrasia, na sekretarieti ya Juuia ya madola itatuma ujumbe wa kushirikiana na Tanzania katika kuhakikisha yale maelekezo ya kamati ya jumuia ya mafola yanatekelezwa. Maelekezo ya kamati ya haki ya Jumuia ya Madola ilikuwa Jumuia ya Madola kufanya uchunguzi huru, na kisha kupeleka matokeo ya uchunguzi huko Jumuia ya Madola.
Hii ina maana muda siyo mrefu uchunguzi wa jumuia ya mafola kuhudiana na ukiukaji wa misingi ya haki na demokradia kama ilivyoainidhwa na Jumuia ya Mafola, utaanza.