NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 4,253
- 5,789
Baada ya kuharibu ushahidi ndio wamekubali?Ikumbukwe awali serikali ya Tanzania ilikataa kuupokea ujumbe wa Chakwera.
View attachment 3554737
Masharti waliyopewa na Mkutano wa Commonwealth uliopita 71, Dec 5, 2025.
============
Mkutano wa CMAG 71 uliamua kwamba Tanzania iingizwe kwenye Ajenda Rasmi ya CMAG kwa mkutano ujao mwezi Machi 2026, ili CMAG ichukue uamuzi kuhusu Tanzania. Uamuzi wa CMAG utategemea kutimizwa kwa masharti yafuatayo:
a. Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu apewe upatikanaji kamili na huru kwa wadau wote muhimu haraka iwezekanavyo;
b. Kufutwa kwa vikwazo dhidi ya uhuru wa mikutano na maoni, asasi za kiraia, na vyombo vya habari;
c. Kufanyika kwa jukwaa la ushauri kati ya vyama vya siasa ili kukubaliana juu ya mfumo wa pamoja wa kuelekea uchaguzi ujao; na
d. Kutekelezwa kwa taratibu za kisheria na kiutawala zilizo wazi za kuwajibisha wahusika wa vurugu na matokeo yake na kutoa fidia kwa waathirika, pale inapofaa.
Labda Kiingereza ni tatizo. Tanzania iligoma kuwapa free access na kusema wameunda tume yao. Jana ilikuwa commonwealth wafanya maamuzi yao.Nimeelewa Palamagamba Kabudi tu, na hio maana hawezi kufanya mnavyotaka nyinyi, ushaelewa?
Dogo komaa na avatar picha moja ya joker. Unatuchanganya asee!Hivi umeielewa vizuri hicho kilichoandikwa hapo hususani hio namba 6 umeelewa vizuri?
Rudi kwenye azimio lao la December 2025 utakipata hicho unachokisema.“… CMAG welcome Tanzania’s commitment to receive and facilitate the visit….looks forward to a robust assessment…on issues raised by CMAG”.
Hayo masharti ni yapi?
kuleta wachunguzi huru… hiyo sentensi haimo kama heading inavyosema.
Shida yako hujaelewa Azimio lao la December 2025 linasema nini. Lisome hilo ndio utajua wanakuja kufanya nini.Wewe unajua mpaka nafika kuuliza unajua kilichoandikwa mimi sio fala umeelewa mkuu angalia vizuri kilichoandikwa hapo au unataka nikutafasirie sio kila kitu mnachekelea sasa mjumbe kuja kukutembelea eeh haya akishakutembelea wewe unapata nini si wanaongea na waliofanya ya kufanya kwani wanaongea na wewe? Hivi vitu vingine sio vya kuvichekelea
Sawa mkuuDogo komaa na avatar picha moja ya joker. Unatuchanganya asee!
Hii tutaambulia patupuBaada ya kuharibu ushahidi ndio wamekubali?