Tanzania yakubali ombi la Kenya kuwapatia madaktari 500

Hapo ulinzi ni Wa muhimu sana maana wenzako wamegoma walipwe stahiki zao arafu unaenda kuchukua nafasi zao hiyo balaa.
 
Leo tarehe 18/03/2017 Tanzania imekubali rasmi ombi la kuipatia Kenya madaktari 500 ambao watasaidia kupunguza tatizo la madaktari linaloikabiri nchi hiyo!

Zaidi soma hapa.View attachment 482774View attachment 482775
Vp kuhusu swala la usalama wa watz hao madaktar pind watakapokuwa kule? Mana itakuwa ni kam wameenda kukaba rzki ya wale walogoma.... Serikal ya tz haijaona kam hao madr wanaowapeleka wataenda kuzua varangat lingine la aina yke?
 
Well, hilo watauliza wao
 
Iam saying those 500 doctors wont come cos kenyan doctors already got back to work ..strike ended last week
Mgomo umeisha last week, na huyo waziri wenu kaja tz lini?
 
mgomo uliisha kitaaaaaaaambo ,ata wakenya wengi wamesha-sahau

heri mungewaajiri nyumbani you need them ,tanzania has the lowest ratio of doctors to civilians in all of east africa ,
hata rwanda na uganda wamewashinda
Rwanda -1 doctor to 16,000 patients
Kenya -1 doctor per 17,000 patients
Uganda -1 doctor per 24,000 patients
Tanzania -1 doctor per 25,000 patients

Tanzania: Govt Trains More Doctors Than It Can Employ - Study
50,000,000/25,000 = 2000 Drs

Hizo figure labda ni miongo iliopita, Tz kwa mwaka mmoja inazalisha zaidi ya 900Drs, sasa kusema Tz nzima ina madaktari 2000 ni propaganda ya kitoto au kutokuwa na taarifa sahihi. Madaktari tu waliopo mtaani bila ajira ya kueleweka ni karibu na 1500 saivi.
 
mgomo uliisha kitaaaaaaaambo ,ata wakenya wengi wamesha-sahau

heri mungewaajiri nyumbani you need them ,tanzania has the lowest ratio of doctors to civilians in all of east africa ,
hata rwanda na uganda wamewashinda
Rwanda -1 doctor to 16,000 patients
Kenya -1 doctor per 17,000 patients
Uganda -1 doctor per 24,000 patients
Tanzania -1 doctor per 25,000 patients

Tanzania: Govt Trains More Doctors Than It Can Employ - Study
Kwa sababu kwa sasa hatujawaajiri, ngoja wakatumike huko kwenu kwanza then watarudi
 
Iam saying those 500 doctors wont come cos kenyan doctors already got back to work ..strike ended last week
Yet your health CS ameomba kukutana Magu leo, yeye ndio anajua anachokitaka, yeye pia anajua mgomo umeisha na amesisitiza demand mojawapo ya mgomo ilikuwa ni uchache wa madaktari, sasa wameamua wawaongezee hao.
 
Hasira zipi wakati madaktari wetu tayari wameongezewa hela nyingi sana.
Hao wanaokuja watalipwa hela ambazo zitawazidi hata walioajiriwa awali Bongo.

Tatizo la hizo hela kwa maisha ya huko Kenya hazina thamani,wanaweza kuishia kula tu,maana ukienda sokoni vitu vinauzwa ghali karibia mara mbili ya bongo.

Uzuri wa hii move ni kwamba baada ya mkataba kuisha watakuja nyumbani wakiwa na uzoefu wa kutosha na serikali haitawarudisha mitaani.na kwa upande wa Kenya mshukuru mmpata madaktari wenye uwezo wa kuongea kiswahili na kiingereza,maana wataweza kufanya kazi katika kila County hadi vijijini bila tatizo lolote kwa wazeee lakini muonyeshe ushirikiano wakati tunawapima tezi dume.
 
tezi dume[emoji13]
 
Iam saying those 500 doctors wont come cos kenyan doctors already got back to work ..strike ended last week

I think it is true. Doctors in Kenya did not want Money alone, they said they needed their ratio to patients increased, I think this was also among things discussed on return to work.

Kenya is likely to source doctors from Tanzania, Rwanda, Cuba and India to bring the workforce to about 10,000
 
Tatizo la hizo hela kwa maisha ya huko Kenya hazina thamani,wanaweza kuishia kula tu,maana ukienda sokoni vitu vinauzwa ghali karibia mara mbili ya bongo.

Uzuri wa hii move ni kwamba baada ya mkataba kuisha watakuja nyumbani wakiwa na uzoefu wa kutosha na serikali haitawarudisha mitaani.na kwa upande wa Kenya mshukuru mmpata madaktari wenye uwezo wa kuongea kiswahili na kiingereza,maana wataweza kufanya kazi katika kila County hadi vijijini bila tatizo lolote kwa wazeee lakini muonyeshe ushirikiano wakati tunawapima tezi dume.

Yaah man, watulie tuli wanapopigwa madoko.
 
Nimeishi nchi zote mbili, hivyo huna jipya la kuniambia kuhusu tofauti ya maisha pande zote mbili. Hao madaktari wenu wakija, wengi hawatakubali kurudi kwa hayo mahangaiko, watapata ujuzi na kuajiriwa kwenye mahospitali ya kibinafsi Kenya maana sioni jinsi watakubali kuja kushushiwa mishahara.

Halafu hilo la lugha, madaktari wetu vijijini huwa wanaongea lugha zetu za Kiafrika za asili na wazee wetu.
 
Hasira zipi wakati madaktari wetu tayari wameongezewa hela nyingi sana.
Hao wanaokuja watalipwa hela ambazo zitawazidi hata walioajiriwa awali Bongo.

Tunahofia hilo kwa sababu ya utamaduni wenu wa kubaguana. Kama Mkikuyu anaweza kumbagua Mjaluo atashindwa kweli kumbagua mTanzania??
Tafadhali muwatendee wema tu hao. Ni vijana wadogo sana wengi wao hata hawajapindukia miaka 27.
 
Nimefarijika sana kuona hili, at least itapunguza ukali wa tatizo la ajira kwa madaktari, GoT nayo ijipange for long term solution ya ajira, vinginevyo after two years tena tutakuwa na madaktari wengi sana mtaani.
Hapa umesema kaka ni jambo njema sana kwa manufaa ya hawa madktari, kwa sasa nchi inazalisha madktari wengi sana kuliko mahitaji yetu kwa sasa, ingekua bora zaidi serikali ifanye bidii kuwatafutia nchi zingine zenye mahitaji ya madktari.
 
Tunahofia hilo kwa sababu ya utamaduni wenu wa kubaguana. Kama Mkikuyu anaweza kumbagua Mjaluo atashindwa kweli kumbagua mTanzania??
Tafadhali muwatendee wema tu hao. Ni vijana wadogo sana wengi wao hata hawajapindukia miaka 27.

Siku utatoka kijiweni na kuacha kutegemea hadithi za hapo ndio utakua, lakini kwa sasa sina jinsi ya kukusadia. Waache vijana wajasiri waliosoma zaidi yako na wenye uwezo wa kufikiri zaidi yako wavuke mpaka na kupata riziki yao.
 
Umejibu vyema
 
Back
Top Bottom