..ok.
..sasa hebu nieleze kwanini serikali imeshindwa kuajiri madaktari.
..utetezi wako ni nini haswa?
..sijasema mambo yote yasimame ili tuajiri madaktari.
..Nimekupa mfano wa baadhi ya mambo ambayo siyo ya maana yanayopaswa kusimamishwa ili tuajiri
madaktari na kuboresha mfumo wetu wa huduma za afya.
..kwa mfano serikali wanadai wanahamia dodoma ili kupeleka "huduma" karibu na wananchi.
..mimi napinga kuingia gharama kujenga makazi na maofisi ya serikali Dodoma. Badala yake napendekeza zijengwe Zahanati na Hospitali na tuajiri madaktari. Naamini that is better use of our tax payers money.
..kuhusu habari yako ya Canada. Kuna tofauti kati ya kuwa underutilize ma specialist na kutokuajiri junior doctors.
..vilevile wenzetu wa Canada are engaging one another kutafuta jinsi ya kutatua tatizo hilo. Hatujasikia Canada wakiwaambia Wamarekani au nchi nyingine wasombe madaktari toka Canada.
..Canada hawashangilii brain-drain ya madaktari wao kwenda nchi nyingine.
..Tanzania Raisi wetu na waziri wa Afya ndiyo cheer leaders numba moja ati Madaktari tuliowasomesha kwa
shida waende kuhudumu Kenya.
..kila Mtanzania mwenye mapenzi mema na nchi hii inapaswa kuhoji uamuzi wa kuridhia Madaktari wetu kwenda Kenya.
cc
MK254,
Nguruvi3