Tanzania yakubali ombi la Kenya kuwapatia madaktari 500

Siku utatoka kijiweni na kuacha kutegemea hadithi za hapo ndio utakua, lakini kwa sasa sina jinsi ya kukusadia. Waache vijana wajasiri waliosoma zaidi yako na wenye uwezo wa kufikiri zaidi yako wavuke mpaka na kupata riziki yao.

Hii mijadala haihitaji hasira. Eleza hoja na unieleweshe kwa hoja.
Tufanye kama vijana wa kileo wanavyosema ...wacha maneno weka mantiki au UKWELI.
 
Vipi wataruhusiwa kuoa bila cheti cha kuzaliwa?
Je wakihitaji pumpuchi watahudumiwa?
 
Hii mijadala haihitaji hasira. Eleza hoja na unieleweshe kwa hoja.
Tufanye kama vijana wa kileo wanavyosema ...wacha maneno weka mantiki au UKWELI.
Sina hasira nakupa ukweli kwamba hujafikia level ya kujadili baadhi ya hoja maana ni wazi haupo exposed.
 
I think it is true. Doctors in Kenya did not want Money alone, they said they needed their ratio to patients increased, I think this was also among things discussed on return to work.

Kenya is likely to source doctors from Tanzania, Rwanda, Cuba and India to bring the workforce to about 10,000
It is sad that even the Kenyans on this thread didn't realise what their doctors were fighting for in the first place.
This agreement to bring in (and at the same time train locally) more doctors was part of the return to work formula along with facilities, equipment upgrades etc. Kenyans this is to your health benefit, this is set to make u a healthier population. I expected the Tanzanians to be up in arms but not the Kenyans. SMDH.
 
Hala hala ndugu zangu madaktari muendao huko Kenya,muwe waangalifu sana na ikibidi mpatiwe ulinzi.
Apeleke madaktari mademu wakali madaktari wa Kenya watanyamaza Kenya
 
..kila mahali waTz wanalalamika kukosa huduma nzuri za afya.

..wakati huohuo kuna mamia ya madaktari wako mitaani na serikali haiwaajiri.

..halafu Raisi na Waziri wa Afya wanatangaza kutoa " msaada" wa madaktari kwenda Kenya.

..zingatia kwamba ratio ya daktari kwa mgonjwa huku Tanzania ni ndogo kuliko Kenya. Kwa maana kwamba daktari wa Tz anahudumia wagonjwa wengi kuliko daktari wa Kenya.

..Je, waTz hatuhitaji huduma za madaktari hao waliosomeshwa kwa kodi zetu?

Cc MK254
 
Huko Kenya nako kuna madaktari waliomaliza vyuo na bado hawajapewa ajira.Je sie Watanzania kwetu hakuna ajira ila Kenya zipo.Kuweni makini.
 
..kila mahali waTz wanalalamika kukosa huduma nzuri za afya.

..wakati huohuo kuna mamia ya madaktari wako mitaani na serikali haiwaajiri.

..halafu Raisi na Waziri wa Afya wanatangaza kutoa " msaada" wa madaktari kwenda Kenya.

..zingatia kwamba ratio ya daktari kwa mgonjwa huku Tanzania ni ndogo kuliko Kenya. Kwa maana kwamba daktari wa Tz anahudumia wagonjwa wengi kuliko daktari wa Kenya.

..Je, waTz hatuhitaji huduma za madaktari hao waliosomeshwa kwa kodi zetu?

Cc MK254
Kama hamna pesa za kuwalipa unataka iweje?
 
mgomo uliisha kitaaaaaaaambo ,ata wakenya wengi wamesha-sahau

heri mungewaajiri nyumbani you need them ,tanzania has the lowest ratio of doctors to civilians in all of east africa ,
hata rwanda na uganda wamewashinda
Rwanda -1 doctor to 16,000 patients
Kenya -1 doctor per 17,000 patients
Uganda -1 doctor per 24,000 patients
Tanzania -1 doctor per 25,000 patients

Tanzania: Govt Trains More Doctors Than It Can Employ - Study
Izi taarifa kama ulizo weka apa huwa zina wapotosha sana wa Kenya wanaona wapo vizuri kumbe wana hali mbaya viongozi wenu wa Kenya wanajua ukweli ndio maana tatizo likiwapata wanakimbilia Tanzania kuomba misaada
Tulianza na chakula kila mwaka tunawapatia
Sasa tumekuja kwa madaktari
Badae walimu
Ww endelea kujipa moyo na vi takwimu vyako
 
Kama hamna pesa za kuwalipa unataka iweje?

..that is interesting.

..lakini ni kweli hatuna pesa za kuwalipa?

..mbona tumeweka order ya madege boeing 787 tena tumelipa cash, halafu unasema hatuna uwezo wa kuajiri madaktari?

..kuna dhahabu, gesi, etc inachimbwa hapa Tz mapato yanakwenda wapi kiasi cha kushindwa kuajiri madaktari?

..majuzi tumeamua kuhamisha serikali toka Dsm kwenda Dodoma. Je pesa za zoezi hilo zimetoka wapi? Kwanini zisitumike kuajiri madaktari na kuwasambaza nchi nzima?

Cc MK254, The Boss
 
Sina hasira nakupa ukweli kwamba hujafikia level ya kujadili baadhi ya hoja maana ni wazi haupo exposed.

Safi sana naongea na mtu ambaye yuko well informed and exposed to this matter at hand.

Tafadhali jibu hoja ifuatayo....
(Kumbuka mijadala hii haihitaji hasira)

MK254

Iconoclastes

Kafrican

Mekatilili

You are strongly denying the adverse effects resulting from doctors boycotting. You pointed out that almost all Kenyans are capable to pay for treatment to private health facilities. Again you talked about availability of private hospitals. Which indeed you praised it as a well established network.

NOW.

See the title of your daily nation and a briefing on the misfortune and fatalities as a result of boycotting.

Doctors' strike is over! But the pain, deaths and costs will be felt for many years.

WEDNESDAY MARCH 15 2017
  • Patients. with cancer, expecting mothers, the terminally ill, the poor and vulnerable and those in emergency care have paid an atrocious price.
  • In December, Ms Tabitha Bitali had also been turned away from Moi Teaching and Referral Hospital, where she was scheduled to undergo a goitre operation.
  • Some patients were turned away from public hospitals while others were abandoned in the facilities as doctors stayed away from their duty stations
 
Rais wa Kenya sio mzalendo kwa hili,

hufanyi vitu agressively/ubabe namna hii.............

Kuna wakati UK walikua na shortage ya manesi,watu wa mataifa mengine wakawa wanaenda,kukawa na sheria mgeni anapewa kazi only kama mwenyeji hayupo,

sasa hili la kumnyang'anya mtu wako kazi na kumpa mgeni ni la kustajaabisha,

wakenya inabidi wawe macho,

Rais wenu anaweza kuwauza hivi hivi....
 
..that is interesting.

..lakini ni kweli hatuna pesa za kuwalipa?

..mbona tumeweka order ya madege boeing 787 tena tumelipa cash, halafu unasema hatuna uwezo wa kuajiri madaktari?

..kuna dhahabu, gesi, etc inachimbwa hapa Tz mapato yanakwenda wapi kiasi cha kushindwa kuajiri madaktari?

..majuzi tumeamua kuhamisha serikali toka Dsm kwenda Dodoma. Je pesa za zoezi hilo zimetoka wapi? Kwanini zisitumike kuajiri madaktari na kuwasambaza nchi nzima?

Cc MK254, The Boss

Dreamliner itasaidia kuongeza mapato ya nchi ambayo ndio yataongeza wigo wa serikali kuajiri. Huwezi kutumia mapato yako yote kwenye kuajiri madaktari na kutoa mikopo kwa wanafunzi bila kuongeza vyanzo vya mapato.

JPM angekuwa anatafuta umaarufu wa kisiasa angetumia mapato yote kuwapa mikopo wanafunzi na kuajiri kila mtu, je mwisho wake ungekuwa nini na mapato hayaongezeki wakati watu wanaongezeka?

Sasa hivi nguvu kubwa imeelekezwa kwenye kukusanya kodi na kuongeza vyanzo vya mapato ili kupata ujeuri wa kulipa waajiriwa wengi zaidi.

Kitu kimoja cha kujua, nchi nyingi za Afrika pamoja na Tanzania zina mapato madogo sana kuliko unavyodhania.
 
Safi sana naongea na mtu ambaye yuko well informed and exposed to this matter at hand.

Tafadhali jibu hoja ifuatayo....
(Kumbuka mijadala hii haihitaji hasira)

MK254

Iconoclastes

Kafrican

Mekatilili

You are strongly denying the adverse effects resulting from doctors boycotting. You pointed out that almost all Kenyans are capable to pay for treatment to private health facilities. Again you talked about availability of private hospitals. Which indeed you praised it as a well established network.

NOW.

See the title of your daily nation and a briefing on the misfortune and fatalities as a result of boycotting.

Doctors' strike is over! But the pain, deaths and costs will be felt for many years.

WEDNESDAY MARCH 15 2017
  • Patients. with cancer, expecting mothers, the terminally ill, the poor and vulnerable and those in emergency care have paid an atrocious price.
  • In December, Ms Tabitha Bitali had also been turned away from Moi Teaching and Referral Hospital, where she was scheduled to undergo a goitre operation.
  • Some patients were turned away from public hospitals while others were abandoned in the facilities as doctors stayed away from their duty stations

Hehehehe!!! Man you are thick, actually several millimeters thick and no amount of education can make you better, you are a gone case. You opened a thread asking this very question and Kenyans participated painstakingly trying to educate you and it's so sad and shocking that you got thicker and worse.

At no time did any Kenyan insinuate the lack of adverse effect, we simply put it clearly that the situation was mitigated (made less severe) by the fact that we have a vibrant private sector, with so many cheaper private medical facilities all over the estates. It'd have been disastrous had this strike happened say in Tanzania where a huge percent of the population depends heavily on services subsidized by government.
 
Hakuna Daktari Kenya hana ajira, hawatoshi

Punguza uongo ama acha kuongelea vitu usivyovijua.

Hire 1,400 jobless Kenyans instead of bringing Tanzania doctors -Oluga
Mar. 18, 2017, 3:00 pm
By NANCY AGUTU, @nancyagutu

KMPDU secretary general Ouma Oluga has criticised the government for bringing new doctors from Tanzania yet Kenya has many unemployed doctors.

"Kenya has about 1,400 doctors awaiting employment. It would be very costly and therefore a show of imprudent public finance management to have 500 Tanzania doctors at Sh20,000 per day," he said.

Kenya producing 600 doctors a year but counties not hiring - survey
Feb. 04, 2016, 3:00 pm
By GEORGE MURAGE

Kenya produces 600 doctors a year but many do not get employed by counties, a medical association official has said, painting a grim picture of the public health sector.

Kenya producing 600 doctors a year but counties not hiring - survey
 
Dreamliner itasaidia kuongeza mapato ya nchi ambayo ndio yataongeza wigo wa serikali kuajiri. Huwezi kutumia mapato yako yote kwenye kuajiri madaktari na kutoa mikopo kwa wanafunzi bila kuongeza vyanzo vya mapato.

JPM angekuwa anatafuta umaarufu wa kisiasa angetumia mapato yote kuwapa mikopo wanafunzi na kuajiri kila mtu, je mwisho wake ungekuwa nini na mapato hayaongezeki wakati watu wanaongezeka?

Sasa hivi nguvu kubwa imeelekezwa kwenye kukusanya kodi na kuongeza vyanzo vya mapato ili kupata ujeuri wa kulipa waajiriwa wengi zaidi.

Kitu kimoja cha kujua, nchi nyingi za Afrika pamoja na Tanzania zina mapato madogo sana kuliko unavyodhania.

..siyo kweli.

..mashirika mengi ya ndege huendeshwa kwa ruzuku kwa muda mrefu kabla hayajaanza kupata faida. Na faida yenyewe huwa siyo kubwa.

..ni UZEMBE mkubwa sana kusomesha madaktari halafu serikali ishindwe kuwaajiri.

..unasema tuna mapato kidogo wakati huohuo tunafuja pesa kuhamisha serikali na kujenga mji mkuu mpya.
 
Punguza uongo ama acha kuongelea vitu usivyovijua.

Hire 1,400 jobless Kenyans instead of bringing Tanzania doctors -Oluga
Mar. 18, 2017, 3:00 pm
By NANCY AGUTU, @nancyagutu

KMPDU secretary general Ouma Oluga has criticised the government for bringing new doctors from Tanzania yet Kenya has many unemployed doctors.

"Kenya has about 1,400 doctors awaiting employment. It would be very costly and therefore a show of imprudent public finance management to have 500 Tanzania doctors at Sh20,000 per day," he said.

Hire 1,400 jobless Kenyans instead of bringing Tanzania doctors -Oluga

Kenya producing 600 doctors a year but counties not hiring - survey
Feb. 04, 2016, 3:00 pm
By GEORGE MURAGE

Kenya produces 600 doctors a year but many do not get employed by counties, a medical association official has said, painting a grim picture of the public health sector.

Kenya producing 600 doctors a year but counties not hiring - survey

Huo ni mchezo wa ping-pong kati ya hicho chama cha madaktari na serikali, sasa labda vijana wasiokua na ajira wajitoketeze wenye vyeti kabisa vya udaktari ndio tubaini ukweli.
 
Hehehehe!!! Man you are thick, actually several millimeters thick and no amount of education can make you better, you are a gone case. You opened a thread asking this very question and Kenyans participated painstakingly trying to educate you and it's so sad and shocking that you got thicker and worse.

At no time did any Kenyan insinuate the lack of adverse effect, we simply put it clearly that the situation was mitigated (made less severe) by the fact that we have a vibrant private sector, with so many cheaper private medical facilities all over the estates. It'd have been disastrous had this strike happened say in Tanzania where a huge percent of the population depends heavily on services subsidized by government.

Du hapa pana kazi.
Nilidhani
I'm discussing the issue with a guy who can think, conceptualize and link ideas. Kumbe du.... If there where no adverse impact on Kenyans health.... why your government even after boycott is over decided to hire a good number of doctors from Tanzania? For a smarter guy would think that health sector was in bad condition even before the doctors strike. The strike just came to unveil the situation. This is why your govt did this to fix the misfortune.
 
Back
Top Bottom