joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Tena Koko tu. Hawana lolote wanajidai wamejaa madeniMimi niko pamoja na maamuzi sahihi ya serikali kuhusu kufunga mpaka na Kenya. Yani kenya wanajionaga Europe hawa
Siasa za kishamba hizi
MY TAKE: Wakiinuka sisi tunakaa, adui muombee njaa, atanyenyua mikono hata kama ni shujaa. Hahahaha, hahahaha.
Mtaangaika sana. Kenya haitalegeza masharti zake kwa Tanzania. So is either you shape in or you ship out. I give that border three days to be reopened and then we continue with our business of testing Tanzanian drivers in every trip they make.
MY TAKE: Wakiinuka sisi tunakaa, adui muombee njaa, atanyenyua mikono hata kama ni shujaa. Hahahaha, hahahaha.
Bado wanatawaliwa na wazungu hawa vikaragosi.....wangebaki kutawaliwa hadi leo...
Sahau wewe nyang'au.Mtaangaika sana. Kenya haitalegeza masharti zake kwa Tanzania. So is either you shape in or you ship out. I give that border three days to be reopened and then we continue with our business of testing Tanzanian drivers in every trip they make.
Hahahaha, Uhuru Kenyatta itamlazimu kupiga magoti tena, vinginevyo mtakufa kwa njaaMtaangaika sana. Kenya haitalegeza masharti zake kwa Tanzania. So is either you shape in or you ship out. I give that border three days to be reopened and then we continue with our business of testing Tanzanian drivers in every trip they make.
Mtaangaika sana. Kenya haitalegeza masharti zake kwa Tanzania. So is either you shape in or you ship out. I give that border three days to be reopened and then we continue with our business of testing Tanzanian drivers in every trip they make.
Hahaha, sababu ya kufungwa mlitaka muwapime madereva wetu,tukafunga mpaka fasta,hakuna Nugu kutoka Kenya kuingia TZ.l assure you,hamtampima dereva hata mmoja kutoka TZ,nyinyi hamna Hadhi ya kumpima MTZ,pumbav.u nyinyi.Mtaangaika sana. Kenya haitalegeza masharti zake kwa Tanzania. So is either you shape in or you ship out. I give that border three days to be reopened and then we continue with our business of testing Tanzanian drivers in every trip they make.
Kenya hakuna vipimo vya njaaTuseme UKWELI TZ hakuna vipimo vya korona