Tanzania yalipiza kisasi tena, yafunga mpaka wake wa Holili baada ya Kenya kuzuia madereva wa Tanzania kuingia Kenya

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Shughuli za kiforodha katika mpaka wa Tanzani na Kenya eneo la Holili zimesimama kwa siku ya pili baada ya mamlaka za serikali ya Kenya kudaiwa kukiuka makubalino ya Namanga yaliyotaka kila nchi kuheshimu vyeti vya upimaji wa ugonjwa wa COVID-19.

Hatua hiyo inafutia madereva wa malori kutoka Tanzania kutakiwa kuchukuliwa sampuli upya ili waruhusiwe kuingia nchini #Kenya jambo ambalo linakiuka makubaliano hayo.

MY TAKE: Wakiinuka sisi tunakaa, adui muombee njaa, atanyenyua mikono hata kama ni shujaa. Hahahaha, hahahaha.
 
That's the way to deal with Kenyan hegemony.

They export to us more than we export to them.

So, they need our business more than we need theirs.

For all we care, we can close the border permanently like Nyerere administration did from 1977 to 1983.
 
MY TAKE: Wakiinuka sisi tunakaa, adui muombee njaa, atanyenyua mikono hata kama ni shujaa. Hahahaha, hahahaha.

Mtaangaika sana. Kenya haitalegeza masharti zake kwa Tanzania. So is either you shape in or you ship out. I give that border three days to be reopened and then we continue with our business of testing Tanzanian drivers in every trip they make.
 
Sahau wewe nyang'au.
 
Hahahaha, Uhuru Kenyatta itamlazimu kupiga magoti tena, vinginevyo mtakufa kwa njaa
 
Mtaangaika sana. Kenya haitalegeza masharti zake kwa Tanzania. So is either you shape in or you ship out. I give that border three days to be reopened and then we continue with our business of testing Tanzanian drivers in every trip they make.
Hahaha, sababu ya kufungwa mlitaka muwapime madereva wetu,tukafunga mpaka fasta,hakuna Nugu kutoka Kenya kuingia TZ.l assure you,hamtampima dereva hata mmoja kutoka TZ,nyinyi hamna Hadhi ya kumpima MTZ,pumbav.u nyinyi.
 
Back
Top Bottom