joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Shughuli za kiforodha katika mpaka wa Tanzani na Kenya eneo la Holili zimesimama kwa siku ya pili baada ya mamlaka za serikali ya Kenya kudaiwa kukiuka makubalino ya Namanga yaliyotaka kila nchi kuheshimu vyeti vya upimaji wa ugonjwa wa COVID-19.
Hatua hiyo inafutia madereva wa malori kutoka Tanzania kutakiwa kuchukuliwa sampuli upya ili waruhusiwe kuingia nchini #Kenya jambo ambalo linakiuka makubaliano hayo.
MY TAKE: Wakiinuka sisi tunakaa, adui muombee njaa, atanyenyua mikono hata kama ni shujaa. Hahahaha, hahahaha.