Tanzania yanunua "ITX Bullet Trains" kutoka Korea Kusini

Kumbe kumchagua lisu ndio kuwa vizuri, wakenya bhana
Nampongeza kw kutofuata mkumbo, anajifanyia maamuzi anavyopenda yeye..
Km jamaa alikua akinengua na miradi yote anayofanya magu hapa jf alafu kumbe ana maamuzi ya kwake hta bila kufuata upepo..

Nimempongeza sana
 
Mimi sina sifa ya kupiga kura, lakini kama ningekua na sifa hizo, hata siku moja siwezi kumchagua Lissu.
 
Sijabisha, ila natamani speed zaidi ya 160kmph.
 
BURETI TREINI YA 160 km/hr HAHAHAHAHAHAH
Maajabu ya bureti treiniiiiiiii jahjaahhhahahhahhah🤣🤣🤣🤣🤣🤣[emoji79][emoji79][emoji79][emoji79][emoji79][emoji79][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji74][emoji74][emoji317]
 
Juzi Uhuru alipandisha Museveni garimoshi Nairobi-Mombasa akitegemea atam-convince a-change mind na kuanzisha mchakato wa SGR Naivasha-Malaba-Kampala, jamaa karudi Uganda akakaa kimyaa!

Tanzania is being termed a problem child in here (0,38 min)!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…