Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Evidence? Give me evidence from TRC the train will run at 200km/h? BTW the locomotives specification is 6 cars n not 8 cars!Wanaposema 160km/hr ni total average speed...Kuna sehemu itaenda 80km/hr na sehemu nyingine 200km/hr...February sio mbali...
Hapo Nimekuelewa Kama Ule Wimbo Wa Mwanaume Mashine, Hata Sura Iwe MbovuChizi huyo, nimemuelewa ila nimemkaushia sina mpango kumjibu, sasa train za mizigo hata zikifana na uso wa Simba kuna umuhimu gani?.
Cargo trains umuhimu wake ni nguvu ya kuvuta mzigo, na kasi yake, sasa sura ina umuhimu gani?
TRC walisema eight cars wewe..Evidence? Give me evidence from TRC the train will run at 200km/h? BTW the locomotives specification is 6 cars n not 8 cars!
Nimeomba evidence!TRC walisema eight cars wewe..
Makame mbarawe alishaongelea ilo Jambo kabla yakuamishwa wizara...160km/hr ni average speed yakutoka Dar to Morogoro. Speed meter za train ya Kenya zinasoma 180km/hr lakini average speed ni 120km/hr... Sasa Kama iyo sio average speed basi jua train zitachelewa zaidi.Evidence? Give me evidence from TRC the train will run at 200km/h? BTW the locomotives specification is 6 cars n not 8 cars!
Evidence ipo YouTube Sikiliza video siku ya uzinduzi...Nimeomba evidence!
Nimeomba evidence post hiyo video hapa!Evidence ipo YouTube Sikiliza video siku ya uzinduzi...
Swali ina cars ngapi?? (Mabehewa)....Mbona hiyo mbele imechongoka zaidi kuliko KTX🤣🤣🤣...
Kenya maximum speed ya passenger locomotive trains for SGR ni 200km/hr...Lakini Average speed ya train yao ni 120 km/hr 👇👇👇.Nimeomba evidence!
Evidence ya Tanzania si Kenya! I wonder Kenya with blunders all over on their SGR project is ur example.Kenya maximum speed ya passenger locomotive trains for SGR ni 200km/hr...Lakini Average speed ya train yao ni 120 km/hr 👇👇👇.
Tafuta mwenyewe video ya siku ya uzinduzi pamoja na ziara ya Kassim Majaliwa alisema kuhusu 8 cars...I can't do everything for you...Nakazi nyingi za kufanya...Evidence ya Tanzania si Kenya! I wonder Kenya with blunders all over on their SGR project is ur example.
Locomotive inaweza kuwa na speed kubwa....Kinacho limit Ni design ya reli....Reli yote itakuwa programmed in terms of speed pindi itakapoisha kuanzia zero kilometer hadi mwisho...Kila kilometer itakuwa na maximum speedEvidence ya Tanzania si Kenya! I wonder Kenya with blunders all over on their SGR project is ur example.
Uache kuropoka!Tafuta mwenyewe video ya siku ya uzinduzi pamoja na ziara ya Kassim Majaliwa alisema kuhusu 8 cars...I can't do everything for you...Nakazi nyingi za kufanya...
Tatizo la watu wengine ni kutaka mambo makubwa wakati uwezo hawana, ngoja hata hizo za ITX zikifika zenye kutumia masaa matatu hadi Dodoma, setikali ikiweka nauli ya Tsh 50,000 wataanza kulalamika sana, wanataka zenye mwendo mkali lakini nauli iwe chini ya nauli za Bus.Uache kuropoka!
Hajitambui huyu Yani ununue kitu cha gharama halafu huna matumizi nacho Kwasababu tu eti unaweza kupunguza speed ukatumia kweli jamaa kichaaHivi unatumia akili wewe au matope?, kila design inatengenezwa kutoka na mahitaji ya mwendo wa train, kama kasi ni kubwa sana, ndio mbele inachongwa kufanana na ndege, sasa kwa kasi ya 160Km/hr inalazimisha utengenezewe kitu chenye gharama kubwa inayofanana na 320km/hr, hivi hayo ni matumizi mazuri ya pesa?. Kama hao wenyewe pamoja na utajiri wao lakini Wanatumia ITX kasi ya 160km/h, sisi tunautajiri gani wa kufuja pesa?
Baba Acha ubishi. Reli imekuwa designed kwa spidi ya juu zaidi ya km200/saa sasa wewe unalazimisha ingia treni inayokwenda at 350km/h sasa hiyo ni nini? By the way this spidi yenyewe wa 160km/h unafikiri ni ndogo? Hiyo inamaanisha hapa na moro ni kati ya 45min -1 hr sasa hiyo sio hatua. Dodoma under 3 hours hiyo sio hatua? ?Wanaposema 160km/hr ni total average speed...Kuna sehemu itaenda 80km/hr na sehemu nyingine 200km/hr...February sio mbali...
Hivi unaelewa maana ya neno "average"...??Baba Acha ubishi. Reli imekuwa designed kwa spidi ya juu zaidi ya km200/saa sasa wewe unalazimisha ingia treni inayokwenda at 350km/h sasa hiyo ni nini? By the way this spidi yenyewe wa 160km/h unafikiri ni ndogo? Hiyo inamaanisha hapa na moro ni kati ya 45min -1 hr sasa hiyo sio hatua. Dodoma under 3 hours hiyo sio hatua? ?
Kaka pata picha huyu anapewa nchi kuongoza, kila project itakuwa tembo mweupe!Baba Acha ubishi. Reli imekuwa designed kwa spidi ya juu zaidi ya km200/saa sasa wewe unalazimisha ingia treni inayokwenda at 350km/h sasa hiyo ni nini? By the way this spidi yenyewe wa 160km/h unafikiri ni ndogo? Hiyo inamaanisha hapa na moro ni kati ya 45min -1 hr sasa hiyo sio hatua. Dodoma under 3 hours hiyo sio hatua? ?
Punguza ubishi wa kitoto, reli yetu inajengwa kwa mwendo wa 160km/hr, ukizidisha ni hatari, hiyo yako ya "average" umetoa wapi?, hizo ITX zenyewe maximum speed yake ni 165Km/hr, hazipaswi kuzidisha zaidi ya hapo, hilo neno la average umetoa wapi?, reli yetu maximum speed ni 160km/hr ndio design yake.Hivi unaelewa maana ya neno "average"...??