Tanzania yanunua "ITX Bullet Trains" kutoka Korea Kusini

Tanzania yanunua "ITX Bullet Trains" kutoka Korea Kusini

Wanaposema 160km/hr ni total average speed...Kuna sehemu itaenda 80km/hr na sehemu nyingine 200km/hr...February sio mbali...
Evidence? Give me evidence from TRC the train will run at 200km/h? BTW the locomotives specification is 6 cars n not 8 cars!
 
Chizi huyo, nimemuelewa ila nimemkaushia sina mpango kumjibu, sasa train za mizigo hata zikifana na uso wa Simba kuna umuhimu gani?.

Cargo trains umuhimu wake ni nguvu ya kuvuta mzigo, na kasi yake, sasa sura ina umuhimu gani?
Hapo Nimekuelewa Kama Ule Wimbo Wa Mwanaume Mashine, Hata Sura Iwe Mbovu
 
Evidence? Give me evidence from TRC the train will run at 200km/h? BTW the locomotives specification is 6 cars n not 8 cars!
Makame mbarawe alishaongelea ilo Jambo kabla yakuamishwa wizara...160km/hr ni average speed yakutoka Dar to Morogoro. Speed meter za train ya Kenya zinasoma 180km/hr lakini average speed ni 120km/hr... Sasa Kama iyo sio average speed basi jua train zitachelewa zaidi.
 
Kenya maximum speed ya passenger locomotive trains for SGR ni 200km/hr...Lakini Average speed ya train yao ni 120 km/hr 👇👇👇.

Evidence ya Tanzania si Kenya! I wonder Kenya with blunders all over on their SGR project is ur example.
 
Evidence ya Tanzania si Kenya! I wonder Kenya with blunders all over on their SGR project is ur example.
Tafuta mwenyewe video ya siku ya uzinduzi pamoja na ziara ya Kassim Majaliwa alisema kuhusu 8 cars...I can't do everything for you...Nakazi nyingi za kufanya...
 
Evidence ya Tanzania si Kenya! I wonder Kenya with blunders all over on their SGR project is ur example.
Locomotive inaweza kuwa na speed kubwa....Kinacho limit Ni design ya reli....Reli yote itakuwa programmed in terms of speed pindi itakapoisha kuanzia zero kilometer hadi mwisho...Kila kilometer itakuwa na maximum speed
 
Design ya reli yetu ni mwendo wa 160km/hr, hata ununue trains zenye speed kubwa kuliko hapo lakini huwezi kuzidisha huo mwendo, ukifanya hivyo ni rekless driving ambalo ni koja la jinai, wakati wowote inaweza kuangua au kutanua reli na Kung'oa reli yebuzwe.

Hivi ukinunua gari ambazo speedometer yake ni 300km/hr, latika barabara zetu unaweza kuendesha mwendo huo?. Sasa kama kigezo cha kununua gari ni speed yako, ni busara kweli kuchagua gari yenye kasi ya 300km/hr kwa bei kubwa wakati ipo ya bei nzuri yenye kasi ya 180km/hr.?

Tungetaka yenye mwendo huo, tungeanza kubanga tanguwtunajenga reli, ukishajenga reli kama ya Kenya na kasi wa 120km/hr, hata wakinunua yenye mwendo kasi zaidi ya hapo, haiwezi kuzidisha mwendo wa design ya reli.
 
Uache kuropoka!
Tatizo la watu wengine ni kutaka mambo makubwa wakati uwezo hawana, ngoja hata hizo za ITX zikifika zenye kutumia masaa matatu hadi Dodoma, setikali ikiweka nauli ya Tsh 50,000 wataanza kulalamika sana, wanataka zenye mwendo mkali lakini nauli iwe chini ya nauli za Bus.

Huyo mwenye kuhitaji mwendo mkali zaidi, kwanini asitumie ATCL?
 
Hivi unatumia akili wewe au matope?, kila design inatengenezwa kutoka na mahitaji ya mwendo wa train, kama kasi ni kubwa sana, ndio mbele inachongwa kufanana na ndege, sasa kwa kasi ya 160Km/hr inalazimisha utengenezewe kitu chenye gharama kubwa inayofanana na 320km/hr, hivi hayo ni matumizi mazuri ya pesa?. Kama hao wenyewe pamoja na utajiri wao lakini Wanatumia ITX kasi ya 160km/h, sisi tunautajiri gani wa kufuja pesa?
Hajitambui huyu Yani ununue kitu cha gharama halafu huna matumizi nacho Kwasababu tu eti unaweza kupunguza speed ukatumia kweli jamaa kichaa
 
Wanaposema 160km/hr ni total average speed...Kuna sehemu itaenda 80km/hr na sehemu nyingine 200km/hr...February sio mbali...
Baba Acha ubishi. Reli imekuwa designed kwa spidi ya juu zaidi ya km200/saa sasa wewe unalazimisha ingia treni inayokwenda at 350km/h sasa hiyo ni nini? By the way this spidi yenyewe wa 160km/h unafikiri ni ndogo? Hiyo inamaanisha hapa na moro ni kati ya 45min -1 hr sasa hiyo sio hatua. Dodoma under 3 hours hiyo sio hatua? ?
 
Hivi unaelewa maana ya neno "average"...??
 
Kaka pata picha huyu anapewa nchi kuongoza, kila project itakuwa tembo mweupe!
 
Hivi unaelewa maana ya neno "average"...??
Punguza ubishi wa kitoto, reli yetu inajengwa kwa mwendo wa 160km/hr, ukizidisha ni hatari, hiyo yako ya "average" umetoa wapi?, hizo ITX zenyewe maximum speed yake ni 165Km/hr, hazipaswi kuzidisha zaidi ya hapo, hilo neno la average umetoa wapi?, reli yetu maximum speed ni 160km/hr ndio design yake.
 
Back
Top Bottom