komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Pole sana mkuuNiko na shida na sehemu nilipo kwa sasa, network sio nzuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mkuuNiko na shida na sehemu nilipo kwa sasa, network sio nzuri.
Kwaiyo tukubaliane kuwa tutatumia masaa mawili na dakika kufika morogoro kwa ITX...🤣🤣🤣Tatizo la watu wengine ni kutaka mambo makubwa wakati uwezo hawana, ngoja hata hizo za ITX zikifika zenye kutumia masaa matatu hadi Dodoma, setikali ikiweka nauli ya Tsh 50,000 wataanza kulalamika sana, wanataka zenye mwendo mkali lakini nauli iwe chini ya nauli za Bus.
Huyo mwenye kuhitaji mwendo mkali zaidi, kwanini asitumie ATCL?
Kaiyo mmenunua ITX yenye maximum speed ya 160km/hr...??🤣🤣🤣....Hongera ziwafikie Jamuhuri ya KenyaHajitambui huyu Yani ununue kitu cha gharama halafu huna matumizi nacho Kwasababu tu eti unaweza kupunguza speed ukatumia kweli jamaa kichaa
Narudia kusema hiyo ni design ya Average speed...February sio mbali...Design ya reli yetu ni mwendo wa 160km/hr, hata ununue trains zenye speed kubwa kuliko hapo lakini huwezi kuzidisha huo mwendo, ukifanya hivyo ni rekless driving ambalo ni koja la jinai, wakati wowote inaweza kuangua au kutanua reli na Kung'oa reli yebuzwe.
Hivi ukinunua gari ambazo speedometer yake ni 300km/hr, latika barabara zetu unaweza kuendesha mwendo huo?. Sasa kama kigezo cha kununua gari ni speed yako, ni busara kweli kuchagua gari yenye kasi ya 300km/hr kwa bei kubwa wakati ipo ya bei nzuri yenye kasi ya 180km/hr.?
Tungetaka yenye mwendo huo, tungeanza kubanga tanguwtunajenga reli, ukishajenga reli kama ya Kenya na kasi wa 120km/hr, hata wakinunua yenye mwendo kasi zaidi ya hapo, haiwezi kuzidisha mwendo wa design ya reli.
Hakuna average speed kwenye masuala ya transport. Kuna kitu kinaitwa maximum speed pekee.Hivi unaelewa maana ya neno "average"...??
Kwaiyo tukubaliane serikali inadanganya inapodai tutatumia lisaa na dakika kufika Morogoro.....Maximum speed ya locomotive za Kenya ni 200 km/hr...Sisi kwa nini isiwe zaidi..?? Tusubili February sio mbaliHakuna average speed kwenye masuala ya transport. Kuna kitu kinaitwa maximum speed pekee.
Unapotengeneza reli una set maximum speed na siyo average speed.
Average speed ni calculation na siyo reality.
Kwa mfano average ya 600 na 10 ni 305 which is not realistic in real life.
Dar - morogoro 187 kmKwaiyo tukubaliane serikali inadanganya inapodai tutatumia lisaa na dakika kufika Morogoro.....Maximum speed ya locomotive za Kenya ni 200 km/hr...Sisi kwa nini isiwe zaidi..?? Tusubili February sio mbali
Usiwe mjinga...Nani kakwambia train inakimbia muda wote 160 km/hr?? Kwenye kona inapunguza speed hadi 80km/hr... Ndo maana nikakueleza swala la average speed...Na hapo bado kwenye vituo itapo simama... Mnaongea tu bila researchDar - morogoro 187 km
Hata 120km/h bado itakuwa saa na nusu.
mulisa una matatizo gani kichwani mwako?, train za Kenya haziwezi kukimbia zaidi ya 120km/hr, kutokana na reli yao hairuhusu huo mwendo hata kama Train zao zina uwezo wa kukimbia 200km/hr.Kwaiyo tukubaliane serikali inadanganya inapodai tutatumia lisaa na dakika kufika Morogoro.....Maximum speed ya locomotive za Kenya ni 200 km/hr...Sisi kwa nini isiwe zaidi..?? Tusubili February sio mbali
Hata iweje kupunguza na kusimama katika vituo, vyote hivyo vilifanyiwa hesabu na kuonekana itatumia saa moja na nusu hadi Moro na masaa matatu hadi Dodoma, kumbuka Dodoma ni Kilometer 450 tu, wakati 160 x 3 =480.Usiwe mjinga...Nani kakwambia train inakimbia muda wote 160 km/hr?? Kwenye kona inapunguza speed hadi 80km/hr... Ndo maana nikakueleza swala la average speed...Na hapo bado kwenye vituo itapo simama...
Usiwe mjinga...Nani kakwambia train inakimbia muda wote 160 km/hr?? Kwenye kona inapunguza speed hadi 80km/hr... Ndo maana nikakueleza swala la average speed...Na hapo bado kwenye vituo itapo simama...
Wewe Ni chizi..Huwezi niaminisha huo ujinga....Mimi sio mjinga Kama wewe...Nasoma kuelewa ili nijiongeze...Nimewambia mnionyeshe ITX yenye 8Cars hadi muda huu hamjanionyesha..mulisa una matatizo gani kichwani mwako?, train za Kenya haziwezi kukimbia zaidi ya 120km/hr, kutokana na reli yao hairuhusu huo mwendo hata kama Train zao zina uwezo wa kukimbia 200km/hr.
Dar - Moro ni kilometa 210. Kwa kasi ya Train zetu ya 160km/hr, itachukua lisaa limoja na nusu, wapi serikali ilidanganya?
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Sielewi kwanini unataka hizo 8, wewe nani alikuambia kuna 8cars?Wewe Ni chizi..Huwezi niaminisha huo ujinga....Mimi sio mjinga Kama wewe...Nasoma kuelewa ili nijiongeze...Nimewambia mnionyeshe ITX yenye 8Cars hadi muda huu hamjanionyesha..
Anadai Mbarawa alisema! 🤣 🤣 🤣Sielewi kwanini unataka hizo 8, wewe nani alikuambia kuna 8cars?
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo kauli ya Mbarawa haibadiliki?, Mbarawa aliondoka Wizarani hata tender ya kununua hizo trains haijatangazwa, angesema kwamba Kamwele ndio amesema japo ingekua na nguvu kidogo.Anadai Mbarawa alisema! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Wewe uliambiwa ni cars ngapi...?? Mwenzako anasema ni 6 🤣🤣🤣Sielewi kwanini unataka hizo 8, wewe nani alikuambia kuna 8cars?
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hata Kamwele na Waziri Mkuu Alisha semaAnadai Mbarawa alisema! 🤣 🤣 🤣
Kamwele na Waziri Mkuu pia walisema 8 cars...Kwahiyo kauli ya Mbarawa haibadiliki?, Mbarawa aliondoka Wizarani hata tender ya kununua hizo trains haijatangazwa, angesema kwamba Kamwele ndio amesema japo ingekua na nguvu kidogo.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
evidence?Kamwele na Waziri Mkuu pia walisema 8 cars...
Iwe 6 au 8 halina maana kwangu, kwasababu hiyo ni kitu kinachoweza kubadilishwa wakati wowote, sio kitu cha kukishikilia, inategemeana na ushauri wa mtengenezaji.Wewe uliambiwa ni cars ngapi...?? Mwenzako anasema ni 6 [emoji1787][emoji1787][emoji1787]