joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #281
Lete ushahidi tafadhali, sisi tunauhakika hawakusemaKamwele na Waziri Mkuu pia walisema 8 cars...
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lete ushahidi tafadhali, sisi tunauhakika hawakusemaKamwele na Waziri Mkuu pia walisema 8 cars...
Watazoea tu baada ya muda mkuu.Nina waswasi kama Watanzania wengi watakaopanda treni hiyo kama watatumia hivyo vyoo vizuri.
Kumbe na wewe ni utopolo? Nilifikiri kichwa chako kina akili za kufikiri.Mkuu sisi tunaoishi huku Mwakaleli, hizi trains zitatusaidiaje?, bora angetupa zile 50M kila kijiji kama alivyoahidi.
Sawa hawakusema🤣🤣🤣Lete ushahidi tafadhali, sisi tunauhakika hawakusema
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hizi ITX zina daraja moja tu, ila train itakapofika Mwanza ndio zitanunuliwa zenye madaraja tofaitu (Luxury coaches) kumbuka hizi trains zinafika haraka, kwahiyo kulala sio kipaumbele kwa abiria.Ninachojivunia hii train itakua ni 2*2 then labda upper class ndio 2*1, yale magari Moshi ya chang'aa average class yao ni 2*3, saivi train nyingi kwenye developed countries hawana hii mambo ya 2*3 imeshapitwa na wakati.
Kweli lakini kunatakiwa kuwe na class sababu kuna VIP na wenye mkwanja wao watahitaji privacy kidogo na low key condition na pia itasaidia kukuza zaidi mapato ya TRCHizi ITX zina daraja moja tu, ila train itakapofika Mwanza ndio zitanunuliwa zenye madaraja tofaitu (Luxury coaches) kumbuka hizi trains zinafika haraka, kwahiyo kulala sio kipaumbele kwa abiria.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Chengine, Korea total area yao ni 100k square kilometres wakati Tanzania ni almost 1 million square kilometers, utaona namna safari zao ni za masafa mafupi sana ukilinganisha na Tanzania yenye ukubwa mara 10 yao hivyo sisi tunahitaji zaidi comfy traveling experience zaidi yao 😊Hizi ITX zina daraja moja tu, ila train itakapofika Mwanza ndio zitanunuliwa zenye madaraja tofaitu (Luxury coaches) kumbuka hizi trains zinafika haraka, kwahiyo kulala sio kipaumbele kwa abiria.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Ila kwa mwendo wa masaa matatu hadi Dodoma, hizi zinatosha sana, ila kufika mwanza na Kigali, watanunua zenye madaraja tofauti na zingine zitakua ni Express, zitasimama vituo vikuu pekeeChengine, Korea total area yao ni 100k square kilometres wakati Tanzania ni almost 1 million square kilometers, utaona namna safari zao ni za masafa mafupi sana ukilinganisha na Tanzania yenye ukubwa mara 10 yao hivyo sisi tunahitaji zaidi comfy traveling experience zaidi yao [emoji4]
Ila EMUs nyingii ni 6 coaches including the two locomotives both sides! And based on the €60mln they have just paid for 5 EMUs, I strongly believe they will procure ITX!Kuhusu hili la ubishi unaoendelea wa speed ktk SGR yetu!
Key inout Parameters:
1-Design speed ya Reli/SGR
2-Design speed (max) ya trainset
3-Average speed ya trainset
Consider that:
Item #2 hapa juu iko constrained na item # 1
Item # 3 niko-constrained na item # 1 na item # 2
Kwa kuzingatia hilo hapo juu, kama wewe ni rational thinker huwezi kununua Bugatti Chiron wakati speed limit za barbara zako ni 30 km/hr.
SGR yetu:
Design speed ya SGR yetu inayojengegwa ni 250 km/hr, kwa hio tunaweza kununua trainset zenye speed mpaka 250 km/hr, ili speed ya 160km/hr ni operating speed, yaani gogo likitoka tu station ndani ya dakika 5 tayari linakuwa limeshafikisha 160 km/hr.
Express trains zitakuwa zinasimama ktk vituo vikubwa tu (Dra, Moro, Dom, Tbr, Mza) hivyo basi zinaweza kufikisha speed zaidi ya 200 km/hr.
Aina ya Passenger Trainset Zitakazonunuliwa:
(i) 5 x EMU zanye 8 cars each kilo car kubeba abiria 45, kwa ujumla EMU mojo itabeba abiria 1800 kwa trip moja.
(ii) 15 x Articulated coaches za First class
(iii) 45 x Articulated coaches za Economy class.
Trains Tender doc:
http://www.phdmsme.in/uploaded_files/tenders/1530710499_44.pdf
Trains Tender news:
![]()
TRC evaluating bids in electric train tendering
MORE trending news and videos for you. Come and get it.transsnetmore.com
Tanzania bidding for SGR trains![]()
Govt floats tender for electric trains
Dar es Salaam. Reli Assets Holding Company Limited (Rahco) has floated a tender for the supply of electric trains to be used on the standard gauge railway (SGR) which is currently in the early stageswww.thecitizen.co.tz
My 5 cents.
Asante Sana kwa kuwaelimisha akina Joto la Jiwe...Nimewaelimisha lakini wapi...Wao wapo kwenye ITX...Nime wambia maximum speed ya train za Kenya 200km/hr kwa evidence lakini wapi..🤣🤣🤣 ITX anayo onyesha pia Ni model ya zamani na Ina 4 cars...🤣🤣🤣Kuhusu hili la ubishi unaoendelea wa speed ktk SGR yetu!
Key inout Parameters:
1-Design speed ya Reli/SGR
2-Design speed (max) ya trainset
3-Average speed ya trainset
Consider that:
Item #2 hapa juu iko constrained na item # 1
Item # 3 niko-constrained na item # 1 na item # 2
Kwa kuzingatia hilo hapo juu, kama wewe ni rational thinker huwezi kununua Bugatti Chiron wakati speed limit za barbara zako ni 30 km/hr.
SGR yetu:
Design speed ya SGR yetu inayojengegwa ni 250 km/hr, kwa hio tunaweza kununua trainset zenye speed mpaka 250 km/hr, ili speed ya 160km/hr ni operating speed, yaani gogo likitoka tu station ndani ya dakika 5 tayari linakuwa limeshafikisha 160 km/hr.
Express trains zitakuwa zinasimama ktk vituo vikubwa tu (Dra, Moro, Dom, Tbr, Mza) hivyo basi zinaweza kufikisha speed zaidi ya 200 km/hr.
Aina ya Passenger Trainset Zitakazonunuliwa:
(i) 5 x EMU zanye 8 cars each kilo car kubeba abiria 45, kwa ujumla EMU mojo itabeba abiria 1800 kwa trip moja.
(ii) 15 x Articulated coaches za First class
(iii) 45 x Articulated coaches za Economy class.
Trains Tender doc:
http://www.phdmsme.in/uploaded_files/tenders/1530710499_44.pdf
Trains Tender news:
![]()
TRC evaluating bids in electric train tendering
MORE trending news and videos for you. Come and get it.transsnetmore.com
Tanzania bidding for SGR trains![]()
Govt floats tender for electric trains
Dar es Salaam. Reli Assets Holding Company Limited (Rahco) has floated a tender for the supply of electric trains to be used on the standard gauge railway (SGR) which is currently in the early stageswww.thecitizen.co.tz
My 5 cents.
Kaka kama design speed ya SGR yetu ni 250Km/hr itakua ni jambo zuri sana, ila kabla ya kusherehekea tunaomba ututie nguvu kwa kutuwekea ushahidi ili tuweze kuwakoga vizuri majirani wetuKuhusu hili la ubishi unaoendelea wa speed ktk SGR yetu!
Key inout Parameters:
1-Design speed ya Reli/SGR
2-Design speed (max) ya trainset
3-Average speed ya trainset
Consider that:
Item #2 hapa juu iko constrained na item # 1
Item # 3 niko-constrained na item # 1 na item # 2
Kwa kuzingatia hilo hapo juu, kama wewe ni rational thinker huwezi kununua Bugatti Chiron wakati speed limit za barbara zako ni 30 km/hr.
SGR yetu:
Design speed ya SGR yetu inayojengegwa ni 250 km/hr, kwa hio tunaweza kununua trainset zenye speed mpaka 250 km/hr, ili speed ya 160km/hr ni operating speed, yaani gogo likitoka tu station ndani ya dakika 5 tayari linakuwa limeshafikisha 160 km/hr.
Express trains zitakuwa zinasimama ktk vituo vikubwa tu (Dra, Moro, Dom, Tbr, Mza) hivyo basi zinaweza kufikisha speed zaidi ya 200 km/hr.
Aina ya Passenger Trainset Zitakazonunuliwa:
(i) 5 x EMU zanye 8 cars each kilo car kubeba abiria 45, kwa ujumla EMU mojo itabeba abiria 1800 kwa trip moja.
(ii) 15 x Articulated coaches za First class
(iii) 45 x Articulated coaches za Economy class.
Trains Tender doc:
http://www.phdmsme.in/uploaded_files/tenders/1530710499_44.pdf
Trains Tender news:
![]()
TRC evaluating bids in electric train tendering
MORE trending news and videos for you. Come and get it.transsnetmore.com
Tanzania bidding for SGR trains![]()
Govt floats tender for electric trains
Dar es Salaam. Reli Assets Holding Company Limited (Rahco) has floated a tender for the supply of electric trains to be used on the standard gauge railway (SGR) which is currently in the early stageswww.thecitizen.co.tz
My 5 cents.
Nimekwambia ni 8 coaches....Hiyo ITX mnayo onyesha ni model ya zamani na sio 6500HP walizo kuwa wameweka kwenye tender...Ila EMUs nyingii ni 6 coaches including the two locomotives both sides! And based on the €60mln they have just paid for 5 EMUs, I strongly believe they will procure ITX!
Nimewambia tulieni February sio mbali... Kwa nini tu speculate mambo ya kitaalamuKaka kama design speed ya SGR yetu ni 250Km/hr itakua ni jambo zuri sana, ila kabla ya kusherehekea tunaomba ututie nguvu kwa kutuwekea ushahidi ili tuweze kuwakoga vizuri majirani wetu
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Niaje wanenguaji[emoji23][emoji23][emoji23]Yule anayependa kutumia neno "kunengua", sasa itakuwa zamu yake kunengua!
Kwa Tender yetu tunataka EMU 5 zenye kubeba abiria 1800. Sasa kama ni za 6 coaches tunaweza tusifikishe hio tender requirement kwa sababu seating capacity ya EMU coaches nyingi ni kti ya 45 na 48. Zipo chache zenye kubeba abiria 64 kama hii mpya ya Turkey. Angalia kwa 8 cars inakuwa 45 x 8 x 5 = 1800. Hii ni sawa na Tender requirement.Ila EMUs nyingii ni 6 coaches including the two locomotives both sides! And based on the €60mln they have just paid for 5 EMUs, I strongly believe they will procure ITX!