Tanzania yanunua "ITX Bullet Trains" kutoka Korea Kusini

Yule anayependa kutumia neno "kunengua", sasa itakuwa zamu yake kunengua!
 
Ninachojivunia hii train itakua ni 2*2 then labda upper class ndio 2*1, yale magari Moshi ya chang'aa average class yao ni 2*3, saivi train nyingi kwenye developed countries hawana hii mambo ya 2*3 imeshapitwa na wakati.
 
Hizi ITX zina daraja moja tu, ila train itakapofika Mwanza ndio zitanunuliwa zenye madaraja tofaitu (Luxury coaches) kumbuka hizi trains zinafika haraka, kwahiyo kulala sio kipaumbele kwa abiria.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Kweli lakini kunatakiwa kuwe na class sababu kuna VIP na wenye mkwanja wao watahitaji privacy kidogo na low key condition na pia itasaidia kukuza zaidi mapato ya TRC

All in all kiuhalisia ni kweli hizi coaches zina standards nzuri sana kiasi kwamba wengi watakua satisfied.
 
Hizi ITX zina daraja moja tu, ila train itakapofika Mwanza ndio zitanunuliwa zenye madaraja tofaitu (Luxury coaches) kumbuka hizi trains zinafika haraka, kwahiyo kulala sio kipaumbele kwa abiria.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Chengine, Korea total area yao ni 100k square kilometres wakati Tanzania ni almost 1 million square kilometers, utaona namna safari zao ni za masafa mafupi sana ukilinganisha na Tanzania yenye ukubwa mara 10 yao hivyo sisi tunahitaji zaidi comfy traveling experience zaidi yao 😊
 
Chengine, Korea total area yao ni 100k square kilometres wakati Tanzania ni almost 1 million square kilometers, utaona namna safari zao ni za masafa mafupi sana ukilinganisha na Tanzania yenye ukubwa mara 10 yao hivyo sisi tunahitaji zaidi comfy traveling experience zaidi yao [emoji4]
Ila kwa mwendo wa masaa matatu hadi Dodoma, hizi zinatosha sana, ila kufika mwanza na Kigali, watanunua zenye madaraja tofauti na zingine zitakua ni Express, zitasimama vituo vikuu pekee

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Kuhusu hili la ubishi unaoendelea wa speed ktk SGR yetu!

Key inout Parameters:
1-Design speed ya Reli/SGR
2-Design speed (max) ya trainset
3-Average speed ya trainset

Consider that:
Item #2 hapa juu iko constrained na item # 1
Item # 3 niko-constrained na item # 1 na item # 2

Kwa kuzingatia hilo hapo juu, kama wewe ni rational thinker huwezi kununua Bugatti Chiron wakati speed limit za barbara zako ni 30 km/hr.

SGR yetu:
Design speed ya SGR yetu inayojengegwa ni 250 km/hr, kwa hio tunaweza kununua trainset zenye speed mpaka 250 km/hr, ili speed ya 160km/hr ni operating speed, yaani gogo likitoka tu station ndani ya dakika 5 tayari linakuwa limeshafikisha 160 km/hr.

Express trains zitakuwa zinasimama ktk vituo vikubwa tu (Dra, Moro, Dom, Tbr, Mza) hivyo basi zinaweza kufikisha speed zaidi ya 200 km/hr.

Aina ya Passenger Trainset Zitakazonunuliwa:

(i) 5 x EMU zanye 8 cars each kila car kubeba abiria 45, kwa ujumla EMU capacity itabeba abiria 1800 kwa pamoja.
(ii) 15 x Articulated coaches za First class
(iii) 45 x Articulated coaches za Economy class.

Trains Tender doc:
http://www.phdmsme.in/uploaded_files/tenders/1530710499_44.pdf

Trains Tender news:
Tanzania bidding for SGR trains

My 5 cents.
 
Kuhusu hili la ubishi unaoendelea wa speed ktk SGR yetu!

Key inout Parameters:
1-Design speed ya Reli/SGR
2-Design speed (max) ya trainset
3-Average speed ya trainset

Consider that:
Item #2 hapa juu iko constrained na item # 1
Item # 3 niko-constrained na item # 1 na item # 2

Kwa kuzingatia hilo hapo juu, kama wewe ni rational thinker huwezi kununua Bugatti Chiron wakati speed limit za barbara zako ni 30 km/hr.

SGR yetu:
Design speed ya SGR yetu inayojengegwa ni 250 km/hr, kwa hio tunaweza kununua trainset zenye speed mpaka 250 km/hr, ili speed ya 160km/hr ni operating speed, yaani gogo likitoka tu station ndani ya dakika 5 tayari linakuwa limeshafikisha 160 km/hr.

Express trains zitakuwa zinasimama ktk vituo vikubwa tu (Dra, Moro, Dom, Tbr, Mza) hivyo basi zinaweza kufikisha speed zaidi ya 200 km/hr.

Aina ya Passenger Trainset Zitakazonunuliwa:

(i) 5 x EMU zanye 8 cars each kilo car kubeba abiria 45, kwa ujumla EMU mojo itabeba abiria 1800 kwa trip moja.

Ila EMUs nyingii ni 6 coaches including the two locomotives both sides! And based on the €60mln they have just paid for 5 EMUs, I strongly believe they will procure ITX!
 
Asante Sana kwa kuwaelimisha akina Joto la Jiwe...Nimewaelimisha lakini wapi...Wao wapo kwenye ITX...Nime wambia maximum speed ya train za Kenya 200km/hr kwa evidence lakini wapi..🤣🤣🤣 ITX anayo onyesha pia Ni model ya zamani na Ina 4 cars...🤣🤣🤣
 
Kuhusu hili la ubishi unaoendelea wa speed ktk SGR yetu!

Key inout Parameters:
1-Design speed ya Reli/SGR
2-Design speed (max) ya trainset
3-Average speed ya trainset

Consider that:
Item #2 hapa juu iko constrained na item # 1
Item # 3 niko-constrained na item # 1 na item # 2

Kwa kuzingatia hilo hapo juu, kama wewe ni rational thinker huwezi kununua Bugatti Chiron wakati speed limit za barbara zako ni 30 km/hr.

SGR yetu:
Design speed ya SGR yetu inayojengegwa ni 250 km/hr, kwa hio tunaweza kununua trainset zenye speed mpaka 250 km/hr, ili speed ya 160km/hr ni operating speed, yaani gogo likitoka tu station ndani ya dakika 5 tayari linakuwa limeshafikisha 160 km/hr.

Express trains zitakuwa zinasimama ktk vituo vikubwa tu (Dra, Moro, Dom, Tbr, Mza) hivyo basi zinaweza kufikisha speed zaidi ya 200 km/hr.

Aina ya Passenger Trainset Zitakazonunuliwa:

(i) 5 x EMU zanye 8 cars each kilo car kubeba abiria 45, kwa ujumla EMU mojo itabeba abiria 1800 kwa trip moja.
(ii) 15 x Articulated coaches za First class
(iii) 45 x Articulated coaches za Economy class.

Trains Tender doc:
http://www.phdmsme.in/uploaded_files/tenders/1530710499_44.pdf

Trains Tender news:
Tanzania bidding for SGR trains

My 5 cents.
Kaka kama design speed ya SGR yetu ni 250Km/hr itakua ni jambo zuri sana, ila kabla ya kusherehekea tunaomba ututie nguvu kwa kutuwekea ushahidi ili tuweze kuwakoga vizuri majirani wetu

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Ila EMUs nyingii ni 6 coaches including the two locomotives both sides! And based on the €60mln they have just paid for 5 EMUs, I strongly believe they will procure ITX!
Nimekwambia ni 8 coaches....Hiyo ITX mnayo onyesha ni model ya zamani na sio 6500HP walizo kuwa wameweka kwenye tender...
 
Kaka kama design speed ya SGR yetu ni 250Km/hr itakua ni jambo zuri sana, ila kabla ya kusherehekea tunaomba ututie nguvu kwa kutuwekea ushahidi ili tuweze kuwakoga vizuri majirani wetu

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Nimewambia tulieni February sio mbali... Kwa nini tu speculate mambo ya kitaalamu
 
Yule anayependa kutumia neno "kunengua", sasa itakuwa zamu yake kunengua!
Niaje wanenguaji[emoji23][emoji23][emoji23]
FB_IMG_16035339691414034.jpg
 
Ila EMUs nyingii ni 6 coaches including the two locomotives both sides! And based on the €60mln they have just paid for 5 EMUs, I strongly believe they will procure ITX!
Kwa Tender yetu tunataka EMU 5 zenye kubeba abiria 1800. Sasa kama ni za 6 coaches tunaweza tusifikishe hio tender requirement kwa sababu seating capacity ya EMU coaches nyingi ni kti ya 45 na 48. Zipo chache zenye kubeba abiria 64 kama hii mpya ya Turkey. Angalia kwa 8 cars inakuwa 45 x 8 x 5 = 1800. Hii ni sawa na Tender requirement.

But anyway anything can happen.

Sent from my BLA-L29 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom