Design ya reli yetu ni mwendo wa 160km/hr, hata ununue trains zenye speed kubwa kuliko hapo lakini huwezi kuzidisha huo mwendo, ukifanya hivyo ni rekless driving ambalo ni koja la jinai, wakati wowote inaweza kuangua au kutanua reli na Kung'oa reli yebuzwe.
Hivi ukinunua gari ambazo speedometer yake ni 300km/hr, latika barabara zetu unaweza kuendesha mwendo huo?. Sasa kama kigezo cha kununua gari ni speed yako, ni busara kweli kuchagua gari yenye kasi ya 300km/hr kwa bei kubwa wakati ipo ya bei nzuri yenye kasi ya 180km/hr.?
Tungetaka yenye mwendo huo, tungeanza kubanga tanguwtunajenga reli, ukishajenga reli kama ya Kenya na kasi wa 120km/hr, hata wakinunua yenye mwendo kasi zaidi ya hapo, haiwezi kuzidisha mwendo wa design ya reli.