Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,432
- 191,751
Washamba sana hawa madhafakazi kazi kutembeza bakuli tu na kupiga vijembeš...Pumbavu! Mwenzenu amejenga mji mzima Dodoma nyinyi kijiji kuzunguka uwanja kinawqshinda halafu kila siku midomo juu makusanyo na mapato yameongezeka mara mbili. NUMBERS DONT LIE.
JPM atabaki kuwa benchmark ya namna maraisi wanatakiwa kuiendesha Tanzania ili ipige hatua kubwa kimaendeleo.