Washamba sana hawa madhafakazi kazi kutembeza bakuli tu na kupiga vijembe๐...Pumbavu! Mwenzenu amejenga mji mzima Dodoma nyinyi kijiji kuzunguka uwanja kinawqshinda halafu kila siku midomo juu makusanyo na mapato yameongezeka mara mbili. NUMBERS DONT LIE.
Machawa wanaruka na kukanyagana๐Hakuna kitu chochote huyo mama atafanya, ndio maana machawa yake yamebaki kudandia miradi ya mwendazake!
Uranium yetu tunayo na tunatamba nayo ๐Uranium si ipo ya kutosha
na madini mkakati pia, wabeberu watameza mate mpaka yaishe, maninaUranium yetu tunayo na tunatamba nayo
January 10 2026
Dar es Salaam, Tanzania
Chinese Foreign Minister Wang Yi met with Tanzanian Minister of Foreign Affairs and East African Cooperation Mahmoud Thabit Kombo on January 9 in Dar es Salaam,
View: https://m.youtube.com/watch?v=IYdg1V5JDME
TulikurupukaTuliomba uenyeji kabla ya kufanya tathmini na kujiridhisha tuna uwezo?
Kabisa aisee jamaa alikuwa na bana Matumizi ila miradi inaonekana.Washamba sana hawa madhafakazi kazi kutembeza bakuli tu na kupiga vijembe๐...
JPM atabaki kuwa benchmark ya namna maraisi wanatakiwa kuiendesha Tanzania ili ipige hatua kubwa kimaendeleo.
Shida sisi government ina overspending sana japo tunakusanya Kodi kubwa 1T per month.Washamba sana hawa madhafakazi kazi kutembeza bakuli tu na kupiga vijembe๐...
JPM atabaki kuwa benchmark ya namna maraisi wanatakiwa kuiendesha Tanzania ili ipige hatua kubwa kimaendeleo.
Hawakutarajia kama itabidi waue watu ndio wabaki madarakaniTuliomba uenyeji kabla ya kufanya tathmini na kujiridhisha tuna uwezo?
Viwanja vyenyewe vipo porini Huko, aisee naona tunaenda kufail vibaya mnoPumbavu! Mwenzenu amejenga mji mzima Dodoma nyinyi kijiji kuzunguka uwanja kinawqshinda halafu kila siku midomo juu makusanyo na mapato yameongezeka mara mbili. NUMBERS DONT LIE.
Unaweza kumuita kiongozi mmoja wale wa top na kuwauliza matumizi ya uranium ni yapi, wakaanza kujiumaumaNdio, wanasema mabeberu wanavuruga amani kwa sababu ya uranium, sasa ndo waitumie iwatajirishe waache kuomba misaada kama ndo hivyo
Daahh nimecheka na kusikitika at the same time ๐๐ญNa hajauza hata hazina ya Dhahabu za Nchi yake, zilizobakia ila huku sasa hahaha ********!
Yeah maono Yako ni sahihi kabisa ๐Unaweza kuta Afcon walishatoa mtonyoo. Sema wataaalamu wamekula chao au wamehamisha kwa matumizi mengine wakitegemea kujazilizia pesa za mikopo ya Wazungu. Sasa wazungu wamedinda , hakuna jinsi inabidi tupeleke bakuli Chinaaaa.. Balaaa.. Hakuna Maonooooooooooooooooooooooooooooo ndio Shidaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa