Tanzania yaomba msaada China kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya AFCON 2027

Si waliuliza wafadhili who are you na kuwaita mabeberu utadhani wao ni mbuzi jike.
 
Hii nch ina uongo mwingi sana

Unaweza ukaaminishwa kuwa jambo fulan tunatumia pesa zetu hakuna wakutukopesha ss matajir

Kesho kiongoz huyo hyo utamkuta nje anaomba msaada juu ya jambo hilo hilo kwakwel kuish kwenye taifa kama hil inabid uwe mbumbumbu ukiwa na akil Zako timamu utaumia sana
 
Hii taifa kweli masikin yaan hadi viwanja vya afcon navyo vya kuombea msaada?!! duh
Ni shida!
Tatizo ni matumizi ya hela kijinga kijinga!
Hawabani matumizi kabisa kabisa hasa kwenye maposho, masafari, misururu ya magari na uwajibikaji.
Hapana sisi siyo maskini, ni ulozi, ufujaji na ufisadi wa viongozi wetu..
 
Hii taifa kweli masikin yaan hadi viwanja vya afcon navyo vya kuombea msaada?!! duh

Nchi sio masikini, sema pesa wamewanunulia landcruiser wakina Baba Levo.
Bajeti kubwa ya nchi ni posho na marupurupu ya wanasiasa wasio na faida yoyote.
Uzalishaji zero ndio maana wanauza dhahabu alizonunua Magufuli ili wale nyama choma mbwa hawa.
Wajinga utawasikia, eti anaupiga mwingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…