Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Inawezekana pia ikawa inaongoza kwa raia wake wengi kutokuwa na passport.World Bank wametoa report inayoitwa 'Ratio of persons living abroad to origin country population' ambapo kwenye report hiyo Tanzania inapungufu ya asilimia moja ya raia wake wanaishi nje ya nchi.
View attachment 2667693
Asilimia hizo ni chache kuliko mataifa yote ya nchi za Africa.
Mind you, Tanzania ni nchi pekee yenye wazungumzaji wengi wa Kiswahili.
Je, huu uthibitisho kwamba Kiswahili hakivuki maji? Au ni kwamba watanzania wengi wana mapenzi na nchi yao?
Ni kweli kabisa, Passport ni haki ya kila raia ila nchi yetu kuna bureaucracy ya hali ya juu saana kupata hiyo passportRoho mbaya ya utawala ndo kisa.
Passport tu kuipata mpaka uulizwe tupe letter mfano ya chuo unachoenda. Na chuo unachoomba hawakupi letter wanataka uwape passport number ili waandike letter. Sasa wangapi watatoka?
Chuo wanakuomba maombi yako ili wayafikirie wanataka barua ya TCU kwamba una qualify kusoma hicho ulichoomba, unakimbia TCU kuwaomba barua, wao TCU wanakwambia ili wakuandikie wanataka admission letter ya hicho chuo.
Sio kweliWatanzania tunapaswa kutembea kifua mbele kwa takwimu hizo. Hii inaonesha kuwa nchi yetu ni nzuri ndiyo maana kila mtu wnatamani kubakia hapa hapa nchini.
Diaspora kuwa wengi Ina maana nchi haikaliki, haivutii, haina potential kwa watu wake.
Hii ipo kwa watanzania tu sijui kwaniniRoho mbaya tu anayetangulia hataki wengine wafike huko
Hilo nalo nenoInawezekana pia ikawa inaongoza kwa raia wake wengi kutokuwa na passport.
Sasa hv hata ukienda uhamiaji kutafuta passport unaulizwa unakwenda nje kufanya nini!?Ni kweli kabisa, Passport ni haki ya kila raia ila nchi yetu kuna bureaucracy ya hali ya juu saana kupata hiyo passport
Ni kweli kabisa serikali waliangalie hili suala... japo inaweza kuwa na cost implication ila basi wasiweke mazingira magumu ya kupata passportMtu anapozaliwa anapaswa kupewa cheti cha kuzaliwa na passport.
Swali la ajabu sana.. huwa mpaka nashangaaaSasa hv hata ukienda uhamiaji kutafuta passport unaulizwa unakwenda nje kufanya nini!?