Pre GE2025 Tanzania yaongoza kwa Nchi zinazolinda Uhuru wa Vyombo vya habari kwa Afrika Mashariki

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Ripoti ya Utafiti iliyotolewa na Taasisi ya Reporters Without Borders (RSF) ya Mei 3, 2024 imeonesha kuwa Tanzania imeshika nafasi ya kwanza katika Nchi zinazolinda Uhuru wa Vyombo vya Habari kwa upande wa Afrika Mashariki.

Tanzania imepanda kutoka nafasi ya 143 kwa Mwaka 2023 hadi 97, Kenya inafuatia kwa kushika nafasi ya 102 kutoka 116, Somalia ndio ya mwisho Duniani ikiwa nafasi ya 141.

Baadhi ya vigezi vilivyotumika ni misingi ya Kisheria, hali ya kiuchumi, hali ya kisiasa, usalama wa Wanahabari na mtazaamo wa kijamii na kitamaduni.

Nchi 10 Bora katika ripoti hiyo ni Norway, Denmark, Sweden, Uholanzi, Finland, Estonia, Ureno, Ireland, Switzerland na Ujerumani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hatuna waandishi tuna watoa taarifa, we unazungumzia vyombo vipi?
 
Uhuru wa kuimba sifa za her majesty the queen
 
Wale wa ahsante mama kwa kuwezesha hili, bado hawajafika???? 🤒😎
 
20240503_221755.jpg

Ripoti ya Utafiti ya Taasisi ya Reporters Without Borders (RSF) iliyotolewa Mei 3, 2024 imeonesha #Tanzania imeshika nafasi ya kwanza kati ya Nchi zinazolinda Uhuru wa Vyombo vya Habari upande wa Afrika Mashariki

Tanzania imepanda kutoka nafasi ya 143 kwa Mwaka 2023 hadi 97 huku #Kenya ikishika nafasi ya 102 kutoka 116 na #Somalia ikiwa nafasi ya 141

Baadhi ya vigezo vilivyotumika ni misingi ya Kisheria, hali ya kiuchumi, hali ya kisiasa, usalama wa Wanahabari

Nchi 10 Bora katika ripoti hiyo ni Norway, Denmark, Sweden, Uholanzi, Finland, Estonia, Ureno, Ireland, Switzerland na Ujerumani
 
View attachment 2980086

Napinga hiyo taarifa
 
Hivyo vigezo mbona wamesahau kigezo muhimu zaidi kinachotumika hapa. Rushwa kwa vyombo vya habari inayotolewa na serikali kwa vyombo hivyo, ili viwe chawa wake!
Vyombo vya habari visivyoona uozo ndani ya serikali na kuutolea habari kwenye vyombo hivyo.
 
Umesikia chombo cha habari chochote kikiwanukuu hao kwenye vyombo vyao?
Wananukuliwa sana. Soma Mwananchi ya leo uone habari za rushwa ya CDM kwa mujibu wa mkutano wa Lissu wa Iringa
 
Back
Top Bottom