Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Utafiti unaendelea , timu yangu iko Nairobi na kampalaTo
Toa taarifa ya kwako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utafiti unaendelea , timu yangu iko Nairobi na kampalaTo
Toa taarifa ya kwako
View attachment 2980086
Ripoti ya Utafiti ya Taasisi ya Reporters Without Borders (RSF) iliyotolewa Mei 3, 2024 imeonesha #Tanzania imeshika nafasi ya kwanza kati ya Nchi zinazolinda Uhuru wa Vyombo vya Habari upande wa Afrika Mashariki
Tanzania imepanda kutoka nafasi ya 143 kwa Mwaka 2023 hadi 97 huku #Kenya ikishika nafasi ya 102 kutoka 116 na #Somalia ikiwa nafasi ya 141
Baadhi ya vigezo vilivyotumika ni misingi ya Kisheria, hali ya kiuchumi, hali ya kisiasa, usalama wa Wanahabari
Nchi 10 Bora katika ripoti hiyo ni Norway, Denmark, Sweden, Uholanzi, Finland, Estonia, Ureno, Ireland, Switzerland na Ujerumani
Kwa Tanzania kuwa nchi ya kwanza kiuchumi katika eneo la Afrika Mashariki ni mwaka 2028Lini itakuwa ya kwanza kiuchumi?
Hakuna uhuru wa matusi. Mange Kimambi angekuwa ana address key issues kama corruption, Katiba Mpya au maendeleo tungemtetea.Uhuru wa Mange Kimambi haujaminywa kwa kufungiwa akaunti yake?
Nenda kasome MEMKWA kwanza pengine una tatizo la uelewaKama wewe unaamini hayo basi una shida kubwa.endelea kuwaamini hao wenye akili maana zakwako umezifungia.
Wwnafanya ulinganisho tu. Ina maanisha nchi za wenzetu zina hali mbaya kuliko TanzaniaSisi ndio tuko Tz tunajionea sijui mwenzetu
Mjinga anayeongoza darasa la wajingaWwnafanya ulinganisho tu. Ina maanisha nchi za wenzetu zina hali mbaya kuliko Tanzania
Ni mawazo yako tu nayo yanakubalika kwa kuwa katiba inatambua uhuru wa maoni. Ila tunatofautiana uelewaMjinga anayeongoza darasa la wajinga
Asantemawazo yako nayo yanakubalika