Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Napinga hiyo taarifaView attachment 2980086
Ripoti ya Utafiti ya Taasisi ya Reporters Without Borders (RSF) iliyotolewa Mei 3, 2024 imeonesha #Tanzania imeshika nafasi ya kwanza kati ya Nchi zinazolinda Uhuru wa Vyombo vya Habari upande wa Afrika Mashariki
Tanzania imepanda kutoka nafasi ya 143 kwa Mwaka 2023 hadi 97 huku #Kenya ikishika nafasi ya 102 kutoka 116 na #Somalia ikiwa nafasi ya 141
Baadhi ya vigezo vilivyotumika ni misingi ya Kisheria, hali ya kiuchumi, hali ya kisiasa, usalama wa Wanahabari
Nchi 10 Bora katika ripoti hiyo ni Norway, Denmark, Sweden, Uholanzi, Finland, Estonia, Ureno, Ireland, Switzerland na Ujerumani
Kwani huoni akina Lissu, MMM na vijana wengine wanavyo enjoy uhuru wa maoniNapinga hiyo taarifa
Je unazo taarifa tofauti ambazo ziko reliable and authentic?Napinga hiyo taarifa
Hivyo vigezo mbona wamesahau kigezo muhimu zaidi kinachotumika hapa. Rushwa kwa vyombo vya habari inayotolewa na serikali kwa vyombo hivyo, ili viwe chawa wake!View attachment 2980086
Ripoti ya Utafiti ya Taasisi ya Reporters Without Borders (RSF) iliyotolewa Mei 3, 2024 imeonesha #Tanzania imeshika nafasi ya kwanza kati ya Nchi zinazolinda Uhuru wa Vyombo vya Habari upande wa Afrika Mashariki
Tanzania imepanda kutoka nafasi ya 143 kwa Mwaka 2023 hadi 97 huku #Kenya ikishika nafasi ya 102 kutoka 116 na #Somalia ikiwa nafasi ya 141
Baadhi ya vigezo vilivyotumika ni misingi ya Kisheria, hali ya kiuchumi, hali ya kisiasa, usalama wa Wanahabari
Nchi 10 Bora katika ripoti hiyo ni Norway, Denmark, Sweden, Uholanzi, Finland, Estonia, Ureno, Ireland, Switzerland na Ujerumani
Umesikia chombo cha habari chochote kikiwanukuu hao kwenye vyombo vyao?Kwani huoni akina Lissu, MMM na vijana wengine wanavyo enjoy uhuru wa maoni
Taarifa halisi zinahusu Azory Gwanda na wengine wanaotishwa hadi leoJe unazo taarifa tofauti ambazo ziko reliable and authentic?
Azory Gwanda ni wakati wa Dikteta, ila kipindi cha Samia tuko kidedeaTaarifa halisi zinahusu Azory Gwanda na wengine wanaotishwa hadi leo
Wananukuliwa sana. Soma Mwananchi ya leo uone habari za rushwa ya CDM kwa mujibu wa mkutano wa Lissu wa IringaUmesikia chombo cha habari chochote kikiwanukuu hao kwenye vyombo vyao?