Pre GE2025 Tanzania yaongoza kwa Nchi zinazolinda Uhuru wa Vyombo vya habari kwa Afrika Mashariki

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tusionane wajinga kiasi hiki jamani. Hivi ile poll ya mwananchi iko wapi???!!!
 
Unaweza ukaweka ushahidi wa unachokisema? Kama huna basi hiyo itabakia ni hisia zako tu
 
Takataka

Hata kama inaongoza ni sawa na mjinga anayeongoza kwenye darasa la wajinga wenzake
 
Wananukuliwa sana. Soma Mwananchi ya leo uone habari za rushwa ya CDM kwa mujibu wa mkutano wa Lissu wa Iringa
Kati ya vyombo vyote, ukatumia mfano wa Mwananchi, ambao wamewekwa mfukoni mwa Nape na Abbas wake?
Kama wameandika itakuwa ni pembe inayoinufaisha serikali
 
Unaweza ukaweka ushahidi wa unachokisema? Kama huna basi hiyo itabakia ni hisia zako tu
Of course siwezi kuweka ushahidi kama unaoutaka wewe. Serikali inapokataa kuweka matangazo kwenye gazeti kwa vile halishabikii matakwa yake, hiyo siyo rushwa?
 
TANZANIA YANGU MAMA!!! TUZIDI KUTENDA YALIYO MEMA!!!
 
Nzuri nihiyo yakwanza duniani wengine wakandamizaji. Au mnasemaje?
 
Inasaidia nini watanzania hivi vinavyoandika kwa maelekezo na kutoa habari za upande mmoja hatuna vyombo vya habari Tanzania zaidi ya mitandao binafsi na wengi wao si wanahabari wanaliokoa Sana Taifa letu
 
Kwangu kuna tv mbili, sebuleni na chumbani, mke wangu na watoto waangalie mambo yao na mimi nitazame taarifa ya habari, sitaki kunyang'anyana ripoti na mke/watoto
 
Inasaidia nini watanzania hivi vinavyoandika kwa maelekezo na kutoa habari za upande mmoja hatuna vyombo vya habari Tanzania zaidi ya mitandao binafsi na wengi wao si wanahabari wanaliokoa Sana Taifa letu
Ndiyo hivyo tena dunia imeambiwa kama nyie hamtaki hampunguzi jitu
 
Lini itakuwa ya kwanza kiuchumi?
 
Kama wenye akili wanasema Tanzania inaongoza kwa uhuru wa habari, wewe kinyesi ni nani uzuie?
Kama wewe unaamini hayo basi una shida kubwa.endelea kuwaamini hao wenye akili maana zakwako umezifungia.
 
Tumia hicho kigezo kufanya utafiti wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…