Tanzania yapata Mkopo wa Dola Mil 278 kutoka Benki ya Dunia

Na badi hutaona mradi hata mmoja umekamilika. SGR nayo imebakia story tu taingia kipindi kile wanasema watatest reli
Hivi hii SGR, hata kale kakipande kadogo Dar - Moro, vipi? Mbona inachukua muda mwingi namna hii?
Ujenzi wa haka kakipande karibu sasa inakuwa sawa na muda uliomchukua mChina kujenga Mombasa hadi Nairobi?

Tutafika kweli kwa mwendo huu?
 
In
Insha ni ndefu mno cha kushangaza unakuta hata aliyesaini imemchosha kusoma akaamua kusaini tu hivyo hivyo ili mradi apate mkopo.
 
Safi Sana Tactic hiyoooooo ..

Yaani nimefurahi mno maana tuliusubiria huu mradi kwa miaka 4 sasa.
 
Ktk mfumo wa kibepari lazima awepo mnyonyaji na mnyonywaji. Tajiri na maskini. Hali tulio nayo ulimwengu wa tatu imetengenezwa na hao mabeberu ya dunia. Ukoloni mamboleo ndio unatamalaki sasa.


Jesus is Lord
 
Juzi tu 2.4 trill, leo tena more than 0.6 trill. Deni letu ni himilivu 🤔
Ndio mkuu kwani Kukopa kuna shida gani?

Kwa taarifa yako tungeoata Til.3 au 4 ingesaidia Sana kufungua barabara zote za kimkakati Ili kukuza Uchumi..

Utashangaa Sana ,pesa nyingine hii hapa kwenye elimu
Juzi tu 2.4 trill, leo tena more than 0.6 trill. Deni letu ni himilivu 🤔
👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220528-072542.png
    88 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220607-110426.png
    137.2 KB · Views: 4
Ktk mfumo wa kibepari lazima awepo mnyonyaji na mnyonywaji. Tajiri na maskini. Hali tulio nayo ulimwengu wa tatu imetengenezwa na hao mabeberu ya dunia. Ukoloni mamboleo ndio unatamalaki sasa.


Jesus is Lord
Wenzetu kwenye mfumo wa kijamii mliokuwa mnavaa viraka na viongozi walikuwa wanavaa viraka ? 😆😆
 
Juzi tu 2.4 trill, leo tena more than 0.6 trill. Deni letu ni himilivu 🤔
Hii mikopo ya World Bank na IMF haina shida sana.... ni ya muda mrefu, riba karibu na 0. Shida ni ile ya Standard Chartered na Credit Suisse; ogopa sana hiyo.
 
Nape aliyetuhumu serikali ya awamu ya tano kukopa sana anasemaje?
Heri this time wananchi tunapewa taarifa kama hivi kwamba nchi imekosa kiasi kadhaa. Kipindi kile cha giza, Serikali inakopa lakini tunaambiwa ni hela za ndani. Nimeamini shetani ni baba wa uwongo.
 
 
Hizi ndio hela za kuliwa vigogo na mawakala wao. Procurement officers maboharia wanapiga tu vinajengwa vitu low quality. Magufuli Rip.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…